Skip to main content

CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO...

Kundi kubwa la  wanaume  ambao  wanashindwa  kufurahia  tendo la  ndoa  kutokana na kuwa  na uume  mdogo  kupita  kawaida...Wanaume  walio na tatizo  hili  wengi  wao huwa  hawana  confidence  ya   kuingia  katika  mahusiano  na  wasichana  ama  wanawake  wanao  fahamiana  nao  kutokana  na  kuogopa  " siri" zao  kujulikana  hususani  pale  uhusiano  wao  unapofika  mwisho..Ikitokea  mwanaume  akiwa  katika  uhusiano  na  mwanamke "mcharuko" ( asiye  mstaarabu )  mwanamke huyo anaweza  kuanza  kumvua nguo  hadharani  kwa  kumtangazia    kwa  watu  kuwa  na  uume  mdogo ." Mwanaume  utakuwa  wewe!" na  lugha za  namna  hiyo hutawala  midomoni  mwa  wanawake  hawo....Matokeo  yake  sasa  wanaume walio na  tatizo  hili  huamua  kutokuwa  na  uhusiano wa  kimapenzi na  wanawake  wanao fahamiana  nao, na  badala  yake  huamua kuanzisha   tabia  ya kuwa  wanajamiiana  na  wanawake  wanaouza  miili  yao  ama  kujihusisha  na  upigaji  punyeto n.k.
NINI  CHANZO  CHA  UUME  KUWA  MDOGO.

1. Kupiga  Punyeto  kwa  muda  mrefu..
Hali  hii  husababisha  kusinyaa  kwa  uume  na  hatimaye  uume  kurudi  ndani.
2. Kuugua chango  la  uzazi.
3. Magonjwa  ya utotoni.
4. Kutahiriwa  mapema  
5. Kurithi  kutoka  kwa  wazazi  : Wanaume  wengine  wana  maumbile  madogo  kwa  sababu wamerithi  maumbile  hayo  kutoka kwa  wazazi  wao. NEEMA  HERBALIST tunayo  dawa  safi  ya asili  itakayo  imarisha  uume  wako  uliosinyaa  na  kuukuza  kwa  kwango  kinachoendana  na  urefu  na  uzito wako.  Dawa hii ni  ya asili, ni  ya  kunywa  na  kupaka... Inaanza  kutoa  majibu  baada  ya  miezi  miwili.
Dawa  hii  inauzwa  na  kusambazwa  na  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC. Tupo eneo  la  Changanyikeni  karibu na  Chuo  cha  Takwimu...Wasiliana  nasi kwa simu  namba :  0767010756  au  0766538384.
KARIBU  SANA.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...