Katika miaka
ya hivi karibuni
idadi ya vijana
wadogo wenye vipara
imekuwa kubwa kuliko
ilivyo kuwa hapo zamani.
Miaka ya
90 kurudi nyuma
ilikuwa ukimuoa mtu
ana upara kichwani
basi pasi na
shaka yoyote mtu
huyo alikuwa ni
mtu mzima at least
kuanzia miaka hamsini
na kuendelea.
Kama angekuwa
kijana sana basi
at least angekuwa
kwenye miaka arobaini
mwishoni yani anaitafuta
miaka hamsini. Ilikuwa
ni nadra sana
kumuona kijana ana
upara.
Miaka hiyo ya zamani
dhana ya mtu
kuwa na upara
ilihusishwa na uzee ndio
maana kipindi hicho
ulisikia watu wakiitwa
Mzee Kipara nakadhalika. Ilikuwa ni
nadra sana kumkuta
kijana mdogo akiwa
na upara.
Lakini hali
imekuwa tofauti sana katika miaka
ya hivi karibuni.
Siku hizi kumekuwa
na vijana wadogo
sana ambao wana
vipara. Siku hizi
limekuwa jambo la
kawaida kumkuta kijana
mwenye umri wa
miaka 22 au
26 akiwa na
upara tofauti na
ilivyo kuwa zamani.
Hata vijana
wenyewe wahanga wa
tatizo la upara
wanajua kwamba upara
anapaswa kuwa nao
mtu mzima. Ndio
maana upara huwafanya
vijana hao kutokuwa
comforatable kwa sababu
una wafanya waonekane kama
wazee na kwa
kijana mwenye umri
wa miaka 26
jambo ambalo hatotaka
kulisikia ni kuona
watu wakimdhania kuwa
yeye ni mzee,
“ Mkuu nashindwa hata
kuvaa suti kwa
sababu huwezi kuvaa
suti na kofia na mimi
sitaki kuonekana kwa
watu kama nina
kipara” alisema kijana
mmoja mkaazi wa
jijini Dar Es
Salaam mwenye umri wa
miaka 24 ambaye ana
changamoto ya kuwa
na upara.
JE KUNA
UHUSIANO WOWOTE KATI
YA UPARA NA
TABIA YA KUJICHUA
?
Hakuna utafiti
wowote wa kisayansi
unao thibitisha kuwepo
kwa uhusiano kati
ya punyeto na
upara.
Isipokuwa baadhi
ya wataalamu wana toa
hoja kwamba manii
za kiume zina
kiwango kikubwa sana
cha protini. Protini hiyo ni
muhimu sana katika ukuaji
wa nywele. Mtu anae
piga punyeto hufanya
hivyo mara nyingi
sana na kila
wakati na hivyo
kupoteza kiwango kikubwa
sana cha protini
ambacho kingeweza kutumika
katika kurutubisha mfumo
mzima wa ukuaji
wa nywele.
Vile vile
upigaji punyeto huathiri
uzalishwaji wa homoni
zijulikanazo kitaalamu kama
HGH ambazo huzalishwa
kwenye ini na
ambazo uhusika na
ukuaji wa maumbile
na sehemu mbalimbali
za mwili wa mwanadamu
kama vile maumbile
ya kiume nadhalika. Ndio maana
wanaume walio piga masturbation
kwa
muda mrefu maumbile yao
ya kiume husinyaa na
hushindwa kukua kama
inavyo takiwa.
Kama nilivyo sema
hapo juu mpaka sasa
hakuna utafiti wowote
wa kisayansi unao
thibitisha kuwepo kwa
link kati ya masturbation
na
upara.
Lakini hata
hivyo lazima tujiulize
swali, JE INAWEZEKANA WAZUNGU
WANAJUA KWAMBA KUNA
UHUSIANO KATI YA
MASTURBATION NA UPARA LAKINI
WAMEAMUA KUFICHA UKWELI
HUO KWA SABABU
MAALUMU ?
