UHUSIANO KATI
YA KITAMBI NA
TATIZO LA UKOSEFU
WA NGUVU ZA
KIUME
Kuna andiko linasema “ ASIYE
FANYA KAZI NA ASILE “ Msingi wa
andiko hili ni kupromote spirit ya
kujishughulisha na ku discourage spirit
ya uvivu “iddleness” katika jamii.
Hata hivyo
andiko hilo linaweza kuwa na maana
nyingine ya ziada. Maana
hii ya ziada
ni tafsiri yangu
binafsi kulingana na
muktadha wa makala hii
ya leo. Maana hii ya ziada
ndio msingi wa mada yetu hii ya leo.
Kama
nilivyo dokeza hapo juu, andiko asiye
fanya kazi na asile linaweza kuwa na
maana nyingine ya ziada ambayo kimsingi
haitofautiani sana na maana ya msingi ya
andiko lenyewe.
Maana
hii inaweza kuwa “ ASIYE USHUGHULISHA
MWILI WAKE NA ASILE CHAKULA “ kwa sababu
mtu akila chakula bila kuushughulisha mwili
wake chakula hicho kitaenda kubadilika na
kuwa sumu ambayo itaenda kumdhuru mtu huyo,
madhara yanayo weza kuyaweka maisha ya mtu
huyo hatarini.
Ni
nani asie jua kwamba kutofanya
mazoezi ya mwili ni moja kati ya
vyanzo vikuu vya matatizo mbalimbali ya
kiafya kama vile kuwa na kiasi
kikubwa cha mafuta yasiyo faa kwenye damu “ kolestrol ” au kuwa
na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu.
Ni nani
asie fahamu kwamba
kutofanya mazoezi ya mwili
ni moja kati
ya vyanzo vikuu
vya tatizo la
kitambi, tatizo la kuwa
na unene ulio pitiliza
ama tatizo la
kuwa na uzito
mkubwa kupita kiasi ?
Ni nani asie jua
kuwa moja kati
ya mambo yanayo
weza kumuweka mtu
katika hatari ya kupatwa na
magonjwa ya moyo
ni tabia ya
kutofanya mazoezi ya
mwili “ physical exercises “?
Ndio maanatukaambiwa
asiye fanya kazi na asile. Kazi inayo
zungumziwa hapa kwa tafsiri yangu (BINAFSI )
ya pili, ni shughuli
yoyote ambayo inaushughulisha mwili kiasi
cha kuufanya mwili utokwe na jasho
jingi.
Ndio maana
wataalamu wa afya duniani kote wanashauri
kwamba binadamu anatakiwa kufanya mazoezi
ya mwili wake “ physical exercises “ angalau
mara mbili au tatu kwa wiki.
Kama
ilivyo kula chakula, kufanya mazoezi ya
mwili ni jambo la lazima. Kila mtu
anatakiwa kufanya mazoezi ya mwili wake.
Hivyo ndivyo Mwenyezi Mungu alivyo
u design mwili wa mwanadamu.
Kwa jinsi
Mwenyezi Mungu alivyo u design
mwili wa mwanadamu ni lazima mwanadamu
awe ana ushughulisha mwili wake kila
siku ili mwanadamu huyo awe na
uhakika wa kuwa na afya njema na
kuendelea kuwa na afya njema.
Tatizo ni
kwamba watu wengi wanapo kuwa wakisikia
kuhusu ishu ya kufanya mazoezi, mawazo yao
huwapeleka kwenye kitu kama mazoezi
ya kwenda gym kila siku, au kucheza
mpira au kukimbia umbali mrefu au
kuruka kamba , au kupiga push up
nyingi na mazoezi yanayo fanana na hayo.
