WASAIDIZI
WA KAZI ZA NYUBANI WANAPATIKANA :
Neema Herbalist & Nutritional Foods Services ,
tunapenda kukutaarifu wewe mteja wetu wa
thamani kwamba sasa tunao vijana wa kike
na kiume ambao wapo tayari kwa majukumu ya kazi za nyumbani.
SIFA
ZAO:
i.
Wamemaliza fom 4 kati ya mwaka 2022
na2023.
ii.
Wote wanaishi ndani ya mkoa wa Dar Es
Salaam.
SIFA
ZA ZIADA
Tumewapatia mafunzo maalumu kuhusu jinsi ya
kupika vyakula maalumu ( special –diet)
kwa watu wenye mahitaji maalumu ya kiafya kama vile :
i.
Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la presha
&kisukari.
ii.
Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la
vidonda vya tumbo
iii.
Lishe maalumu ya kupunguza unene, uzito
na kuondosha kitambi.
iv.
lishe maalumu kwa wanaume wenye tatizo
la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za
kiume
v.
Lishe
maalumu ya kunenepa kwa watu walio konda
kwa sababu mbalimbali kama vile : msongo wa mawazo na/au kuugua matatizo mbalimbali ya kiafya kama vile kisukari
na vidonda vya tumbo.
vi.
Pamoja na lishe zingine maalumu kwa watu
wenye matatizo mengineyo ya kiafya
Kwa
maelezo zaidi, tutembelee kila siku hapa
hapa kwenye kwenye blogu yetu WWW.NEEMAHERBALIST.BLOGSPOT.COM/
Tuandikie
E.MAIL : neemaherbalist@gmail.com
.
Tupigie
simu kawaida : 0766 53 83 84
Au : WHATSAPP:
0745 433 595.
Comments
Post a Comment