Skip to main content

KITAMBI SASA BASI

KITAMBI  SASA  BASI
ONDOA  KITAMBI KWA  SIKU KUMI NA  NNE



SHIRIKI  KATIKA  UTAFITI  KUHUSU  UFANISI  WA  TIBA  ASILIA  NA  VYAKULA  LISHE   KATIKA  KUKABILIANA  NA  TATIZO  LA  VITAMBI, UNENE  NA  UZITO..

Unakabiliwa  na  tatizo  la  kitambi?  Unataka  kuondoa  kitambi  kwa  njia  asilia ?  Unataka  kutengeneza  shape  ya  tumbo  lako  na  kulifanya  kuwa  flat kabisa  kwa  njia  ya  asili ? Unataka  kupunguza  uzito  na  unene ? Unataka  kuondoa  manyama  uzembe?
Kama  jibu  ni  ndio, basi  hii  ni  habari njema  sana  kwako. Neema  Herbalist  &  Nutritional  Foods  Clinic  ni  kituo  cha   Utafiti  wa  Tiba  Asilia . Tunakualika  kushiriki  kwenye   utafiti   kuhusu  UFANISI  WA  TIBA  ASILIA  KATIKA  KUKABILIANA  NA  TATIZO  LA  VITAMBI, UNENE, & UZITO  KUPITA  KIASI...

 Kufahamu  kuhusu  utaratibu  wa  kushiriki  kwenye  utafiti  huu  tuandikie  barua pepe : neemaherbalist@gmail.com    au   Tupigie  0767010756  AU  0766538384.


Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...