Je unasumbuliwa na tatizo au matatizo ya kiafya ? unahitaji vyakula-lishe maalumu kwa tatizo lako la kiafya? Kama jibu ni ndio basi hii ni habari njema sana kwako. Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni kituo cha tiba asilia na vyakula-lishe. Tunapenda kuwafahamisha wateja wetu kuwa sasa tunatoa huduma ya vyakula-lishe ( Nutritional Foods ) maalumu kwa watu wanao sumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya kama vile : i. Ukosefu ama ...