Skip to main content

PUMU NI TATIZO LINALO WEZA KUDHIBITIWA KWA DAWA ZA ASILI NA MIMEA





Pumu ni tatizo  la  kiafya  linalo  wasubumbua  mamilioni  ya  watu  duniani.   Kwa ufupi  tatizo  la  pumu  ni  tatizo  linalo  sababishwa  na kuathirika  kwa  mfumo  wa  kupitisha hewa  kwenye  mapafu  ya  binadamu.

 Mtu  mwenye  tatizo  la  pumu  hupatwa  na  changamoto  ya  kuwa  na  hitilafu  kwenye  mirija  yake  ya  kupitishia  hewa  hali  ambayo  husababisha  ute  mzito  kujaa  kwenye  mirija  hiyo pampja  na  kuvimba  kwa  kuta  za  mirija  hiyo  mambo  ambayo  husababisha  kupungua  kwa  njia  ya  hewa  jambo  ambalo  humfanya  muathirika  kupumua  kwa  shida  sana  kwa  sababu  ya  kushindwa  kuvuta  na  kutoa  hewa  nje. 

 

Pamoja  na  tatizo  la  pumu  kutajwa  kuwa  tatizo  tishio  kwa  uhai  wa  binadamu  lakini  zipo  tiba  mbalimbali  za  asili  ambazo  zina  uwezo  wa  kutibu  na  kudhibiti  kabisa   tatizo  la  pumu.

Dawa  za  asili  zitumikazo  kutibu na  kudhibiti  tatizo  la  pumu  zimegawanyika  katika  makundi  makuu  mawili, kundi  la  kwanza  ni  dawa  zile  ambazo  hutibu  na  kudhibiti  kabisa tatizo  la  pumu  kwa  watoto  na  kundi  la  pili  ni  dawa  zile  ambazo  hutibu  na  kudhibiti  kabisa  tatizo  la  pumu  kwa  watu  wazima.

 

Makala  haya  yameandaliwa  na  DUKA  la  kuuza  dawa  mbalimbali  za  mimea   la  NEEMA HERBALIST.  Tunapatikana  UBUNGO  jijini  DAR  ES  SALAAM  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA  jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING.

Tupatikana kupitia  simu  namba  0766  53  83  84.

 


Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...