Ukosefu na/ama
upungufu wa nguvu
za kiume, ni tatizo
linalo wakabili mamilioni
ya wanaume duniani.
Zipo sababu nyingi
zinazo sababisha tatizo
la ukosefu wa
nguvu za kiume.
Miongoni mwa sababu
hizo ni pamoja
na maradhi kisukari, presha,shinikizo la
damu, moyo, figo, matatizo
kwenye mishipa ya
ubongo & mishipa
ya uti wa mgongo, matatizo kwenye
mishipa itumikayo kusafrisha damu mwilini, maradhi ya
ngiri, pamoja na
upigaji punyeto kwa
muda mrefu.
Katika makala
yetu ya leo, tutaangalia namna
suala la upigaji
punyeto linavyo athiri nguvu
za kiume.
Kabla hatujaangalia
namna suala la upigaji punyeto linavyo maliza
nguvu za kiume, ni
vyema tukafahamu kwanza
kuhusu SAYANSI YA
MFUMO WA NGUVU
ZA KIUME.
Kufahamu
kuhusu
SAYANSI YA MFUMO
WA NGUVU ZA
KIUME tafadhali tembelea :
Ukisoma vizuri
kuhusu mfumo wa
nguvu za kiume, utagundua kuwa Suala
la nguvu za
kiume ni suala
la kimfumo. Ili
mwanaume awe na nguvu za
kiume, aendelee kuwa na
nguvu za kiume na
azilinde nguvu zake za
kiume, ni lazima ogani
zote zinazo husika na
mfumo wa nguvu
za kiume ziwe
na afya njema
na ziwe na
ushirikiano thabiti na
wenye afya.
Vile vile , utagundua kuwa , mambo
makuu muhimu katika
mfumo wa nguvu
za kiume ni
kama ifuatavyo:
i.
Mishipa imara
ya ubongo na
yenye afya njema
ii.
Mishipa imara
ya uti wa
mgongo ( spinal
cords )
iii.
Mishipa imara
itumikayo kusafirisha damu
mwilini ( Blood Vessels )
iv.
Mfumo
imara wa usafirishaji
damu mwilini
v.
Mishipa ya
uume iliyo imara
na yenye afya
njema
vi.
Uhusiano imara
na wenye afya
kati ya mishipa
ya fahamu iliyopo
katika ubongo, mishipa ya
kwenye uti wa
mgongo pamoja na
misuli & mishipa ya kwenye
uume.
Hivyo basi, ili
mwanaume aweze kuwa
na nguvu imara
za kiume, na aendelee
kuwa na nguvu
hizo ni lazima mambo
yote muhimu katika
mfumo wa nguvu za
kiume yawe imara
pasi na hitilafu yoyote.
Hitilafu yoyote
katika mambo hayo, itasababisha ukosefu na/ama upungufu wa
nguvu za kiume
kwa mwanaume huyo.
Pale inapotokea hitilafu ama
mapungufu katika ogani
zaidi ya moja
kati ya zilizo
tajwa hapo juu, basi tatizo
kwa muhusika huwa
kubwa mara dufu.
JINSI PUNYETO
INAVYO SABABISHA TATIZO
LA UKOSEFU & UPUNGUFU
WA NGUVU ZA
KIUME.
Mwanaume
anapopatwa na wazo
la kufanya tendo
la ndoa, ubongo hutoa
ishara kwenye mishipa
ya uti wa
mgongo ambayo nayo
husafirisha taarifa hadi
kwenye mishipa & misuli
ya uume.
Mishipa ya
uume inapopokea taarifa hiyo, hutanuka. Na mishipa
ya uume inapotanuka, hufanya mambo
mawili muhimu sana :
i.
Husababisha mishipa
ya ateri kupanuka
na hivyo kuruhusu
damu kuingia kwa kasi
sana ndani
ya mishipa ya
uume na hivyo
kuufanya uume usimame
na kuwa imara
bara bara.
ii.
Huibinya na kuiziba
mishipa ya vena
na hivyo kuzuia
kunyonya ama kufyonza
damu iliyo ingia
ndani ya mishipa ya
uume. ( KAZI
KUBWA YA MISHIPA
YA VENA ILIYO
KARIBU NA MISHIPA YA
UUME NI KUHAKIKISHA HAKUNA
DAMU NDANI YA MISHIPA YA
UUME. HIVYO BASI DAMU
INAPOINGIA NDANI YA MISHIPA
YA UUME, MISHIPA YA
VENA HU “SENSE” JAMBO HILO
KWA HARAKA NA HIVYO
KUIFYONZA DAMU HIYO
KUTOKA KWENYE MISHIPA YA
UUME YA
KUITOA NJE YA MISHIPA YA
UUME. NA DAMU INAPOKOSEKANA NDANI
YA MISHIPA YA
UUME, HUUFANYA UUME KUSINYAA
NA KULEGEA )
Mtu
anayepiga punyeto
husababisha mambo yafuatayo
katika mwili wake :
1. Huuwa nguvu
ya mishipa & misuli ya uume ambayo
ndio inayo husika na
kusimama kwa uume
2. Mishipa ya uume
inapo sinyaa na
kukosa nguvu yake
ya asili, husababisha mambo
yafuatayo :
i.
