Skip to main content

JIPATIE VYAKULA –LISHE MAALUMU KWA MATATIZO MBALIMBALI YA KIAFYA.






Je  unasumbuliwa  na  tatizo  au  matatizo  ya  kiafya ? unahitaji  vyakula-lishe  maalumu  kwa  tatizo  lako  la  kiafya? Kama  jibu  ni  ndio  basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako.

Neema  Herbalist  &  Nutritional  Foods  Clinic  ni  kituo  cha  tiba  asilia  na  vyakula-lishe. Tunapenda  kuwafahamisha  wateja  wetu  kuwa  sasa  tunatoa  huduma  ya  vyakula-lishe  ( Nutritional  Foods )  maalumu  kwa   watu  wanao  sumbuliwa  na  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya  kama  vile :
i.                            Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.
ii.                         Tatizo  la  Presha  na  Kisukari.
iii.                     Vidonda  Vya  Tumbo.
iv.                   Tatizo  la  Pumu.
v.                      Lishe  maalumu  ya  kuondoa  mafuta  ya  mwilini, kupunguza  uzito  na  kuondoa  vitambi.
vi.                   Lishe  maalumu  kwa  wanawake  wajawazito  na  watoto.
vii.               Lishe  maalumu  kwa  wazee
viii.            Nakadhalika.

Huduma  hii  inapatikana  katika  kituo  chetu  kilichopo  katika  eneo  la  Changanyikeni  karibu  na  Chuo  Cha  Takwimu  mbele  ya  Chuo  Kikuu  Cha  Dar  Es  salaam.
Muda  wa  kazi  ni  saa  tatu  kamili  asubuhi  hadi  saa  moja  kamili  jioni  kwa  siku  za  kazi  yaani  ( Jumatatu  hadi  Ijumaa  ).
Jumamosi  ni  saa  tatu  kamili  asubuhi  hadi  saa  nane  kamili  mchana.
Jumapili   tunafungua  kwa  appointment.
Lishe  ni  tiba, usiendelee  kuteseka  bure, onana  nasi  leo, upate  suluhisho  la  tatizo  linalo  kukabili.

Kwa  maelezo  zaidi, wasiliana  nasi  kwa  simu  namba  0766538384.

Comments