Tunapenda kuwafahamisha wateja wetu walioko nje ya Tanzania hasa wale walio nje ya Afrika kuwa tunaweza kuwatumia dawa zetu kwa njia ya DHL au njia ya posta...Kwa wiki hii nzima tumekuwa tukipokea simu kutoka kwa watanzania waliopo nje ya Afrika ambao wanahitaji sana kupata huduma yetu. Wengi wanaulizia namna wanavyoweza kuzipata dawa zetu.. Nusu yao tumeshawatumia tayari kwa njia zilizo tajwa hapo juu, na kwa wale ambao wanataka kujua njia tunazo tumia kuwafikishia huduma zetu hukohuko walipo ni kama tulivyo onyesha hapo juu. Kwa maelezo na maelekezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa : neemaherbalist@gmail.com
ASANTE NA KARIBU SANA.
ASANTE NA KARIBU SANA.
Comments
Post a Comment