Mwisho wa
siku watu hawa hukata tama hata kabla
ya kuanza mazoezi hayo pengine kutokana
na ugumu wa ratiba ya mazoezi ( Mtu
anashindwa kubalance muda wa kwenda kazini
na muda wa kwenda gym )
Mfano mtu
anaishi Tegeta anafanya kazi Posta, gym ipo Mlimani
City au Upanga au Masaki. Ofisini
anaingia saa mbili anatoka saa kumi,
muda wa gym
ni kuanzia saa kumi kamili jioni.
Mwisho wa
siku mhusika hata kama ana nia ya
kwenda gym anajikuta anashindwa kutokana na
muingiliano kati ya muda wa kuingia
ofisini, muda wa kwenda gym na issue ya geographical
location.
Aliwahi
kusema Mchekeshaji kutoka Uganda aitwane
Kansiime kwamba “ Three days
after I started going to the gym, instead
of losing weight, I lost morale “ akimaanisha
kwamba “ Siku tatu baada ya kuanza
kwenda gym, badala ya kupoteza/kupunguza uzito,
nikapoteza ari ya kufanya mazoezi. A
lot of people can relate with what Kansiime
has just joked.
Sasa basi
ninapo sema kwamba Mwenyezi Mungu alivyo u design
mwili wa mwanadamu ali udesign
katika jinsi na namna ya kwamba ili
mwanadamu awe na uhakika wa kuwa na
afya njema na kuendelea kuwa na afya
njema ni lazima mwanadamu huyo awe
anafanya mazoezi, simaanishi kwamba mazoezi
hayo ni mazoezi ya gym, kukimbia, kucheza mpira,
kuogelea, kupiga push up, nakadhalika .
Isipokuwa Mazoezi
ninayo yazungumzia hapa ni
ni MAZOEZI YA KUTEMBEA. Tafiti za
kisayansi duniani kote zime thibitisha kwamba
mazoezi ya kutembea ndio mazoezi bora
kuliko mazoezi yoyote yale duniani.
Ndio
mazoezi yenye faida nyingi katika afya
ya mwanadamu pengine kuliko mazoezi mengine
yoyote duniani.
Ninapo andika maneno
haya simaanishi kwamba kwenda gym, kukimbia,
kucheza mpira , kupiga push
up nakadhalika ni kitu kibaya la hasha,
wewe unae weza kwenda gym endelea
kwenda gym, wewe unae weza kufanya mazoezi
ya kukimbia, kuruka kamba, kupiga push up,
kuogelea nakadhalika endelea kufanya mazoezi
yako kwa kadri utakavyo ona inafaa.
Hapa
ninazungumza na wewe ambae hauwezi kwenda gym,
hauwezi kuogelea , hauwezi kupiga push up,
hauwezi kufanya mazoezi ya kukimbia umbali
mrefu nakadhalika kwamba usiwe na
wasi wasi kabisa kwa sababu unaweza kupata
faida nyingi na kubwa sana kwa
kufanya mazoezi ya kutembea.
Bila shaka
mazoezi ya kutembea ndio mazoezi yaliyo
kusudiwa na Mwenyezi Mungu kwa sababu
ni mazoezi yanayo weza kufanywa na
kila mwanadamu na ni mazoezi ya
lazima kwa sababu Mwenyezi Mungu kabla
hajamuumba mwanadamu alijua kwamba mwanadamu
atahitaji kutembea kila siku ndio maana akayafanya
mazoezi ya kutembea kuwa yenye faida nyingi
kwenye afya ya mwanadamu.
RIPOTI ZA
KITAALAMU DUNIANI ZIMETHIBITISHA KWAMBA, KWENYE
NYAYO ZA MIGUU YA MWANADAMU KUNA
POINTS AMBAZO ZINA CONNECT NYAYO NA
OGANI MUHIMU KWENYE MWILI WA BINADAMU KAMA
VILE MOYO. NAAM KWENYE NYAYO ZAKO
KUNA POINT AMBAZO ZINA CONNECTION YA
MOJA KWA MOJA NA MOYO. MOYO NDIO
OGANI MUHIMU KULIKO ZOTE KATIKA MWILI
WA BINADAMU. UNAPOKUWA UNATEMBEA, KUPITIA FRICTION
AMA MSUGUANO AMA MGUSANO KATI YA
MIGUU YAKO NA ARDHI, FRICTION HIYO AU
MSUGUANO HUO UNA IMARISHA MISHIPA NA MISULI
YA MOYO NA KUUFANYA
MOYO WAKO KUWA
IMARA ZAIDI.
