Skip to main content

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME




PILIPILI 


Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .

 Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekondari  za  bweni  za  wavulana  tu ), kujiepusha  na  hatari  ya  kupata  maambukizi  ya  v.v.u  nakadhalika

                                    ATHARI  ZA  PUNYETO    KWA  WAVULANA.

Punyeto  ina  athari  nyingi  na  kubwa  sana  kwa  wanaume  wanao  jihusisha  nayo, lakini  kwa  leo, tutaangalia  athari  moja  kubwa  kati  ya  nyingi. Athari  hii  si  nyingine  bali  na  KUUA  NGUVU  ZA  KIUME.  Mwanaume  anayepiga  punyeto  hutumia  nguvu  nyingi  kuibana  mishipa  inayo  fanya  uume  usimame. Mwisho  wa  siku  uume  hulegea  na  kusinyaa, na  kukosa  nguvu  kabisa  na  hatimaye  mhusika  kuwa  khanithi. Uchunguzi  unaoonyesha, kuna  idadi  kubwa  sana  ya  wanaume  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  la  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kama  matokeo  ya  kupiga  punyeto  kwa  muda  mrefu. Athari  za  mwanaume  kutokuwa  na  nguvu  za  kiume, nadhani  zinajulikana, ila  kwa  faida  ya  wote  tutazizungumzia  kwa  kina  siku  za  mbele, lakini  kwa  ufupi  ni  aibu  kubwa  sana   kwa  mwanaume  kukubali  kuua  ufanisi  wa  uume  wake  kwa  sababu  ya  kupiga  punyeto.

MUNGU  HAPENDI  PUNYETO  :  ( MIONGONI  MWA  WANANZUONI  WA  MASOMO  YA  BIBLIA  DHAMBI  YA  KUPIGA  PUNYETO  HUJULIKANA  KAMA  ONANISM  )

Kwa  mujibu  wa  maandiko  matakatifu, upigaji  punyeto  ni  moja  kati  ya  matendo  yanayo  muudhi  Mwenyezi  Mungu, kwa  sababu  yanapigana  na  utaratibu  aliouweka . Kwenye   kitabu  cha  MWANZO  38:9, Onan  mwana  wa  Yuda  aliagizwa  na  baba  yake  ( Yuda )  kwenda  kumjua  mke  wa  kaka  yake  ( Onan )  ili  aweze  kumzalia  watoto.   (  Kwa  mujibu  wa  mila  na  desturi  za  kiyahudi  wakati  huo, kaka  anapofariki  bila  kucaha  mtoto, ndugu  wa  kiume  wa  marehemu  hutakiwa  kwenda  kumuoa   mjane  aliye  achwa  na  kaka  yake, na  watoto  watakao  zaliwa  watabeba  jina  la  marehemu  kaka  yake..., aina  hii    ya  ndoa  hujulikana  kama   LEVIRATE  MARRIAGE  )Biblia  inasema, Onan  hakutaka  kumpa  mimba  mjane  wa  kaka  yake  ilihali  akijua  watoto  watakao  zaliwa  hawatakuwa  warithi  wake, hivyo  basi  kila  mara  alipokutana  kimwili  na  mjane  wa  kaka  yake, alimwaga  mbegu  zake  pembeni. Biblia  inasema  katika   kitabu  kile  cha  Mwanzo  38: 10  " 




" Alicho  kifanya  kilikuwa  ni    chukizo  kubwa  mbele  za  Mwenyezi  Mungu  hivyo  Mwenyezi  Mungu  akampa  adhabu  ya  kifo! "


Umeona!  Kumbe  basi  adhabu  ya  kiroho  ya  tendo  la  masturbation  ni  “umauti!”. Umauti  huo  unaweza  usiwe  kama  ulio  mpata  Onan, ila  unaweza  kuja  katika  sura  tofauti. Mfano  kufa  kwa  nguvu  za  kiume, ni   adhabu  tosha  sana    kwa  mwanaume    yoyote  yule  duniani  na  inaweza  kuwa  kali  kuliko  hata  ile  aliyopewa  Onan.



DAWA    YA  ASILI  NA  YA  UHAKIKA  YA   KUKUFANYA  UACHE  KUFANYA  PUNYETO.