Jibu linaweza
kuwa NDIO au
HAPANA. Hapana kwa
sababu hatuna uhakika
kama wazungu wanaujua ukweli
huu lakini wameuficha
na NDIO kwa
sababu inawezekana kweli
wazungu wakawa wanaujua
ukweli lakini wame uficha
kwa sababu maalumu.
JE KAMA
JIBU NI UKWELI, NINI
INAWEZA KUWA SABABU
YA WAZUNGU KUUFICHA UKWELI
HUU ?
Kuna taarifa
zisizo rasmi kwamba lipo
kundi la wazungu
ambao wana agenda
ya kupunguza idadi
ya watu duniani
ama kudhibiti ongezeko
la idadi ya
watu duniani. Inawezekana
masturbation ikawa ni
moja kati ya
nyenzo ambazo zinawasaidia
kutimiza lengo lao. Endapo
watasema masturbation inasababisha
upara, kutakuwa na kundi
kubwa la vijana
wa kiume ambao
watafanya kadri iwezekanavyo
waachane kabisa na
masturbation ili kuondokana
na uwezekano wa
kupatwa na kipara
na kwa wale
ambao hawajaanza kabisa
kufanya masturbation basi
kutokujaribu kabisa jambo
ambalo litakuwa tishio kwa
agenda hiyo ya
kupunguza na kudhibiti idadi ya
watu duniani. Imagine
kama mamilioni ya
wanaume duniani ambao
wanafanya masturbation kama
wangefanya tendo hilo
na wanawake ni
watoto wangapi wangezaliwa? Ina
fikirisha.
Jambo lingine
linalo fikirisha katika
hili ni kwamba
pamoja na kwamba
masturbation ina madhara
makubwa sana kwa
mwanaume anae jihusisha
nayo lakini wataalamu
wazungu wamekuwa waki I
promote masturbation kwa
kusema kwamba haina
madhara yoyote yale
JE WEWE
KIJANA WA KIUME
AMBAE UMEJIHUSISHA NA
MASTURBATION KWA MIAKA
NENDA MIAKA RUDI, UNAKUBALIANA NA
HOJA HIYO YA
WAZUNGU KWAMBA MASTURBATION
HAINA MADHARA? MAJIBU
UNAYO WEWE MWENYEWE.
Inawezekana kukawa na
uhusiano kati ya
masturbation na upara kwa sababu
idadi kubwa ya
vijana wenye upara
wana sema wamewahi kujihusisha
na masturbation kwa
muda mrefu.
LAKINI SWALI
JINGINE LA KUJIULIZA
NI JE? KAMA
MASTURBATION NDIO SABABU YA
KUWA NA UPARA
MBONA VIJANA WANAO
FANYA MASTURBATION NI
WENGI NA SIO
WOTE WANA VIPARA ? MBONA KUNA
VIJANA WENGI TU
WAMEFANYA MASTURBATION MUDA
MREFU LAKINI HAWANA
VIPARA ?
Kwa mtazamo
wangu nafikiri sababu
inaweza kuwa ni
VINASABA. Tatizo
la upara kwa
kiasi kikubwa linasababishwa na
vinasaba. Umerithi vinasaba
kutoka kwa baba
ako au babu yako au
babu wa babu
yako au pengine
hata kutoka kwa
babu yako wa
kumi ambae hata
babu yako mzazi
hakuwahi kumuona.
Imekuwa rahisi
kwako wewe kijana
unae jihusisha na
punyeto ambae una
vinasaba vya upara
kupatwa na upara
kwa sababu una vinasaba
vya upara ndani
yako na kama
tulivyo ona hapo
juu punyeto inaweza
kuwa na madhara
katika suala zima
la uoati wa
nywele.
Kijana mwenzako
anae jihusisha na
punyeto kama wewe
lakini hana vinasaba
vya upara imekuwa
ngumu kwake kupatwa
na upara kwa
sababu hana vinasaba vya
upara.