Yaani
unapokuwa unatembea kwa sababu kwenye
nyayo za miguu yako kuna points
ambazo zina connection na moyo wako,
ile friction kati ya point hizo
kwenye miguu yako na ardhi inasaidia
kustrengthen ama kuimarisha misuli ya moyo.
Ndio maana wanasayansi duniani wanayataja mazoezi
ya kutembea kama moja kati mambo
muhimu sana katika afya ya moyo wa
mwanadamu.
Kadri
unafanya mazoezi ya kutembea kwa muda mrefu
ndivyo una vyo uimarisha hata moyo
wako. Mbali na kuwa na point kwenye
nyayo za miguu yako ambazo zina
connection ya moja kwa moja na moyo,
mazoezi ya kutembea husaidia pia kuunguza
mafuta yasiyo faa pamoja na sumu mbalimbali
kwenye mishipa ya damu. Mafuta yasiyo
faa yaliyopo kwenye mishipa ya damu yasipo
shughuliwa yanaweza kuleta madhara makubwa ya
kiafya kama vile shinikizo la juu la
damu ambalo mwisho wa siku hu uathiri moyo pia.
Hivyo mbali
na uwepo w
connection kati ya nyayo
za miguu
ya mishipa ya
moyo, mazoezi ya kutembea
husaidia kuunguza mafuta
yasiyo kwenye damu
ambayo automatically jambo
hili huenda kuunufaisha
moyo.
Hiyo connection
kwenye nyayo za miguu kwa mujibu wa
tafiti mbalimbali za kitaalamu haipo kati
ya nyayo za miguu na moyo bali ipo
pia baina ya nyayo za miguu na
ogani nyinginezo muhimu kwenye mwili wa binadamu .Nitaziandikia
makala siku za mbeleni
panapo uzima.
So
ninaposema kwamba Mwenyezi Mungu alivyo udesign mwili wa
mwanadamu ame udesign katika namna ambayo
ili mwanadamu huyo aendelee ku survive akiwa na afya njema ni
lazima awe anafanya mazoezi hicho hapo ndicho
ninacho kimaanisha, na mazoezi ninayo
yanzungumzia hapa ni mazoezi ya asili
kabisa ambayo ni kutembea kwa miguu yako miwili.
JE!
MAZOEZI YA KUTEMBEA YAFINYIKE KWA KIWANGO
GANI NA KWA MUDA GANI ?
Kwanza
kabisa hutakiwi hata kuyaita mazoezi
ya kutembea, kwa sababu kutembea ni hitaji
la msingi kabisa kwa mwanadamu yoyote Yule
kama ilivyo kwa mahitaji mengineyo
kama vile kunywa maji nakadhalika.
So unacho
takiwa kufanya ni kulichukulia suala la
kutembea umbali mrefu kama jambo la lazima
katika maisha yako. Ulifanye kuwa sehemu ya
maisha yako na wala usi chukulie kama
unafanya mazoezi. Nasema hivi
kwa sababu uzoefu
unaonyesha kwamba watu
wengi wanao jiwekea malengo
ya kufanya mazoezi
huwa hawatimizi malengo
yao na sababu ni
kwamba watu wengi
huwa hawapendezwi na
idea kwamba wanacho kifanya ni
mazoezi. Kwa mfano tuchukulie
kusimama kwa muda
mrefu ingekuwa ni mazoezi,
ukimwambia mtu asimame
juani kwa muda
wa dakika ishirini mfululilo linaweza kuwa
zoezi gumu sana
kwake, lakini mtu huyo
huyo anaweza kutazama mechi
ya Simba na
Yanga akiwa amesimama
kwa muda wa dakika
tisini bila wasiwasi
wowote. Kilicho kwenye akili
ya mtu huyu
ni kwamba anatazama mpira na
sio kwamba amesimama
juani kwa muda
wa dakika tisini.