Uzoefu  unaonyesha, mtu  anayepiga  punyeto, hata  kama  ameathiriwa  na  tatizo  la  punyeto  kwa  kiwango  gani, endapo  atafanikiwa  kutopiga  punyeto  kwa  muda  wa  siku  arobaini  mfululizo, mtu  huyo  hatopiga  tena  punyeto  katika  siku  zote  za  maisha  yake  kwani  tayari  mtu  huyo  atakuwa  amerudia  katika  hali  yake  ya  kuto  kuwa  addicted  tena  na  upigaji  punyeto, na  atalichukia  kabisa  hata  jina  la  tendo  hilo  achilia  mbali  tendo  lenyewe.



UFANYE  NINI  ILI  USIPIGE  PUNYETO  KWA  MUDA  WA  SIKU  AROBAINI  MFULULIZO!

Sio  rahisi  kwa  mtu  aliyekuwa  addicted  na  punyeto  kustahimili  kujizuia  kupiga  punyeto   kwa  muda  wa  siku  arobaini  mfululizo. Anaweza  kujizuia  kupiga  punyeto  kwa  siku  mbili  lakini  baada  ya  hapo  ataendelea  tena  na  mchezo  wako.



ATUMIE  DAWA  IPI?



PILIPILI

Pilipili  inayo  hitajika  hapa  ni  yoyote  ile  ili  mradi  iwe  kali  sana,  (  Ila  inayo  pendekezwa  ni  pilipili  mbuzi  ama  pilipili  kichaa, pilipili  hoho  haihusiki  hapa  ).



MATUMIZI



Kwanza  kabla  ya  kujua  matumizi  ni  vyema  ukatambua  muda  ambao  huwa  unapiga  punyeto  (  Mara  nyingi  huwa  ni  asubuhi  baada  ya  kuamka,wakati  wa  kuoga  ama  usiku  kabla  ya  kulala  ).

Chukua  pilipili  zako, zipasulie  kwenye   viganja  vya  vidole  vyako  na  kujipakaza  katika  viganja  vya  vidole  vyako.  Unaweza   kutumia  pili  moja  kwa  kila  kiganja, na  kwa  kila  muda  ambao  huwa  unapiga  punyeto  lakini   unaruhusiwa  kujipakaza  zaidi  ya  pilipili  moja.

Ukishajipaka  pilipili  kwenye  viganja  vya  vidole  vyako, moja  kwa  moja  unakuwa  umekwisha  jilazimisha  kutokufanya  punyeto, kwa  sababu  ukipiga  punyeto  kwa  viganja  ambavyo  vina  pilipili  utawashwa  sana  wala  hautaweza  kufurahia  tendo  hilo.



JAMBO  LA  KUZINGATIA  : Hakikisha  unakuwa  na  walau  pilipili mbili  mpaka  nne  kila  unapokuwa   katika  maeneo  ambayo  yanaweza  kukuchochea  kufanya  punyeto.



UFANISI  WA DAWA  HII : Dawa  hii  inawafaa  wale  tu  ambao  wamedhamiria  kutoka  mioyoni  mwao  kuacha   kufanya  punyeto. Kwa  wale  ambao  hawajadhamiria  haitaweza  kuwasaidia. 



MWISHO,TUNAWATAKIA  KILA  LA  HERI  WATU  WOTE  WATAKAO  AMUA  KUJARIBU  KUTUMIA  NJIA  HII  KUACHANA  NA   SUALA  LA  UPIGAJI  PUNYETO. TUTAFURAHI  SANA ENDAPO  MTATUPA    FEEDBACK  BAADA  YA  HIZO  SIKU  AROBAINI  TANGU  MUANZE  KUFANYA  ZOEZI  HILI. MUNGU AWAPE  NGUVU  NA  AWABARIKI. 


Comments

  1. i wish u ze best lemm try it!

    ReplyDelete
  2. mmmmmmmh arooooooo tunawashwa jamani

    ReplyDelete
  3. ahsante sana niulize hivi mtu akiacha nguvu zake za kiume zitarudi kama zamani??my no is 0764224280

    ReplyDelete
  4. Je nini kitajiri baada ya hizo siku arobaini kwa huyo mtu je nguvu za kiume zitarejea tena ktk hali yake ya awali ama mpaka apate tiba?

    ReplyDelete
  5. Mm naona iyo siyo dawa.hamu inapokuja asa.ata ujipake kitu gani.utajisafsha then kamawkawa

    ReplyDelete
  6. mi mbona nilifikisha siku arobaini mbona sikuacha?

