Kiwanja
kinauzwa katika
eneo la Changanyikeni, Mbuyuni
Jijini Dar Es
salaam karibu na
eneo la JESUS
VILLAGE.
Kina
ukubwa
wa hekari moja . Kinaweza kutumika
kujenga shule, hospitali nakadhalika.
Kipo katika
eneo zuri sana
na kimezungukwa na
majirani wa heshima ( Descent Neighbourhood).
Kipo katika
eneo wanalo kaa ma
Profesor wa Chuo
kikuu Cha Dar
Es salaam.
Gari linafikika
kwa urahisi.
Kina
nyumba
yenye vyumba vitatu
vya kulala, master bed-room,
choo, bafu, store, jiko na sebule.
Bei yake
Sh. Milioni Mia Mbili
na Hamsini ( 250)
(
MAZUNGUMZO YAPO )
Piga
simu :
0766538384.
Comments
Post a Comment