Dawa lishe
ya kunenepesha mwili
ni dawa ya
asili inayo saidia
kuongeza na kunenepesha
mwili.
Habari
njema kwa wahitaji
wa dawa hii ni
kwamba sasa inapatikana
ikiwa imekamilika kabisa yani
dawa yenyewe pamoja
asali ya tende
ambayo ipo tayari.
Awali watumiaji wa
dawa hii walikuwa
wanalazimika kuitumia pamoja
na vitu vingine
kama vile tangawizi, maziwa, na
uji wa ufuta
jambo lililo kuwa
linaleta usumbufu kwa
baadhi ya watumiaji
ambao walikuwa hawana
nafasi ya kuandaa na
kutayarisha hivyo vitu
vingine yaani tangawizi, maziwa na
uji wa ufuta.
Habari
njema ni kwamba, sasa
dawa lishe inapatikana
ikiwa imekamilika tayari kwa
kutumia , ambapo mtumiaji atatumia
kuichemsha na kuinywa
bila kuhitajika kuwa na
vitu nilivyo vitaja
hapo juu.
Ama kwa upande
wa asali ya
tende hapo awali
mtumiaji wa dawa
lishe ya kunenepesha
na kuongeza mwili alilazimika
yeye mwenyewe
kuandaa na kutyarisha
asali ya tende ambayo
hutumika pamoja na
dawa lishe ya
kunenepesha mwili.
Kuandaa
na kutayarisha Asali
ya Tende ambayo ni
kiambatano muhimu sana
katika lishe ya
kuongeza na kunenepesha
mwili ni jambo
liliko kuwa linawashinda
watu wengi kwa
sababu mchakato wa
kuandaa na kutayarisha
asali ya tende
ulikuwa mrefu wenye
gharama na unao
tumia muda mwingi.
Habari
njema ni kwamba, sasa
Asali ya Tende inapatikana
ikiwa imekamilika kabisa. Kazi
yako kama mtumiaji
itakuwa ni kutumia
tu asali ambayo ipo
tayari.
Kwa
mahitaji yako ya
Dawa –Lishe ya kuongeza
na kunenepesha mwili, fika
katika duka la
Neema Herbalist.
Tunapatikana UBUNGO
jijini Dar Es
Salaam nyuma ya jengo la
UBUNGO PLAZA jirani
na Shule Ya
Msingi UBUNGO NATIONAL
HOUSING.
Kwa wateja
waliopo jijini Dar Es Salaam, ambao hawana nafasi
ya kufika ofisini
kwetu, tunao utaratibu wa
kuwafikishia dawa mahali
walipo ( HOME & OFFICE
DELIVERY )
Kwa
wateja waliopo nje
ya mkoa wa Dar
Es Salaam, tunawatumia dawa
kwa kutumia usafiri
wa mabus mbalimbali.
Wasiliana
nasi
kwa simu namba
0766 -53 83 84.
Comments
Post a Comment