Skip to main content

Posts

Showing posts from 2018

SLIMMING OIL YA KUONDOA KITAMBI, MANYAMA UZEMBE, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO.

Habari njema   kwa   watu   wenye   tatizo   la   kiriba   tumbo   ( Kitambi ), Manyama   Uzembe,   Unene   na   Uzito   ulio   zidi.   Neema   Herbalist   ni   duka   la   kuuza   dawa   mbalimbali   za   asili.   Tunapenda   kuwataarifu   wateja   wetu   wapendwa kuwa   tunayo   mafuta   ya asili   ambayo   yanasaidia   kuondosha   kabisa   kitambi   na   manyama   uzembe   pamoja   na   kupunguza   unene   na   uzito   kwa   kiwango kizuri   sana . Mafuta haya   ni   ya   asili   kabisa ( Pure   herbal   )   yasiyo   na   kemikali   yoyote   ya   viwandani   na   yanaondoa   kitambi   na   manyama   uzembe   ndani   ya   siku ...

FAIDA ZA KIAFYA ZA CHIWA SEEDS

Chiwa   Seeds   zinatajwa   kuwa   na   umuhimu   mkubwa   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Tafiti   mbalimbali   za   kisayansi   zinaeleza kuwa Chiwa   ni   mmea   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Baadhi  ya  faida  za  Chiwa  Seeds  ni   pamoja    na : 1.     Husaidia  kuimarisha  afya  ya  moyo 2.     Husaidia kudhibiti  kiwango  cha  sukari  kwenye  damu 3.     Husaidia  kuupa  mwili  nguvu 4.     Husaidia  kuimarisha  mifupa 5.     Husaidia  kulainisha  ngozi  na...

IMARISHA AFYA YA UBONGO YA MTOTO WAKO KWA KUTUMIA MMEA WA CHIWA SEED

IMARISHA   AFYA   YA   UBONGO   YA   MTOTO   WAKO   KWA   KUTUMIA   MMEA   WA   CHIWA   SEED Chiwa seed   ni   mmea   ulio fanyiwa   tafiti   nyingi   za   kisayansi   na   kuthibitika   kuwa na   umuhimu   mkubwa   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mbegu   hizi   zinatajwa   kuwa   na   msaada   mkubwa   sana   kwa   watu   wenye   kusumbuliwa   na   magonjwa   &   matatizo   mbalimbali   ya   kiafya. Chia  Seed  zikiwa  shambani. Photo  Credit to JF Moja   kati   ya   faida   muhimu   za   mbegu   za   Chiwa   Seed   ni   kutumika   katika   kuimarisha   afya   ya   ubongo   wa   watoto. Tafiti   mbalimbali ...

Wanaume wenye wanawake wanene huishi maisha marefu, yenye furaha

Watalaam wa masuala ya utafiti wamekuwa wakijita kufanya tafiti mbalimbali Duniani kote leo  May 18, 2018  nakusogezea utafaiti unaosema Wanaume ambao wana wachumba wanene huishi maisha marefu na  yenye furaha ikilinganishwa na wale wembamba. Hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na  Dr. Filemon Alvarado  na  Dr. Edwagardo Morales  katika chuo kikuu kimoja nchini Mexico.  Aidha utafiti huo umeonesha kuwa wanawake wanene huwa wana ujasiri na mara nyingi hawakasiriki upesi. Musyoka John  ambaye ana mke  ‘mwembamba’  ameeleza kuwa mara nyingi mkewe humhangaisha na hawana uhusiano mzuri katika ndoa yao. Ameeleza kuwa mkewe anapoamua kufanya jambo ama kukataa, kamwe hawezi kugeuza msimamo wake.                CREDIT  :  MILLARD  AYO  BLOG

DUNIANI HAKUNA MWEMBAMBA

Je  umekonda  na  kudhoofu  mw ili  wako  kwa  sababu  ya  ku ugua  maradhi  mbalimbali  au   kwa  sababu  ya  msongo  wa m awazo  ? Unataka  kurejesha   mwili  na   afya  yako  katika  hali  ya ke  ya  awali ?  Kama  jibu  lako  ni  NDIO   basi  HII  NI HABARI  NJEMA   SANA  KWAKO.  Tunayo  DAWA  LISHE  YA  ASILI   ambayo  inasaidia  kurejesha    afya  na  mwili  wa  mtu  a lie  dhoofu    kwa sababu  ...

UHUSIANO KATI YA PUNYETO NA KUSINYAA/KUDUMAA KWA MAUMBILE YA KIUME.

  Wanaume   wanao   jihusisha   na   upigaji   wa   punyeto   kwa   muda   mrefu   husalia   kuwa   na   maumbile   ya   kiume   yaliyo   sinyaa   na   kudumaa. Kwa mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu  huathiri  na  kuharibu  mishipa  na  misuli  ya  uume na  hivyo kusababisha  kujengeka  kwa  mafuta na  tishu  zisizo vutika  kwenye  mishipa  ya  ateri na  hivyo  kuzuia  mishipa ya  ateri  kupanuka na  kuongezeka  pamoja  na  damu  kutiririka  kwenda  kwenye  misuli  ya  uume. Mambo  hayo  mawili yanapotokea  huathiri  uzalishaji  wa homoni muhimu  zinazo  husika  na ukuaji wa misuli ...

Majani ya Mstafeli ni dawa bora ya saratani ya tezi dume

Majani ya mti wa mstafeli yamekuwa yakitumika na watu kwenye misitu ya amazon kwa maelfu ya miaka iliyopita kutibu karibu kila ugonjwa. Ndiyo hii inaweza kuwa ni habari mpya kwako hasa kama wewe siyo mfuatiliaji wa mambo haya ya tiba asili kwa ujumla lakini sasa habari unayo. Mti huu wa mstaferi ndiyo tiba asili pekee inazungumziwa sana na watu wote duniani kwa sasa kuhusu maajabu yake ya kutibu saratani mbalimbali ikiwemo saratani ya tezi dume. Na hiyo yote ni kwa sababu nzuri tu …. Majani ya mti wa mstafeli yanaziua seli za saratani mara 10000 zaidi ya mionzi. Na jambo la ajabu zaidi ni kuwa dawa hii haizidhuru seli hata kidogo tofauti na tiba ya mionzi ambayo inaziua mpaka seli nyingine zenye afya wakati wa matibabu yake. Yaani dawa hii ya majani ya mstafeli huziwinda seli za kansa na kuziua huku ikikuachia seli zako zenye afya bora zaidi. Kama haitoshi majani ya mstafeli yanaongeza pia idadi na uwingi wa seli zako nyeupe za damu na kuongeza kinga ya mwili kwa haraka s...