Mamilioni ya
watu duniani wanasumbuliwa
na maradhi mbalimbali
ya moyo.
Inapotajwa
maradhi ya moyo
maana yake ni
uwepo wa hitilafu
mbalimbali ndani ya moyo au zinazo
husiana na moyo
ambazo husababisha moyo
kutokufanya kazi sawa
sawa.
Kupanuka
kwa moyo , mapigo
ya moyo kwenda
kasi na shinikizo
kuu la damu ni
miongoni mwa maradhi
yanayo tajwa na
wataalamu wa afya
kama maradhi ya
moyo.
Katika tiba
asilia, mmea wa
Mmoyomoyo unatajwa kuwa
na uwezo mkubwa wa
kudhibiti na kupambana
na maradhi mbalimbali
yanayo husiana na moyo .
Watu wanao
tumia mmea wa
Mmoyomoyo katika kupambana
na maradhi mbalimbali
ya moyo hupata nafuu
kubwa.
Mbali na
kusaidia katika kutibu
maradhi mbalimbali ya
moyo, mmea wa Mmoyomoyo
unatumika zaidi katika
kinga dhidi ya
maradhi mbalimbali ya
moyo.
Matumizi mabaya
ya chakula, hasa hasa
utumiaji wa vyakula vya
mafuta , vyakula vyenye sukari,
ulevi kupita kiasi pamoja
na kutokufanya mazoezi
ya mwili ( Physical
Exercises ) ni miongoni mwa mambo
yanayo weza kumuweka
mtu katika hatari kuu
ya kupatwa na
magonjwa ya moyo.
Matumizi ya
mara kwa mara
ya mmea wa
Mmoyomoyo yanaweza kupunguza
hatari ya kupatwa
na maradhi ya
moyo.
Mmea huu
pia unatumika katika
kuondoa
na kudhibiti mafuta
yasiyo hitajika mwilini.
Makala haya
yamekuja kwenu kwa
hisani ya NEEMA
HERBALIST. Duka la kuuza
dawa mbalimbali za
asili. Tunapatikana jijini DAR ES
SALAAM, katika eneo la UBUNGO
jirani na SHULE
YA MSINGI UBUNGO
NATIONA HOUSING nyuma
ya jengo la
UBUNGO PLAZA.
Tunapatikana kwa
simu namba 0766
53 83 84
Na kwa
makala kuhusu tiba
asilia ya magonjwa
mbalimbali, tembelea blogu yetu
kila siku :
Comments
Post a Comment