Skip to main content

HABARI NJEMA SANA KWA WANAWAKE NA WANAUME WENYE MATUMBO MAKUBWA ( VITAMBI )

                                DAWA  YA  KUKATA  TUMBO
Utafiti  wetu  umegundua  kwamba  kuna  idadi  kubwa  sana  ya  wanawake  na  wanaume  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  la  kuwa  na  matumbo  makubwa  kiasi  sababu  kuu ikiwa  ni  ulaji  wa  vyakula  vyenye  mafuta  kupita  kiasi  pamoja  na  sababu  nyinginezo  kama  vile  sababu  za  kigenetic  na  magonjwa  ya  kurithi. Tunayo  dawa  safi  ya  asili  itakayo  kata  tumbo  lako  ndani  ya  siku   KUMI  NA  NNE  tu. Dawa  yetu  ni  ya  asili, haijachanganywa  na  chemical  yoyote  na  haina  side  effect  yoyote.

Fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  katika  eneo  la  Changanyikeni  karibu  na  Chuo  Kikuu  cha  Dar  es  salaam  au  wasiliana  nasi  kwa  simu  namba  0767010756.
USIENDELEE  KUSUMBULIWA  NA  UKUBWA  WA  TUMBO  LAKO  WAKATI  DAWA  YA  TATIZO  LAKO  IPO.  TUONE  LEO  UPATE  SULUHISHO  LA  TIBA  YAKO.

Comments

  1. Hiyo dawa ya kupunguza tumbo inauzwa kiasi gani??naihitaji sana tu..na je. kwa mtu anayenyonyesha haina side effect yyte??

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...