Neema Herbalist
ni wauzaji wa
dawa mbalimbali asilia. Tunapenda kuwafahamisha
wateja wetu kuwa
sasa tunavyo vipodozi
mbalimbali asilia kama vile lotion, shampoo, dawa za
nywele, dawa za kuondoa
chunusi , mabaka ya ngozi, madoa
madoa, makunyanzi, & michirizi, dawa
ya kurefusha nywele na
kuzifanya kuwa nyeusi
na zenye afya, dawa
ya kulainisha ngozi
ya uso na
kuifanya kuwa nyeupe.
Vipodozi hivi ni “pure herbal” visivyo na
kemikali yoyote wala
side effect kwa
mteja.
Baadhi ya
vipodozi na sabuni
tulizo nazo ni pamoja
na :
1. Pomegranate Soap
Ni
sabuni dawa asilia
inayo tengenezwa kwa
kutumia mti wa
mkomamanga ambao una
utajiri wa vitamin lukuki
zenye faida kibao
kwa afya ya
ngozi ya mwanadamu.
Matumizi ya
sabuni hii husaidia
kufanya kazi zifuatazo
i.
Ku’ngarisha ngozi
ii.
Kulainisha ngozi
iii.
Kuondoa mabaka
ya usoni na
chunusi
iv.
Kuondoa makunyanzi
ya usoni
v.
Huifanya ngozi
ya mtumiaji nyeupe na
yenye afya na
kuifanya ngozi ya
uso wa mtumiaji
ionekane kama ngozi
ya motto mchanga.
2. OLIVE &
BLACK SEED SOAP
i.
Ku’ngarisha ngozi
ii.
Kulainisha ngozi
iii.
Kuondoa mabaka
ya usoni na
chunusi
iv.
Kuondoa makunyanzi
ya usoni
v.
Huifanya ngozi
ya mtumiaji nyeupe na
yenye afya na
kuifanya ngozi ya
uso wa mtumiaji
ionekane kama ngozi
ya motto mchanga.
3. WHITENING SOAP
WITH GARLIC
Sabuni iliyotengenezwa kwa
kutumia kitunguu
swaumu pamoja na mchanganyiko
wa dawa mbalimbali
za asili.
· Inasaidia kuufanya
uso kuwa wenye
kun’gaa na mn’gavu n’gavu.
· Inasaidia kuufanya
uso wa mtumiaji
kuwa mweupe.
· Inaondoa makunyazi, chunusi, mabaka ya usoni
na madoa doa.
4. MUD MASK
SOAP
· Inasaidia kuun’garisha
uso na kuufanya
kuwa mweupe.
· Inaondoa vipele
, chunusi na makunyanzi
ya usoni.
5. OLIVE CREAM
Inaifanya
ngozi
ya uso wako kuwa
nyeupe na kuufanya
uso wako uonekane
kama wa mtoto.
6.
BLACK SEED
FACE CREAM
· Inaifanya
ngozi
ya uso wako kuwa
nyeupe na kuufanya
uso wako uonekane
kama wa mtoto.
· Inaondoa
chunusi, mabaka na
makunyanzi ya usoni.
7. DEAD SEA
MUD SOAP
Inaifanya
ngozi
ya uso wako kuwa
nyeupe na kuufanya
uso wako uonekane
kama wa mtoto.
Inaondoa
chunusi, mabaka na
makunyanzi ya usoni.
8. OLIVE GLOSSING
SHAMPOO
Itazifanya nywele
zako kuwa nyeusi
na zenye afya. Pia
inasaidia katika kukuza
nywele.
9. OLIVE MOISTURIZING
BODY LOTION.
Inalainisha ngozi ya
mwili na kuifanya
kuwa yenye afya.
10.
SHAMA NIKHAR
Hii ni
ina ya kwenye
nywele. Inasaidia kuzifanya nywele
kuwa nyeusi na
zenye afya. Inasaidia pia
kuzifanya nywele dhaifu
kuwa zenye afya
nzuri.
11.
MULTANI
Inasaidia kun’garisha
ngozi ya usoni, kuondoa makunyanzi, chunusi, vipele na
madoa doa ya
usoni.
12.
SANDALWOOD SOAP (SABUNI
YA LIWA )
Inasiaidia kulainisha
ngozi ya uso na kuufanya
kuwa mweupe na
wenye kun’gaa.
Kwa mahitaji
yako ya vipodozi
hivyo hapo juu
pamoja na vingine, wasiliana nasi
kwa simu namba
0766538384 au fika
katika ofisi zetu
zilizopo katika eneo
la Changanyikeni karibu na
Chuo Cha Takwimu
mbele ya Chuo
Kikuu Cha Dar
Es salaam.
mbana ujaweka namba zako za cm na pia ni bei gani na uko wapi?
ReplyDelete