Vivyo hivyo
kwako wewe unaetaka
kuanza kufanya zoezi
hili la kutembea
kwa miguu. Chukulia
kwamba umebadilisha ama
una badilisha mfumo
wa maisha yako.
Badala ya kuwa
unatumia muda wako
mwingi kutumia usafiri
wa gari kutoka
point moja kwenda
nyingine basi wewe
uwe unatumia miguu
yako mwenyewe. Gari
upande tu pale unapokuwa na
dharula.
Ama kwa
kiwango cha kutembea na jinsi ya kutembea,
wataalamu wanashauri uwe unatembea kwa
umbali mrefu na uwe unatembea haraka
haraka.
Kwa wewe
ambae hujatembea umbali mrefu kwa muda mrefu (
kwa sababu muda mwingi unatumia usafiri
wa gari ) mwanzoni inaweza kukuwia vigumu kidogo
kwa sababu hujazoea, lakini amini ninacho
kuambia jambo hilo litakuwa la muda mfupi
sana kwani baada ya kama wiki moja
hivi utazoea kabisa na usafiri wako
mkuu utakuwa miguu. Gari utakuwa unatumia
pale unapo kuwa una dharula au unapo
kuwa unawahi mahali kama vile kwenda
kazini nakadhalika. Tofauti na hapo usafiri
wako utakuwa ni miguu. Ni mazoezi ambayo
uyatapenda sana kwa sababu utaona
mabadiliko makubwa sana kwenye mwili wako
na hutopenda urudi tena kule ulipo
kuwa kabla ya kuanza kufanya mazoezi haya. Kuna
watu wamekuwa addicted
na mazoezi ya kutembea kiasi kwamba safari
zote wanazo zifanya katika mizunguko
yao ya kila siku wao hutembea tu.
Kuna watu
wanaishi Makumbusho wanafanya shughuli zao
posta na kila siku wanaenda kwa
kutembea na kurudi wanarudi kwa kutembea.
Shuhuda ninazo nyingi sana, katika makala
zangu zinazo kuja nitakuwa nina andika
kuhusu shuhuda za watu mbalimbali
ambao wamechagua mazoezi ya kutembea kuwa
sehemu ya maisha yao pamoja na faida
kubwa katika afya zao ambazo wamezipata
kwa mazoezi ya kutembea.
UHUSIANO
KATI YA TATIZO LA KITAMBI, UNENE &
UZITO ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU
NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
·
Kuna
uhusiano mkubwa sana
kati ya tatizo
la kiriba tumbo (
kitambi ) na tatizo
la ukosefu wa
nguvu za kiume
·
Kuna
uhusiano mkubwa sana
kati ya tatizo
la kuwa na
unene ulio pitiliza na tatizo
la ukosefu wa nguvu
za kiume
·
Kuna
uhusiano mkubwa sana kati
ya tatizo la
kuwa na uzito mkubwa kupita
kawaida na tatizo
la ukosefu wa
nguvu za kiume
·
Kuwa
na kitambi, unene ulio pitiliza
na uzito mkubwa
kupita kiasi tafsiri
yake ni kwamba mwili
mwako unakupa taarifa
kwamba kuna kitu hakipo
sawa ndani yako.
·
Mwili
wako unakupa taarifa
kwamba una kiwango
kikubwa cha mafuta
yasiyo faa ( lehemu/kolestrol)
kwenye damu yako.
