JINSI YA KUONDOA VINYWELEO VYA MIGUUNI, MIKONONI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI KWA KUTUMIA DAWA ZA MIMEA
Kuwa na vinyweleo
vingi kwenye miguu, mikononi na sehemu mbalimbali za mwilini ni jambo
linalo wakwaza watu wengi hasahasa wanawake.
Je wewe ni miongoni mwa watu wenye tatizo la vinyweleo vingi ? Unataka
kuondoa vinyweleo vyako kwa njia za asili ? Umejaribu njia nyingi ili kumaliza tatizo lako la
vinyweleo bila kupata mafanikio yoyote? Unataka
kupata tiba ya uhakika ya kumaliza
tatizo lako? Kama jibu lako ni NDIO basi hii ni HABARI NJEMA SANA. Neema
Herbalist ni duka la kuuza dawa mbalimbali za mimea. Tunayo furaha kukufahamisha kwamba zipo dawa
mbalimbali za mimea ambazo zinaondoa na kumaliza kabisa tatizola vinyweleo
kwenye miguu, kwenye mikono na sehemu mbalimbali za mwili. Dawa hizo ni za
mimea ya asili kabisa ( pure herbal) ambazo hazijapita kiwandani ( hazija
changanywa na kemikali za viwandani) na zinaondoa na kumaliza tatizo la
vinyweleo moja kwa moja.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu:
0766 53 83 84.
Na kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu , tembelea kila siku
katika blogu yetu: www.neemaherbalist.blogspot.com
Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM, jirani na SHULE YA
MSINGI UBUNGO PLAZA nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Comments
Post a Comment