Jina langu naitwa Mwanaidi Juma, umri wangu ni miaka 33, kabila langu ni Mmanyema wa Ujiji, Kigoma na makazi yangu kwa hapa jijini Dar Es Salaam, yapo Chanika.
Ninatafuta nafasi ya kazi ya ndani ya kwenda na kurudi ( Silali kwa mwajiri).
Kazi iwe ndani ya Chanika au kama nje ya Chanika basi iwe sehemu ambayo nitakuwa napanda gari tu kufika.
Nina uzoefu wa miaka mitano katika kazi hii.
Nimepata mafunzo maalumu kutoka NEEMA HERBALIST kuhusu jinsi ya kuandaa na kutayarisha lishe maalumu kwa watu wenye maalumu ya kiafya kama vile: Presha na Sukari, Vidonda vya Tumbo, Tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake, tatizo la kitambi, tatizo la unene na uzito ulizo zidi, tatizo la kupungua mwili.
Kw hivyo, ninaweza kupika mapishi na vyakula naalumu kwa watu wenye mahitaji mbalimbali ya kiafya kama vile:
1. Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la presha na sukari.
2. Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la vidonda vya tumbo.
3. Lishe maalumu ya kuondoa kabisa kitambi na kufanya tumbo kuwa flat kabisa.
4. Lishe maalumu ya kupunguza unene na uzito uliozidi.
5. Lishe maalumu kwa watu wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
6. Lishe maalumu kwa wanawake wenue tatizo ya kukosha ashkhi ya kufanya tendo la ndoa.
7. Lishe maalumu ya kuwasaidia kurejesha mwili ( kunenepa) watu walio pungua mwili ( walio kinda) kwa sababu mbalimbali kama vile msongo wa mawazo ( Depression) au kuugua maradhi mbalimbali kama vile vidonda vya tumbo, sukari nakadhalika.
Kama unahitaji huduma ya Mwanaidi, tunadikie barua Pepe : neemaherbalist@gmail.com.
Na kwa wewe unae hitaji dawa mbalimnali za asili na lishe zake kwa ajili ya matatizo mbalimbali ya kiafya wasiliana nasi NEEMA HERBALIST kupitia namba zetu za simu :
0766 53 83 84 au 0693 005 189.
AU WHATSAPP : 0745 433 595.
Tulikuwa UBUNGO Ila kwa sasa tumehamia Chanika Mwisho.
Kwa wewe usie weza kufika ofisini kwetu, tunayo huduma ya kukuletea dawa mahali ulipo ( DELIVERY) na kwa wewe ambae upo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, tunakutumia dawa kwa njia ya mabus mbalimbali.
Comments
Post a Comment