·
Mwili
wako unakupa taarifa
kwamba una kiwango
kikubwa cha sukari kwenye damu
yako.
·
Mwili
wako unakupa taarifa
kwamba baadhi ya
ogani muhimu ndani
ya mwili wako
zinaogelea kwenye mafuta yasiyo
faa.
·
Mwili
wako unakupa taarifa
kwamba moyo wako
umelemewa na kazi
ya kusukuma damu, kwa
sababu una kiwango
kikubwa sana cha
mafuta kwenye damu, ambacho
kimeifanya damu yako kuwa
nzito kupita kawaida, uzito ambao
misuli ya moyo
wako haiwezi kuustahimili,
kwa sababu moyo
umekuwa desgined kusukuma
damu ambayo haina
kiwango kikubwa cha
mafuta , sasa kwa sababu
una kiwango kikubwa cha mafuta
kwenye damu basi
maana yake ni kwamba moyo
unafanya kazi isivyo
kawaida, unatumia nguvu nyingi
kusukuma damu, jambo ambalo
ni hatari sana
kwa afya yako
kwa sababu huathiri
utendaji kazi wa
mishipa ya moyo
wako na kukuweka katika
hatari ya kupatwa
na magonjwa ya
moyo. Ndio maana
wewe mwenye tatizo
la kitambi, unene ulio pitiliza
kiasi au uzito
mkubwa kupita kiasi
ukijaribu kukimbia kwa
nguvu unachoka haraka
na mapigo ya
moyo yanaenda kasi sana
na endapo utajilazimisha
sana unaweza kupatwa na
shambulio la moyo, kwa
sababu moyo wako
hauna uwezo wa kusukuma damu
kwa kasi kwa sababu
damu yako ina
mafuta mengi sasa unapo kimbia
una ulazimisha moyo
wako kusukuma damu yenye mafuta mengi
kwa haraka kinyume na
uwezo wa mishipa ya moyo wako katika
kusukuma damu.
·
Mwili
wako una kutahadharisha kuhusu
hatari inayo weza
kutokea mbele yako
endapo hauta chukua hatua
za haraka kukabiliana
ama kudhibiti tatizo
hilo.
·
Mwili
wako unakupa taarifa
kwamba upo katika
hatari ya kukabiliwa
na magonjwa hatarishi
kama vile presha, kiharusi, na magonjwa
mengineyo ya moyo.
·
Kwa
hiyo mwili wako
unakutaka kuchukua hatua
za haraka kukabiliana
na hatari hiyo
kabla haijawa kubwa
zaidi
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kitambi ni ile hali ya tumbo kuwa
kubwa na kuchomoza kwa mbele na wakati
mwingine kufikia hatua ya kunin’ginia.
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu,
mwili wa binadamu una seli kati ya bilioni 50 hadi 200 za
mafuta zilizogawanyika
katika sehemu mbalimbali za mwili
wa binadamu.
Kwa wanawake seli
hizo zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye nyonga,
kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande wa wanaume
seli hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na
kwenye makalio pia.
Mafuta ya tumbo yanayofanya kitambi hukusanywa
kwa njia kuu mbili:
i. Njia ya
kwanza ni mafuta kutoka kwenye tishu zilizo chini ya ngozi
ii. Na njia ya
pili ni kutoka kwenye ogani za ndani kama moyo, kongosho n.k
SABABU ZA KUPATA KITAMBI
Sababu kubwa ya kitambi ni kukosekana ulingano
wa nguvu(kalori) katika mwili wa mwanadamu,
hali inayo sababishwa na mtu kula
vyakula vinavyotia nguvu sana kuliko jinsi anavyoweza kutumia na kutoa kama
taka mwili.
