JE Unasumbuliwa na tatizo la kutokwa na vipele kisogoni ? Vipele vinavyo sababishwa na kunyoa saluni ? Kama jibu lako ni NDIO , basi hii ni HABARI NJEMA SANA KWAKO. Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni duka la kuuza dawa mbalimbali za asili. Tunakuarifu kuwa, tunayo dawa asilia inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la kutokwa na vipele kisogoni.
Dawa yetu ni ya asili kabisa, isiyo na kemikali za viwandani na inatibu na kukausha kabisa tatizo la kutokwa na vipele kisogoni ndani ya siku thelathini.
.Tunapatikana UBUNGO jijini Dar Es Salaam, jirani na Shule Ya Msingi Ubungo National Housing, nyuma ya jengo la Ubungo Plaza.
Kwa wateja wasio weza kufika ofisini kwetu, watapelekewa dawa mahali walipo ( DELIVERY ). Kwa wateja wa mikoani, watatumiwa dawa kwa njia ya mabasi. Kwa wateja waliopo Zanzibar, watatumiwa dawa kwa njia ya boti, na kwa DIASPORA watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
Tunapatikana kwa simu namba 0766 53 83 84. Na kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, tutembelee : www.neemaherbalist.com