YANI NI
SAWA NA KUSEMA
KWANINI WATU WASIO
NA SHIDA YA
SUKARI YA KUPANDA WANATUMIA
VYAKULA VYA WANGA
NA HAWAPATI MADHARA
YOYOTE LAKINI WEWE
MWENYE KUSUMBULIWA NA
TATIZO LA SUKARI
YA KUPANDA UKITUMIA VYAKULA VYA
WANGA UNAPATA MADHARA?
Jibu ni kwa
sababu wewe tayari
una tatizo la
sukari ya kupanda , mtu
mwenye sukari ya
kupanda hatakiwi kutumiwa
kiwango kikubwa cha
vyakula vya wanga
kwa sababu utakuwa
na madhara kwake
lakini mtu asie
na tatizo la sukari
ya kupanda anaweza
kutumia vyakula hivyo
na asipate madhara
unayo weza kuyapata wewe mwenye
tatizo.
LAKINI HATA
HIVYO KUWA NA VINASABA VYA
UPARA SIO TIKETI
YA KUKUFANYA UPATWE
NA UPARA UKIWA
KATIKA UMRI WA
MIAKA 20.
Hata kama
upara wako ni
wa kurithi ilipaswa
angalau nywele zako
zianze kunyonyoka pindi
utakapo fikisha umri
wa miaka 55 -60
na kuendelea. Ndivyo tulivyo
ona zamani. Mtu ndio
amerithi upara kwa
baba ake lakini
ujana wake wote
anauishi akiwa na
nywele zake. Ila
anapo ingia umri wa
utu uzima sasa
ndio kipara kinaanza
kuonekana.
Inawezekana kabisa
punyeto ikawa ndio
imechochea ama kuharakisha wewe
upate upara mapema
kabla ya wakati
wake. Pengine kama
usinge jihusisha na
punyeto ungekuja kupata
upara ukiwa na
umri wa miaka
58 na kuendelea,
Tunayo mifano
mingi ya watu
wenye shida ya upara
wa utotoni ambao
tumepata kuwahudumia. Unakuta
kijana ana umri
wa miaka 26. Baba
yake mzazi ambaye
anaitafuta miaka 80
ana upara. Kaka zake
wakubwa watatu, mmoja ana
miaka 43 mwingine
45 na mwingine 48 hawana
hata dalili za
kuwa na upara, lakini
yeye kijana wa
miaka 26 ana
upara mkubwa umeanza
kukomaa kabisa. Unaweza
kusema kwamba sababu
inaweza kuwa kijana
huyo kujihusisha na
punyeto kwa muda
mrefu.
JE IPO
TIBA YA UPARA
?
Ndio zipo
dawa mbalimbali za
mimea ambazo hutibu
na kudhibiti tatizo
la upara . Upo
mmea mmoja unamea
mwituni. Mmea huo
una faida nyingi
sana katika afya
ya binadamu. Mizizi
ya mmea huo ikisagwa
, unga wake hutibu
na kudhibiti kwa
kiasi kikubwa sana tatizo
la mafuta kwenye
moyo na tatizo
la moyo kuwa
mkubwa. Huondoa kabisa mafuta
kwenye moyo na
kutibu kabisa tatizo
la moyo kuwa
mkubwa., Majani ya
mmea huo yakikaushwa na
kusagwa hutibu na
kudhibiti kabisa tatizo
la upara na uwalaza.
MAKALA HAYA
YAMEANDALIWA NA DUKA
LA KUUZA DAWA
ZA ASILI NA
MIMEA LA NEEMA
HERBALIST. TUNAPATIKANA UBUNGO
JIJINI DAR ES
SALAAM NYUMA YA
JENGO LA UBUNGO
PLAZA . KARIBU NA SHULE
YA MSINGI UBUNGO
NATIONAL HOUSING .
WASILIANA NASI
KUPITIA SIMU NAMBA
0766 53 83 84.
Nitaipataje dawa kamili ya kukuza uume na ni kwa beigani niko dsm kigamboni.?
ReplyDelete