Habari zenu wapendwa wateja wetu ambao mmekuwa mkitusapoti kwa miaka kumi na nne sasa. Neema Herbalist & Nutritional Food Services tunapenda kuwataarifu kwamba, sasa huduma ya wapishi wa vyakula maalumu ( Special Diet) kwa watu wenye mahitaji maalumu ya kiafya inapatikana tena. Kama ilivyo siku zote, wapishi tulio nao wanaweza kupika vyakula maalumu vya aina zifuatazo: 1. Lishe maalumu kwa watu wenye shida ya vidonda vya tumbo. 2. Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la presha na kisukari. 3. Lishe maalumu kwa watu walio kinda sana na ambao wanataka kunenepa( Kurejesha afya zao) 4. Lishe maalumu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume. 5. Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la kiriba tumbo( kitambi) na uzito ulio pitiliza ambao wanataka kuondokana na tatizo la kitambi pamoja na kupunguza uzito. Utaratibu wetu ni ule ule, mpishi ana toa huduma hii ya upishi eidha ofisini kwako ama nyumbani kwako. Kama unah...