VYAKULA VINAVYO CHANGIA
KULETA KITAMBI
Vyakula
vinavyochangia kuleta kitambi
ni pamoja na :
i. Vyakula vyenye mafuta mengi kama vile nyama
nyekundu (iwe ni ya kuchemsha, kukaanga au kuchoma),
nyama ya kuku wa kizungu (
iwe ya kuchemsha, kukaanga ama kuchoma
), mafuta ya kupikia, (hasa yale yatokanayo na bidhaa za wanyama, kama siagi,
na jibini), viazi vya kukaanga kwa mafuta (chips)
pamoja na pizza.
ii. Vyakula
vyenye wanga mwingi kama vile ugali wa mahindi, mihogo, wali,
mkate mweupe.
iii. Vyakula na vinywaji vyenye sukari nyingi iliyo ongezwa
( added sugar ), kama vile soda na keki.
iv. Vyakula vilivyo tengenezwa kwa ngano na sukari
kama vile keki, skonzi, chapatti, maandazi,
mkate mweupe nakadhalika
v. Pamoja na vinywaji vilivyo tengenezwa kwa kutumia ngano kama vile bia za aina mbalimbali na kadhalika.
Vyakula vilivyo tajwa hapo juu,
vikitumiwa bila kuzingatia kanuni za mlo kamili,
huchangia kuleta tatizo la kitambi.
vi. Sababu
nyingine ni kutofanya mazoezi ya mwili na viungo
( physical exercises ) kwa muda mrefu.
JINSI YA KUJUA KAMA UNA KITAMBI
Kitambi kinaweza kuonekana kirahisi kwa macho.
Ila kujua ni kwa kiwango gani kitambi chako kipo inabidi kufanya vipimo vya
kiuno(waist) na nyonga (hips).
Mzingo wa kiuno ukiwa >102 cm au
40 kwa wanaume na >88 cm au 35 kwa wanawake, na uwiano
wa kiuno na hips(Waist-Hip Ratio) ikiwa >0.9 kwa wanaume na >0.85 kwa
wanawake.
BMI ya 30 au zaidi inaashiria 'Obese' uzito
kuzidi kiasi. Kuwa na mzingo uliozidi kawaida ni kiashiria hatari cha matatizo
ya kimetaboliki, kuliko hata cha BMI.
Kipimo kingine cha kitambi ambacho kimeonyesha
uwezo zaidi kuliko BMI katika kutabiri uwezekano mkubwa wa magonjwa ya moyo ni
Index Of Central Obesity(Waist-To-Height Ratio-WHtR) ambapo uwiano ukiwa sawa
na 0.5 au zaidi, hii ikimaanisha mzingo wa kiuno angalau ni nusu ya kimo cha
mtu.
Kipimo kingine ni Body Volume Index,
kinachopima kitambi kwa kupima umbo la mtu na mgawanyo wa uzito wake.
MAMBO YANAYO MUWEKA MTU KATIKA HATARI YA KUPATWA NA KITAMBI
Tumekwisha ona hapo juu
jinsi kitambi kinavyo patikana na vyakula pamoja na sababu nyinginezo zinazo sababisha kutokea kwa kitambi,
sasa tutazame mambo yatakayo kufanya uwe katika hatari ya kupatwa na kitambi.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za
kitaalamu,
mambo yafuatayo huwaweka watu katika hatari kubwa ya kupatwa na kitambi
:
1. Ulaji mbovu wa chakula;
Ulaji mbovu wa chakula ni ulaji usio zingatia kanuni za mlo kamili.
Hapa mtu hufululiza kutumia chakula cha aina fulani pekee bila kuzingatia aina nyinginezo za chakula. Mfano;
mtu anaweza kuwa anakula mlo ufuatao
:
Asubuhi : Mchemsho ama supu ya ng’ombe
, chapatti tatu na soda moja. Mchana
: Ugali nyama choma
anashushia kwa maji na soda.
Jioni : Mchemsho wa kuku na bia mbili nakuendelea.
Usiku : Chips mayai au chips kuku au chips mishikaki na bia.
Mtu huyu akiendelea na utaratibu huu kwa muda mrefu,
ni lazima atapatwa na kitambi.