Huondoa uwezo
wa mishipa &
misuli ya uume
kutanuka, na hii ndio
sababu inayo wafanya
waathirika wa punyeto
kutumia nguvu nyingi
sana katika kuufanya
uume usimame.
ii.
Huondoa uwezo
wa mishipa & misuli
ya uume kuibana
na kuiziba mishipa
ya vena, na hii ndio
sababu inayo fanya
waathirika wa punyeto
kufika kileleni haraka
sana, kwani damu inayo ingia
kwenye misuli ya uume
hufyonzwa ndani ya muda
mfupi sana. Hii hutokea
kwa sababu mishipa na
misuli ya uume inakuwa
imelegea,na mishipa ya
vena inakuwa imepwaya, hivyo msuguano wowote ule hufanya
mishipa ya vena
kufunguka na kufyonza
damu kutoka kwenye mishipa ya
uume na hivyo kuufanya
uume kusinyaa ndani ya dakika ama sekunde chache sana.
3. Vile vile
punyeto hufanya uume
kusinyaa na kurudi ndani na
kuufanya uonekane kama uume
wa motto mdogo.
Kwa
ufupi
punyeto husababisha ukosefu
wa nguvu za
kiume kwa sababu
kuu zifuatazo :
i.
Kwanza hudhoofisha
na kuharibu mishipa
ya uume, ambayo
ndio hufanya uume kusimama.
ii.
Pili
hudhoofisha utendaji kazi
wa mishipa ya
ateri, ambayo ndio hutumika
kama njia ya
kusafirisha damu kupeleka
kwenye misuli ya
uume na ivyo
kuufanya uume usimame
iii.
Tatu, punyeto hupelekea
kuvuja kwa mishipa
ya vena na hivyo kusababisha
damu kufyonzwa kwa
haraka sana kila
iingiapo ndani ya misuli ya
uume na matokeo
yake ni uume
kusimama kwa muda
mfupi sana wakati wa
tendo la ndoa.
iv.
Punyeto huathiri
mtiririko wa damu
kwenda kwenye mishipa
ya uume, kwa sababu
hudhoofisha misuli & mishipa
ya uume pamoja
na mishipa ya ateri ambayo
ndio hutumika katika
kusafirisha damu kwenda kwenye
uume
DALILI ZA
MTU ALIYE ATHIRIWA
NA PUNYETO
Dalili kuu
za mtu aliye athiriwa na
punyeto ni kama
ifuatavyo:
i.
Uume
kusinyaa na kuwa
kama wa mtoto
ii.
Uume kurudi ndani
iii.
Uume
kusimama ukiwa legelege
iv.
Kufika
kileleni haraka wakati
wa tendo la
ndoa.
TIBA YA NGUVU
ZA KIUME KWA MTU
ALIYE ATHIRIKA NA
PUNYETO.
Dawa asilia ya
nguvu za kiume iitwayo JIKO ni tiba
bora na ya
uhakika kabisa kwa
mtu aliye athiriwa
na punyeto. Dawa
hii, pamoja na mambo
mengine mengi, husaidia kufanya
mambio yafuatayo katika
mwili wa mwanaume
aliye athiriwa na
punyeto :
i.
Kuimarisha mishipa
& misuli ya uume
ulio legea na hivyo
kuurejeshea uwezo wake wa asili
ii.
Hutibu tatizo
la uume kurudi
ndani
iii.
Humaliza tatizo
la kusimama kwa
uume ukiwa legelege
iv.
Hutibu
na kuponya kabisa
tatizo la kufika
kieleleni haraka.
BEI YA
DAWA : Dawa
hii inapatikana kwa
gharama ya SHILINGI
ELFU THEMANINI TU
(Tsh.
80,000/=)
MAHALI INAPOPATIKANA : Dawa
hii inapatikana katika
duka la dawa
asilia liitwalo NEEMA
HERBALIST & NUTRITIONAL
FOODS CLINIC lililopo
jijini DAR ES
SALAAM katika eneo
la TABATA MAKOKA
karibu na SHULE YA
SEKONDARI YA MT. ANNUARITE.
Kwa wateja
wasio weza kufika
ofisini kwetu. Watafikishiwa dawa
mahali popote walipo
jijini DAR ES
SALAAM.
Kwa
wateja
waliopo mikoani watatumiwa
dawa kwa njia
ya MABASI
Kwa wateja
waliopo Zanzibar wata fikishiwa dawa
kwa njia ya
usafiri wa boti.
Na kwa
wateja waliopo UGHAIBUNI
watatumiwa dawa kwa
njia ya POSTA
ama DHL.
MAWASILIANO
: WASILIANA NASI KWA
SIMU NAMBA 0766
53 83 84.
Kwa taarifa
zaidi kuhusu huduma
zetu, tutembelee kila siku kwenye blogu
yetu :
Comments
Post a Comment