Skip to main content

N’GARISHA USO WAKO KWA VIPODOZI ASILIA



Neema  Herbalist  &  Nutritional  Foods  Clinic  ni  kituo  cha  tiba  asilia  na  vyakula-lishe. Tunapenda  kuwafahamisha  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa  asilia  inayo  ONDOA  CHUNUSI  NA  MBAKA  YOTE  YA  USONI  NA  KUUFANYA  USO  UWE  SOFT KABISA.. Pia  inaondoa  michirizi  ya  kwenye  mapaja  na  inalainisha  ngozi  ya  mwili  na  kuifanya  iwe  na  mvuto. Dawa  haina  kemikali  yoyote  ( pure  herbal)  na  haina  side  effects  kwa  mtumiaji.
Tunapatikana  jijini  Dar  Es  salaam  katika  eneo  la  Changanyikeni  karibu  na  Chuo  Cha  Takwimu  mbele  ya  Chuo  Kikuu Cha   Dar  Es  salaam.
Kufika  ofisini  kwetu  panda  daladala  za  Ubungo-Changanyikeni  kisha  shuka  kituo  cha  Takwimu  halafu  tembea  hatua  ishirini  mbele  na  utazame  upande  wako  wa  kushoto, utaziona  ofisi  zetu. Bei  ya  dawa  ni  Shilingi  Elfu  Hamsini  Tu (Tshs.50,000/=).
Kwa  wasio  weza  kufika  ofisini  kwetu  watapelekewa  dawa  mahali  walipo  na  kwa  wateja  wa  mikoani  watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  mabasi, wateja  waliopo  Zanzibar  watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  Meli  na  kwa  wateja  wa  nje  ya  nchi  
 Wasiliana  nasi  kwa  simu : 0766538384.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...