Kisa hiki kinatoka kwenye kitabu chetu kiitwacho " WANAUME WANAO FANYA PUNYETO NDANI YA NDOA" na kina muhusu jamaa aitwae " Mashoto" ( Sio jina lake halisi) Kisome kisa hiki kama ifuatavyo: 👇👇 Jina langu naitwa Mashoto nimezaliwa mwaka 1985. Nianze kuelezea story yangu moja kwa moja. Kwa bahati mbaya Sana nilianza kujihusisha na ngono nikiwa bado mdogo Sana. Nadhani ilikuwa ni kwa sababu kuu mbili; Ya kwanza kwa sababu niliwahi sana kubalehe na sababu ya pili nilikuwa nina umbo kubwa ikilinganishwa na umri wangu. Nikiwa nna miaka 15 nilionekana kama mtu mwenye miaka 18 au 20 hivi. Wasichana wa umri wangu niliwaona watoto. Nakumbuka hadi tarehe ilikuwa tarehe 18 Novemba 2000. Nilikuwa tayari nimeshafanya mitihani yangu ya taifa ya kidato cha pili, na hapo nilikuwa nasubiri majibu ya kuingia kidato cha tatu. Mwanamke wa kwanza kutembea nae alikuwa Baa Medi. Kwa kumtazama alikuwa ananizidi kama miaka minne au mitano hivi. Nilikua naen...