Skip to main content

SLIMMING OIL YA KUONDOA KITAMBI, MANYAMA UZEMBE, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO.



Neema  Herbalist    &  Nutrtional  Foods  Clinic

Habari njema  kwa  watu  wenye  tatizo  la  kiriba  tumbo  ( Kitambi ), Manyama  Uzembe,  Unene  na  Uzito  ulio  zidi.  Neema  Herbalist  ni  duka  la  kuuza  dawa  mbalimbali  za  asili. 
Tunapenda  kuwataarifu  wateja  wetu  wapendwa kuwa  tunayo  mafuta  ya asili  ambayo  yanasaidia  kuondosha  kabisa  kitambi  na  manyama  uzembe  pamoja  na  kupunguza  unene  na  uzito  kwa  kiwango kizuri  sana .
Mafuta haya  ni  ya  asili  kabisa ( Pure  herbal  )  yasiyo  na  kemikali  yoyote  ya  viwandani  na  yanaondoa  kitambi  na  manyama  uzembe  ndani  ya  siku  thelathini.
Mafuta  haya  ya  asili yanatumika  pamoja  na  dawa  nyingine  ya  asili  ambayo  ipo  katika  mfumo  wa  unga.
Tiba  hii  ya  asili  imegawanywa  katika  dozi mbili.  Dozi  ya  kwanza  utatumia dawa  hii  ya  asili  iliyo  katika  mfumo  wa  unga  pamoja  na  vichupa  kumi  na  tano  na  utatumia  kwa  muda  wa  siku  kumi  na  tano.  Yani  kwa  siku  moja  utatumia  kula  kichupa  kimoja  cha  mafuta  haya  asubuhi  na  usiku  pamoja  na  dawa  iliyo  katika  mfumo  wa  unga.    Na  dozi  ya  pili  utaitumia  kwa  muda wa  siku  nyingine  kumi  na  tano  ambapo  kama  ilivyo  kwa  dozi  ya  kwanza  utatumia  kula  kichupa  kimoja  kwa  siku  kwa  muda  wa  siku  kumi  na  tano  mfululizo  pamoja  na  dawa  iliyo  katika  mfumo  wa  unga.
Tiba  hii  inaondoa  kitambi  na  kupunguza  uzito  na  unene  pila  mtumiaji  kuharisha  kwa  hiyo  hakuna  suala  la  kuharisha  katika  tiba  hii.
Tiba  hii  pia  ni  nzuri  sana  kwa watu  wenye  kusumbuliwa  na  sukari  kwani  inasaidia  pia  kusawazisha  kiwango  cha  sukari  katika  damu.

Kupata  dawa  hizi  fika  katika  duka  la  kuuza  dawa  za asili  la  NEEMA  HERBALIST. Tunapatikana  UBUNGO  jirani na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo la  UBUNGO  PLAZA.
Kwa  wateja  wetu waliopo  jijini DAR  ES  SALAAM  ambao  hawana  nafasi  ya  kufika  ofisini  kwetu  tunayo  huduma  ya  kuwapelekea  dawa  mahali  popote  pale  walipo  ndani  ya  jiji  la DAR  ES  SALAAM (  HOME  AND OFFICE  DELIVERY )
Na  kwa wateja  wetu waliopo  nje  ya  mkoa  wa  Dar  Es  Salaam, tunawatumia  dawa  kwa njia  ya  mabus  mbalimbali  na  wale  waliopo  Zanzibar  tunawatumia dawa  kwa  njia  ya  boti.
WASILIANA  NASI  KWA SIMU  NAMBA  0693 005  189.



Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...