UKATILI.......Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Isevya iliyoko Manispaa ya
Tabora wakionesha majeraha ya magoti yao baada ya kupewa adhabu ya
kinyama na mwalimu wao. Walipigishwa magoti kwa saa 5 kwenye mchanga
uliopata joto la jua kwa zaidi ya saa tano. Fikiria mwanao anakuja
nyumbani hivi! Ukatili mkubwa na sijui mafunzo ya adhabu hizi walimu
walipewa wapi? Maana hata JKT na CCP haya hayapo! Vitendo vya namna hii
vinapaswa kuibua mjadala mkubwa kijamii na kutusaidia kufumua mfumo wa
elimu yetu.
Mtatiro J
Mtatiro J
Comments
Post a Comment