Pumu ni tatizo la kiafya linalo wasubumbua mamilioni ya watu duniani. Kwa ufupi tatizo la pumu ni tatizo linalo sababishwa na kuathirika kwa mfumo wa kupitisha hewa kwenye mapafu ya binadamu. Mtu mwenye tatizo la pumu hupatwa na changamoto ya kuwa na hitilafu kwenye mirija yake ya kupitishia hewa hali ambayo husababisha ute mzito kujaa kwenye mirija hiyo pampja na kuvimba kwa kuta za mirija hiyo mambo ambayo husababisha kupungua kwa njia ya hewa jambo ambalo humfanya muathirika kupumu...