2. Ulaji mfululizo wa vyakula vyenye mafuta mengi
3. Ulaji mfululizo wa vyakula vyenye
wanga mwingi .
4. Ulaji mfululizo wa vyakula vyenye sukari iliyo ongezwa
( added sugar ).
5. Ulaji mfululizo wa vyakula vya ngano.
6. Ulaji mfululizo wa vinywaji vyenye
ngano na sukari.
7. Kutofanya mazoezi ya mwili na
viungo ( physical exercises ).
Mhusika anapokuwa katika makundi yote yali
yotajwa hapo juu,
hali huwa mbaya zaidi.
NJIA ZA KUONDOA KITAMBI
Kuwa na kitambi ni lugha ya mwili (
body-language
) inayo leta ujumbe kwako kwamba “
Mwili wako haupo salama tena
“
Kama una kitambi maana yake una mafuta yasiyo hitajika mwilini,
mwili wako unatumika kuhifadhi mafuta usiyo yahitaji.
Hali hii kitabibu imaanisha kwamba,
ogani nyinginezo zilizomo ndani ya mwili wako zinao
gelea kwenye mafuta(
fats ) yasiyo hitajika yaliyomo
ndani ya mwili wako, jambo linalo kuweka katika hatari kubwa sana ya kushambuliwa na magonjwa hatari kama vile shinikizo kubwa la damu,
kiharusi na kisukari na kwa
kutaja machache.
Hivyo basi ili kuondokana na hatari hiyo,
yakupasa kupambana kuondoa hayo mafuta yasiyo hitajika mwilini mwako.
NJIA ZA KUONDOA KITAMBI.
Unaweza kuondokana na kitambi kwa kufanya diet pamoja na mazoezi
ya mwili na viungo.
Vilevile unaweza kuondoa kitambi na kupunguza mafuta mwilini kwa kutumia dawa asilia ya kuondoa kitambi na kuondoa mafuta yasiyo hitajika mwilini.
JINSI TIBA
YA KUONDOA KITAMBI INAVYO FANYA KAZI
1. Kuyeyusha mafuta yasiyo hitajika mwilini.
2. Kusaidia kupunguza hamu ya chakula.
3. Kuzuia kutengenezwa kwa seli za mafuta (
fat cells ) katika mwili wa mwanadamu.
Unapokula chakula chenye mafuta mengi,
dawa hufanya kazi ya
kupambana kuyafanya mafuta hayo yasitengeneze seli za mafuta mwilini mwako.
Hali hii huuepusha mwili wako kuhifadhi mafuta yasiyo hitajika mwilini.
4. Kusaidia kupunguza uzito
wa mwili kwa haraka
UHUSIANO KATI
YA KITAMBI NA
TATIZO LA NGUVU
ZA KIUME
Ili uume
wa mwanaume uweze
kusimama barabara kitu cha
kwanza kabisa mwanaume
huyo lazima apate
wazo la kufanya
tendo la ndoa, wazo
hili huweza kuchagizwa
na vichocheo mbalimbali
kama vile kuyaona
maumbile ya mwanamke
ampendae, wazo hili
hunaswa kama sumaku kwenye
mishipa ya fahamu
iliyopo kwenye ubongo.
Mishipa ya fahamu ikisha
pata picha hii
hutoa ishara kwenye
mishipa ya fahamu
iliyopo kwenye ubongo
ambayo nayo hupeleka
taarifa kwenye mishipa
ya ateri, mishipa ya
ateri ikipokea taarifa
hii hufunguka na inapofunguka damu
hutiririka kuelekea kwenye
misuli ya uume na
mwisho wa siku
uume usimama.
Jambo hili
ni gumu sana
kwa mwanaume mwenye tatizo
la kitambi, au tatizo
la unene ulizo
zidi au tatizo la
uzito ulio pita
kiasi kwa sababu
zifuatazo:
1.
