Moja Kati ya changamoto wazipatazo wanaume wengi wenye tatizo la Sukari ya Kupanda ni pamoja Na tatizo la Ukosefu wa nguvu ZA kiume..
NI NINI TAFSIRI YA KUWA NA TATIZO LA SUKARI YA KUPANDA: Kuwa Na tatizo la Sukari ya Kupanda tafsiri yake ni kwamba KONGOSHO zako zako zimepoteza uwezo wake wa kufanya Kazi au Kwa lugha nyepesi zimefeli.
Kazi kubwa ya KONGOSHO ni kuzalisha homoni zijulikanazo kama INSULIN. Na Kazi ya INSULIN ni kudhibiti kiwango cha Sukari kwenye damu. Homoni za insulin zina usaidia na kuuwezesha mwili kufyonza hatimae kutumia wanga uliopo kwenye chakula Kwa ajili ya kuupa mwili nguvu. Homoni za insulin husafirisha sukari kutoka kwenye damu kwenda kwenye seli mbalimbali za mwili Kwa ajili ya kuupa mwili nguvu. Kama KONGOSHO zikifeli maana yake ni kwamba zitashindwa kuzalisha insulini au zitazalisha kiwango kidogo Sana cha insulini. Kama mwili una kiwango kidogo Sana cha insulini tafsiri yake ni kwamba seli zitashindwa kufyonza sukari kwenye damu na kuipeleka katika sehemu zingine za mwili.
Matokeo yake mhusika atakuwa na kiwango kikubwa Sana cha Sukari kwenye damu yake..
UHUSIANO KATI YA SUKARI YA KUPANDA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
Tumeshaona hapo juu nini Sababu na maana ya kuwa na tatizo la Sukari ya Kupanda Sasa tuujue uhusiano uliopo Kati ya tatizo la Sukari ya Kupanda na tatizo la nguvu za kiume. MTU mwenye tatizo la Sukari ya Kupanda maana yake ni kwamba ana kiwango kikubwa cha sukari kwenye mishipa ya damu. Kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu huathiri suala la zima la mtiririko wa damu mwilini. Mtiririko wa damu mwilini ni muhimu Sana katika nguvu za kiume Kwa Sababu ili uume wa mwanaume uweze kusimama kwanza mwanaume huyo apate wazo la kufanya tendo la ndoa. Mwanaume akishapata wazo la kufanya tendo la ndoa mishipa ya fahamu katika Ubongo hupeleka taarifa kwenye mishipa ya fahamu katika uti wa mgongo. Mishipa ya fahamu katika uti wa mgongo ikipokea taarifa hiyo hutoa ishara kwenye mishipa ya ateri na mishipa ya ateri ikipokea ishara hiyo hufunguka na kutanuka na ikishatanuka ndipo damu hutiririka kuelekea kwenye misuli ya uume na kuufanya uume kusimama. Jambo hili ni gumu Sana Kwa mtu mwenye sukari ya Kupanda Kwa Sababu kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu huathiri utiririkaji wa damu.
PILI kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu huathiri utendaji Kazi wa mishipa ya fahamu katika Ubongo Na kama tulivyo ona hapo juu umuhimu wa mishipa ya fahamu kwenye Ubongo katika suala zima la nguvu za kiume kwamba ili uume wa mwanaume uweze kusimama ni lazima Kwanza apate wazo la kufanya tendo la ndoa na akipata wazo Hilo mishipa ya Ubongo hunasa hilo wazo na kutuma taarifa kwenye mishipa ya fahamu katika uti wa mgongo Sasa kama mishipa ya fahamu katika Ubongo ni dhaifu maana yake haiwezi kutimiza jukumu lake hili la msingi Kwa ufasaha matokeo taarifa huwa dhaifu na hata uume ukisimama unakuwa dhaifu pia. ..
TATU : Kiwango cha sukari katika damu kisipo dhibitiwa mapema kinaweza kugeuka Na kuwa sumu ambayo huweza kusababisha matatizo mengine makubwa zaidi kama vile shinikizo la damu , tatizo la Moyo na kufeli Kwa Figo matatizo ambayo ni vyanzo vingine vikuu vya tatizo la Ukosefu wa nguvu za kiume.Hali huwa mbaya Zaidi kama mwanaume husika ana matatizo mengine kama vile ngiri au ameathirika na masterbation.
SULUHISHO: MWANAUME MWENYE TATIZO LA SUKARI YA KUPANDA ANATAKIWA KUPATA TIBA MAALUMU AMBAYO KWANZA ITATIBU NA KUDHIBITI KABISA TATIZO LA KIWANGO CHA SUKARI KWENYE DAMU LAKINI PILI ITAMTIBU NA KUMPONYESHA KABISA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME. Makala haya yametolewa na duka la kuuza Dawa za asili la NEEMA HERBALIST. TUNAPATIKANA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM NYUMA YA JENGO LA UBUNGO PLAZA. TUNAPATIKANA KUPITIA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.
Tutembelee pia kupitia blogu yetu: www neemaherbalist.blogspot.com
Comments
Post a Comment