![]() |
Asali Ya Tende |
Kukonda
na kudhoofika mwili
pamoja na kupungua
uzito kupita kiasi ni jambo
linalo weza kusababishwa
na mambo mbalimbali
kama vile kuugua
maradhi mbalimbali au kuwa
na msongo wa
mawazo ( stress ) wa muda
mrefu.
![]() |
Asali Ya Tende ( Dates Syrup ) |
Kama
wewe umekonda, umepungua uzito
wako kupita kiasi
na kudhoofu mwili na unataka
kuongeza uzito wako, kunenepa
na kurejesha afya
ya mwili wako katika
hali yake ya
kawaida basi unatakiwa
kufahamu namna na jinsi
ya kuandaa na
kutayarisha lishe maalumu
ya kuongeza uzito
na kunenepesha mwili.
MAHITAJI
Ili uweze
kuandaa na kutayarisha
lishe maalumu ya
kuongeza uzito na
kunenepesha mwili unatakiwa
uwe na mahitaji
yafuatayo :
1. Dawa Lishe
maalumu ya kuongeza
uzito na kunenepesha mwili :
Hii ni dawa ya
asili ambayo husaidia kuongeza
uzito wa mwili
pamoja na kuunenepesha mwili.
2. Asali ya
Tende.
MATAYARISHO
1. Chukua vijiko
viwili vikubwa vilivyo
na dawa lishe
kisha vitie ndani
ya maji kiasi cha
lita moja halafu
chemsha hadi itokote
kisha ipua iache ipoe
hadi kuwa katika
hali ya uvugu
vugu na baada
ya hapo unaweza
kuhifadhi dawa yako kwenye
chupa ( Thermos ) au chombo
chochote utakacho ona kinafaa.
2. Tayarisha vijiko
viwili vikubwa vyenye
asali ya tende.
MATUMIZI :
1. Tumia kunywa
kikombe kimoja kidogo chenye
ujazo wa Milimita
Mia Mbili na
Hamsini ( 250 ).
2. Baada ya
hapo kaa kwa
muda wa dakika
tatu au tano
kisha chukua vijiko
viwili vya asali
ya tende na
kisha tumia kula
vijiko vyote viwili.
Utafanya
hivyo mara mbili
kwa siku asubuhi
na jioni kwa
muda wa siku
thelathini.
Dawa hii inawafaa
zaidi watu walio
katika makundi yafuatayo :
1. Mtu alie
poteza uzito kupita
kawaida
2. Mtu alie
konda na kudhoofika
mwili pamoja na
3. Mtu anaetaka
kunenepa mwili wake.
Kwa
mahitaji yako ya
dawa lishe pamoja na
asali ya tende
fika katika duka
la Neema Herbalist
lililopo jijini Dar
Es Salaam katika
eneo la UBUNGO
jirani na SHULE
YA MSINGI UBUNGO
NATIONAL HOUSING nyuma
ya jengo la
UBUNGO PLAZA.
Kwa waliopo
jijini Dar Es Salaam ambao
hawana nafasi ya
kuweza kufika ofisini
kwetu, tunao utaratibu w
kuwapelekea dawa mahali
popote walipo jijini
Dar Es Salaam
( HOME & OFFICE DELIVERY )
Na kwa wateja
waliopo nje ya mkoa
wa Dar Es
Salaam, tunatumia dawa kwa
njia ya usafiri
wa mabus mbalimbali.
Wasiliana
nasi kwa simu
namba 0766 -53 83 84.
Comments
Post a Comment