Kwanza mwanaume mwenye
kitambi, unene ulio zidi
au uzito ulio
zidi ana kiwango
kikubwa sana cha mafuta
yasiyo faa kwenye
damu. Mafuta hayo
kwanza huathiri utendaji
kazi wa moyo
katika kusukuma damu
lakini pili huathiri
utiririkaji wa damu kutoka
kwenye moyo kuelekea
katika maeneo mengine
ya mwili ikiwamo
misuli ya uume..
Kwa hiyo mwanaume
huyu hata mishipa
ya ubongo wake
ikipata w azo la kufanya
tendo la ndoa, damu
hushindwa kutiririka vizuri
kwa sababu inapata
upinzani kutoka kwenye
mafuta yaliyo ganda
kwenye mishipa ya
damu, mwisho wa siku
mwanaume huyu anakuwa
na weak erection
na hata inapotokea mwanaume
huyu akapata erection hufika kileleni
kwa muda mfupi
na hukosa uwezo wa
kurudia tendo la
ndoa.
2.
Pili mwanaume mwenye kitambi, unene ulio
zidi au uzito
ulio zidi huweza kuwa na
kiwango kikubwa cha
sukari kwenye damu.
Kiwango kikubwa cha sukari
kwenye damu huweza
kuathiri utendaji kazi
wa mishipa ya
fahamu katika ubongo. Na
kama nilivyo sema hapo
awali kwamba ili uume
wa mwanaume uweze
kusimama ni lazima
kwanza mwanaume huyo
apate wazo la
kufanya tendo la ndoa.
Sasa basi kwa
kuwa ufanisi wa
mishipa yake ya fahamu
katika ubongo umekuwa
dhaifu , mwanaume huyu hata anapo
pata wazo la
kufanya tendo la
ndoa, mishipa yake katika
ubongo hufanya kazi
katika hali dhaifu na
matokeo yake hata
erection yake huwa dhaifu.
Kama hiyo haitoshi kiwango kikubwa cha
sukari kwenye damu
pia huathiri utiririkaji
wa damu.
3.
Mwanaume mwenye
kitambi, unene na/au uzito
ulio zidi anaweza kuwa na
kiwango kikubwa cha
sumu kwenye damu, sumu ambayo huathiri
suala zima la utiririkaji
wa damu .
SULUHISHO
KWA MWANAUME MWENYE
KITAMBI AMBAE ANASUMBULIWA
NA TATIZO LA
UKOSEFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Mwanaume mwenye
tatizo la kitambi
au unene ulio
zidi au uzito
ulio zidi anatakiwa
apate tiba ya
asili ambayo kwanza
itaondoa mafuta yote
yasiyo faa kwenye mishipa
ya damu, tiba
itakayo rekebisha kiwango
cha sukari kweny e
damu yake, tiba ya
asili itakayo ondoa
sumu yote kwenye
damu yake. Tiba
zote hizi kwanza
zitaondoa kabisa kitambi
alicho nacho, pili zitapunguza
unene alionao , tatu
zitapunguza uzito wake
kwa kiasi kikubwa
sana na mwisho
zita mtibu na
kumponyesha kabisa tatizo
la ukosefu wa
nguvu za kiume linalo
mkabili.
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA DUKA
LA KUUZA DAWA LA NEEMA HERBALIST. TUNAUZA
DAWA MBALIMBALI ZA ASILI
AMBAZO ZINATIBU NA
KUPONYESHAMATATIZIO TUNAPATIKANA UBUNGO JIJINI
DAR ES SALAAM, NYUMA YA JENGO LA
UBUNGO PLAZA JIRANI NA SHULE YA
MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
WASILIANA
NASI KUPITIA SIMU NAMBA : 0766 53
83 84.
TUTEMBELEE
KUPITIA BLOGU YETU : www.neemaherbalist.blogspot.com
Comments
Post a Comment