Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2018

Majani ya Mstafeli ni dawa bora ya saratani ya tezi dume

Majani ya mti wa mstafeli yamekuwa yakitumika na watu kwenye misitu ya amazon kwa maelfu ya miaka iliyopita kutibu karibu kila ugonjwa. Ndiyo hii inaweza kuwa ni habari mpya kwako hasa kama wewe siyo mfuatiliaji wa mambo haya ya tiba asili kwa ujumla lakini sasa habari unayo. Mti huu wa mstaferi ndiyo tiba asili pekee inazungumziwa sana na watu wote duniani kwa sasa kuhusu maajabu yake ya kutibu saratani mbalimbali ikiwemo saratani ya tezi dume. Na hiyo yote ni kwa sababu nzuri tu …. Majani ya mti wa mstafeli yanaziua seli za saratani mara 10000 zaidi ya mionzi. Na jambo la ajabu zaidi ni kuwa dawa hii haizidhuru seli hata kidogo tofauti na tiba ya mionzi ambayo inaziua mpaka seli nyingine zenye afya wakati wa matibabu yake. Yaani dawa hii ya majani ya mstafeli huziwinda seli za kansa na kuziua huku ikikuachia seli zako zenye afya bora zaidi. Kama haitoshi majani ya mstafeli yanaongeza pia idadi na uwingi wa seli zako nyeupe za damu na kuongeza kinga ya mwili kwa haraka s...

DAWA ASILIA INAYO SAIDIA KUSHUSHA SUKARI ILIYOPANDA.

Je ! Sukari   yako   ipo   juu ? Unatafuta tiba   asilia   ya   kushusha   sukari ? Kama jibu   lako   ni NDIO basi   hii   ni HABARI NJEMA   SANA   KWAKO. Ipo tiba   asilia   inayo   saidia   kushusha   sukari iliyo   panda. JINSI   INAVYO   TUMIKA :   Dawa   hii   huchemshwa   na   kuachwa   ipoe   kabisa   kisha   mhusika   anatumia   kunywa   nusu   glasi   yenye ujazo wa   milimita mia mbili   na   hamsini ( 250 mills ) . Asubuhi   atakunywa   nusu   glasi   na   usiku   atakunywa   nusu   glasi. Atafanya   hivyo   kwa   muda   wa   wiki mbili   hadi   tatu. BAADA   YA   KUMALIZA   DOZI : Baada ya   kumaliza   dozi   mhusika anashauriwa   kwenda   hospitali ...

JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE MAALUMU YA KUONGEZA NA KUNENEPESHA MWILI

Asali  Ya  Tende Kukonda   na   kudhoofika   mwili   pamoja   na   kupungua   uzito kupita   kiasi ni   jambo   linalo   weza   kusababishwa   na   mambo   mbalimbali   kama   vile   kuugua   maradhi   mbalimbali   au kuwa   na   msongo   wa   mawazo ( stress )   wa   muda   mrefu. Asali  Ya  Tende  (  Dates  Syrup ) Kama   wewe   umekonda, umepungua   uzito   wako   kupita   kiasi   na   kudhoofu mwili na   unataka   kuongeza   uzito wako, kunenepa na   kurejesha   afya   ya   mwili   wako katika   hali   yake   ya   kawaida   basi   unatakiwa   kufahamu   namna   na jinsi   ya   kuandaa   na   kutayarisha   lishe   maalumu   ya ...

HABARI NJEMA KWA WATUMIAJI NA WAHITAJI WA DAWA LISHE YA KUNENEPESHA MWILI.

Dawa   lishe   ya   kunenepesha   mwili   ni   dawa   ya   asili   inayo   saidia   kuongeza   na   kunenepesha   mwili.  Habari   njema   kwa   wahitaji   wa   dawa hii   ni   kwamba   sasa   inapatikana   ikiwa   imekamilika   kabisa yani   dawa   yenyewe   pamoja    asali   ya   tende   ambayo   ipo   tayari.       Awali   watumiaji   wa   dawa   hii   walikuwa   wanalazimika   kuitumia   pamoja   na   vitu   vingine   kama   vile   tangawizi, maziwa,   na   uji   wa   ufuta   jambo   lililo   kuwa   linaleta   usumbufu   kwa   baadhi   ya   watumiaji   ambao   walikuwa   hawana   nafasi   ya   k...