    ReplyDelete
  7. Tanzania bila ugumba inawezekana tuache punyeto

    ReplyDelete
  8. Duh!!!? hiyo dawa ni nouma sana

    ReplyDelete
  9. Aisee vijana weng tumetekwa sna na hali hii hivyo bas nawasihi vijana wenzangu tubadlike kwa kuachana na hii tabia maana tukiendkza tutakosa watoto na wanawake watatudharau sna maana raha ya mwanaume uwe na sifa hiyo ya kufanya kazi.maana hata uwe na mali nying lakin bila hicho kitu sio mwanaume halisi

    ReplyDelete
  10. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  11. Guys i issue ni mbaya mbaya sana haifai kabisa yana inatesa, nyeto is a fool usikubali azimia kabisa utaiacha jaribu kutoiwaza

    ReplyDelete
  12. Tatizo kubwa la vijana wa kileo ni kuangalia Ponography xana kwa malengo yasiyo ya msingi matokeo yake tunajifunza vitu visivyofaa kwenye calture yetu
    Na pia ukiangalia porn videoz ukiwa mwenyewe zinachangia sehemu kubwa sana kufanya punyeto

    We hv to stop kabisa ni hatari xaana cz inaathiri hadi ubongo ( Sycology )

    ReplyDelete
  13. Tatizo kubwa la vijana wa kileo ni kuangalia Ponography xana kwa malengo yasiyo ya msingi matokeo yake tunajifunza vitu visivyofaa kwenye calture yetu
    Na pia ukiangalia porn videoz ukiwa mwenyewe zinachangia sehemu kubwa sana kufanya punyeto

    We hv to stop kabisa ni hatari xaana cz inaathiri hadi ubongo ( Sycology )

    ReplyDelete
  14. Mimi kwa maoni yangu ni mtu tuu amuombe mungu na amlilie kwa saan na ajitolee adhab kwa kumuomba mungu mfano: aseme eeh mola wangu nakuomba uni jaalie niki fanya tena nipate maumiv makali ya kichwa au tumbo liniume saaan nikifanya izo vitu nna iman, mungu aki kubali dua yako izo vitu uta acha moja kwa moja, au mna semaje mazeee!!

    ReplyDelete
  15. Yaaah wel said Abdul......lazima tumtangulize Mungu katika hili

    ReplyDelete
  16. Daaah nyeto hatari sana jaman

    ReplyDelete
  17. Kiukwi nyeto imeni athirii sana kila wakati nakuwwa msahau rifu wa vitu

    ReplyDelete
  18. Punyeto aifai vijana madem wengi sana mbona

    ReplyDelete
  19. Ehe Mwenyezi Mungu twakusihi sana usaidie kizazi hiki katika janga hili.

    ReplyDelete
  20. Hahahahaha tatizo kubwa nimadomo zege huwa ndo wanakutwa na hili tatizo

    ReplyDelete
  21. haaaaaaaa duuuuuuhh kweli iyo kali ila duu...! mh!!

    ReplyDelete
  22. tatizo kuubwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaa ni izi X-Videos,binafsi nahilahaani hile sikuu,naichukia kuliko siku zote,HE MUNGU TUSAMEHEE,NA UTUSAIDIE,still tunapata shidaa
    atua zipo ikiwa nipamoja na
    -kufanya mazoezi
    -kuacha kujitenga peke yako
    *kucha looking x-videos
    -kusoma neno la mungu,kuomba lkn daaaaah,,

    ReplyDelete
  23. ukifikisha hizo siku 40 bila kupiga nguvu zako za kiume zitarudi ??

    ReplyDelete
  24. NYETO MBAYA SANA JMANI YAANI NINAPOTEZAGA MEMORY KABISA

    ReplyDelete
  25. mwenyez mungu atufanyie wepec tuowe ndo dawa kubwa ya punyeto

    ReplyDelete
  26. Oh oky that is a nice, ntaanza kuhesabu 2day

    ReplyDelete
  27. Daaah Mungu atusaidie vijana wako twaangamia

    ReplyDelete
  28. Daaah Mungu atusaidie vijana wako twaangamia

    ReplyDelete
  29. Daaah Inauma xn... Mungu atusaidie vijana wako twaangamia

    ReplyDelete
  30. Daaah Inauma xn... Mungu atusaidie vijana wako twaangamia

    ReplyDelete
  31. Asant Sana kk Ila km ipo block. Ya porn ili nzfunge zote mm cpg kwa mkn nangalia mpk zntoka wnyw

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...