Skip to main content

LISHE YA KUONGEZA NA KUNENEPESHA MWILI



Je ! Unataka  kuongeza  mwili  au  unene?  Unataka  kutengeneza  shape  ya  mwili  wako  kwa  kutumia  lishe  asilia  bila  kulazimika  kutumia  madawa  yenye  kemikali ? Kama  jibu  ni  ndio  basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako.
Neema  Herbalist  &  Nutritional  Foods  Clinic  ni  kituo  cha  tiba  asilia  na  vyakula-lishe. Tunapenda  kuwafahamisha  wateja  wetu  kuwa  tunayo   lishe  asilia  INAYO  SAIDIA  KUONGEZA  SHAPE  YA  MWILI NA  KUNENEPESHA  MWILI ..
Pia  inasaidia  kun’garisha ,  kunawirisha  na  kupendezesha  mwili. Lishe   hii  inatengengenezwa  kwa  mimea , haina  kemikali  yoyote  ( pure  herbal)  na  haina side  effects  kwa  mtumiaji.
Tunapatikana  jijini  Dar  Es  salaam  katika  eneo  la  Changanyikeni  karibu  na  Chuo  Cha  Takwimu  mbele  ya  Chuo  Kikuu Cha   Dar  Es  salaam.

BEI  YAKE  NI  SHILINGI  ELFU  HAMSINI  TU    ( Tshs.50,000/=)
Kufika  ofisini  kwetu  panda  daladala  za  Ubungo-Changanyikeni  kisha  shuka  kituo  cha  Takwimu  halafu  tembea  hatua  ishirini  mbele  na  utazame  upande  wako  wa  kushoto, utaziona  ofisi  zetu
Kwa  wasio  weza  kufika  ofisini  kwetu  watapelekewa   mahali  walipo  na  kwa  wateja  wa  mikoani  watatumiwa   kwa  njia  ya  mabasi, wateja  waliopo  Zanzibar  watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  Meli  na  kwa  wateja  wa  nje  ya  nchi  wanatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  DHL  au  POSTA.
Pia  tunavyo  vipodozi  mbalimbali  vya  asilia  visivyo  na  kemikali  yoyote vinavyo  saidia  kurefusha nywele  na  kuzifanya  kuwa  zenye  afya  pamoja  na  kuondoa  chunusi  na  mabaka ya  usoni  na  kuufanya  uso  uwe  soft.


Kwa  maelezo  zaidi, wasiliana  nasi  kwa  simu  namba  0766538384.

Kwa  taarifa   zaidi  kuhusu  huduma  zetu, tembelea 


Comments

  1. naomba kujua ingridients za dawa ya lishe pls,na pia hii dawa ya lishe haileti kitambi?

    ReplyDelete
  2. naomba kujua ingridients za dawa ya lishe pls,na pia hii dawa ya lishe haileti kitambi?

    ReplyDelete
  3. naomba kujua ingridients za dawa ya lishe pls,na pia hii dawa ya lishe haileti kitambi?

    ReplyDelete
  4. naomba kujua ingridients za dawa ya lishe pls,na pia hii dawa ya lishe haileti kitambi?

    ReplyDelete
  5. Asante kwa tulio mikoane tunawapata vipi

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...