Skip to main content

KUREJESHA BIKIRA KWA TIBA ASILIA



KUREJESHA  BIKRA  KWA  TIBA  ASILIA.
Tumekuwa  tukipokea  simu  na   barua  pepe  kutoka  kwa  wanawake   mbalimbali wa  kitanzania  kutoka  ndani  na  nje  ya  Tanzania, wakiulizia  kama  tunayo  dawa  ya  asili  ya  kurejesha  bikira  kwa  wanawake. Kwa  sababu  swali  hili  limekuwa  likijirudia  sana, leo  tumeona  tulitolee  ufafanuzi  hapa. Ni kwamba,  haipo  dawa  ya  asili  inayo  weza  kurejesha  bikira  kwa  mwanamke. Dawa  zilizopo ni dawa  za  kichina, na  side  effects  zake  ni  kubwa  sana. Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu,mwanamke  anaye  tumia  dawa  za  kichina  kwa  ajili  ya  kurejesha  bikira  yake  anajiweka  katika   hatari  kubwa  sana  ya  kupatwa  na  ugonjwa  wa  kansa kutokana  na  kemikali  mbalimbali  zinazo  patikana  katika  dawa  hizo.


USHAURI  WETU :
Tunashauri  usitumie  dawa  za kichina  kwa  ajili  ya  kurejesha  bikira  kwa  sababu  madhara  yake  ni makubwa sana.

UTUMIE  DAWA  GANI?: Hakuna  dawa  ya  kurejesha  bikira, dawa  za  asili  zilizopo  ni  dawa  zinazo  fanya  kazi  ya  kuufanya  uke  kuwa  tight  sana  lakini  hauwi  bikira. Bikira  ikishatoka  haiwezi  kurudi  tena.  Dawa  hizi  zinatumika  kwa  kunywa  na  kujichua  katika  sehemu  za  siri  za  mwanamke. Mbali  na  kuufanya  uke  kuwa  tight, dawa  hizi  pia, huondoa  fangasi za  ukeni pamoja  na  harufu  mbaya  ya  ukeni. Kama  unahitaji  dawa   hizi  unaweza  kuwasiliana  na  NEEMA  HERBALIST kwa  simu  0766538384.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...