Skip to main content

MARIAH CAREY AONYWA KUHUSU UZITO WAKE



Baadhi  ya  madaktari  nchini Marekani, wamemuonya  mwanamuziki  Mariah  Carey  kuwa  endapo  hatofanya  jitihada  za  kupunguza  uzito  wake, basi  atakuwa  katika  hatari  kubwa  ya  kupatwa  na shambulio  la  moyo. ( Heart Attack )
 
Onyo  hili  limekuja  baada  ya  mwimbaji huyo  nguli  kuripotiwa  kuwa  na  uzito wa  Pounds  263   ambazo ni  sawa  sawa  na  Kilogram 119  point  295
Kwa  mujibu  wa  mtandao  mmoja  wa  habari  nchini Marekani, uzito  wa  Mariah  Carey  umesababishwa  na  ulaji  mbaya  wa  vyakula.

Iliripotiwa  pia, kwenye  tamasha  la  Caesars  Palace, Mariah  Carey alilazimika  kubebwa  kila  alipokuwa  akitaka  kupanda  au  kushuka  stejini  na  kama  hiyo  haitoshi  alipumzika  kwa  muda  mrefu  kuliko  kawaida  wakati  anajiandaa  kuimba  wimbo  wake  namba  19.


SOURCE : MITANDAO  MBALIMBALI  YA  HABARI NCHINI  MAREKANI.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...