Skip to main content

MAAJABU YA DOZI YA “MKATAVIDO ” KATIKA KUTIBU NA KUPONYESHA KABISA TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO.




Vidonda  vya  tumbo  ni  tatizo  linalo  wasumbua   watu  wengi  duniani .  Kwa   mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, takribani mtu mmoja kati ya watu kumi anasumbuliwa  na  tatizo  la  vidonda vya tumbo.


       VIDONDA    VYA   TUMBO    NI    NINI   ?

Kwa  lugha  nyepesi  na  yenye  kueleweka  kwa  kila  mmoja, vidonda  vya  tumbo  ni  majeraha  ndani  ya  tumbo  yanayo  sababishwa  na  uharibifu  wa  kuta  za  ndani  ya  tumbo.

         AINA   ZA   VIDONDA   VYA   TUMBO

Vidonda vya tumbo vimegawanyika   katika   makundi   mawili :
i.                                vidonda vya ndani ya tumbo (gastric ulcer)
ii.                            Vidonda   katika sehemu ya juu ya utumbo mdogo (duodenal ulcer).

Vidonda vinavyotokea katika utumbo ndivyo vinavyo  julikana  sana  na huonekana zaidi kutokea kwa wanaume,ilihali  vidonda vya ndani ya tumbo huwashambulia wote wanaume na wanawake .

JINSI   VIDONDA   VYA   TUMBO VINAVYO   TOKEA   MWILINI.


Chakula kinapoingia tumboni kwa ajili ya kusagwa, tumbo huzalisha majimaji mbalimbali, miongoni mwa   maji  hayo  ni  pamoja  na asidi  ijulikanayo  kitalaamu  kama  hidrokloriki.

Asidi hii huanza kula kuta za tumbo/doudeni. Aina zote mbili za vidonda vya tumbo hutokea kutokana na kutolingana nguvu kati ya nguvu ya mnyunyizo wa asidi ya tumbo katika kushambulia na uwezo wa kuta za tumbo katika kuzuia mashambulizi.

Utokeaji wa vidonda vya tumbo hutegemea zaidi juu ya vipengele viwili.
Kwanza, vitu ambavyo huongeza mnyunyizo wa asidi katika tumbo, mfano vyakula vya kusisimua, vyakula vya mafuta, uvutaji wa sigara, utumiaji pombe, chai, kahawa na baadhi ya dawa kama corticostisteroids, caffeine, reseprine, n.k.

Pili, udhaifu wa ute au kuta za tumbo/duodeni kuzuia ushambuliaji wa asidi.

Katika kutibu vidonda vya tumbo, mara nyingi ni lazima kuongeza kinga ya ute au kupunguza uzalishaji wa asidi.
Kwa  maelezo  zaidi  kuhusu tatizo  la  vidonda  vya  tumbo tembelea  http://neemaherbalist.blogspot.com/2014/05/chanzo-na-athari-za-ugonjwa-wa-vidonda.html

         DOZI    YA    MKATAVIDO   :
Mkatavido  ni   dozi  ya  tiba  asilia  ya  vidonda  vya  tumbo  ambayo  hutibu  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  vidonda  vya  tumbo  ndani  ya  siku thelathini.
Mkatavido  ni  dawa  ya  asili  kabisa “pure  herbal “ ambayo  haijachanganywa  na  kemikali  yoyote   na  haina  side effects  kwa  mtumiaji .
Dozi  hii  ni  mkusanyiko  na  mchanganyiko  wa  dawa  tatu asilia ambazo  hutumika  kwa  muda  wa  siku  thelathini.
JINSI   DAWA   YA   MKATAVIDO  INAVYO  FANYA  KAZI.

Dawa  ya  Mkatavido  huimarisha na  kuongeza  kinga  ya  ute  wa  kuta  za  tumbo  pamoja  na  kuzuia  uzalishaji wa  asidi  ya  haidrokloriki  ambayo  huhusika  na  kushambulia  kuta  za  tumbo.

BEI  YA  DAWA  : Bei  ya  dawa  ya  Mkatavido  ni  Shilingi  ELFU  THELATHINI  NA  TANO  TU (Tshs.35,000/=)  za  kitanzania.

JINSI  YA  KUIPATA :
Dawa  hii  inapatikana  katika  ofisi zetu  zilizopo  jijini  Dar  Es  salaam katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU.

Kwa  wasio weza  kufika  ofisini  kwetu, watapelekewa  dawa  mahali  walipo( DELIVERY )

Kwa  wateja  wa mikoani  hutumiwa  dawa  kwa  njia  ya  mabasi, wateja  wa Zanzibar  hutumiwa  dawa  kwa  njia  ya  meli  na  wateja  wa  nje  ya Tanzania  hutumiwa  dawa  kwa  njia  ya  DHL  au  Posta.

Kwa  mahitaji  ya  dawa  hii, wasiliana  nasi  kwa 
SIMU :  0766538384
Na  kwa  taarifa  zaidi  kuhusu  huduma  zetu, tembelea   : http://www.neemaherbalist.blogspot.com//

Comments

  1. Dawa ya kurefusha na kunenepesha uume je inapatikana hapo ubungo ofisini kwenu na ni kwa bei gani inauzwa PLEASE.?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA