Skip to main content

NAFASI ZA KAZI




NAFASI ZA  KAZI
Neema Massage & Escort  Services  ni  kituo kinacho jihusisha na  kutoa  huduma  ya  masaji na escort.
Kituo kinatangaza  nafasi  za  kazi  zifuatazo :
1.             WATALAAMU WA MASAJI  ( MASSEUSE )
Sifa   Za   Mwombaji:
i.                              Awe  wa  jinsia  ya  kike.
ii.                            Elimu  kuanzia  kidato  cha  nne  na  kuendelea
iii.                         Umri  kuanzia  miaka  kumi na  nane.
iv.                       Awe  maridadi.
v.                         Awe  anaishi  jijini  Dar  Es  salaam.
vi.                       Walio na   uzoefu  na  kazi  ya  masaji watapewa  kipaumbele.

N.B : Kama  una  sifa  kuanzia  namba  moja  hadi nne  lakini  hauna  uzoefu  na  kazi ya  masaji  na  ungependa  kupata  nafasi hii  ya  kazi, maombi  yako  yanakaribishwa  pia. ( Kwa wasio na  uzoefu  wa  kazi  ya  masaji, watajifunza  wakiwa  kazini  )
MAJUKUMU  YA  KAZI :
Kutoa  huduma  ya  masaji  kwa  wateja wetu  waliopo   jijini  Dar  Es  salaam.


2.             FEMALE  ESCOTERS
SIFA   ZA  MWOMBAJI :
i.                              Awe  wa jinsia  ya  kike
ii.                            Elimu   ya kuanzia  kidato  cha  sita  na  kuendelea .
iii.                         Uwezo  wa  kuwasiliana  kwa  ufasaha  kwa  lugha  za  Kiswahili  na  kiingereza.
iv.                       Awe  maridadi.
v.                         Awe  anaishi  Dar  Es  salaam, Zanzibar, Arusha, Moshi, Mwanza, Morogoro, Tanga, Mbeya  au  Dodoma.
vi.                       Awe  tayari  kusafiri  katika  nchi  jirani.
vii.                    Awe  tayari  kufanya  kwa  uwazi (transparency )  kazi  ya  kutoa  huduma  ya  escort  .
MAJUKUMU   YA  KAZI :
Kutoa  huduma  ya  escort   kwa  wateja  wetu  waliopo  katika  jiji  la  Dar  Es  salaam na  mikoa  mingine  iliyo orodheshwa  hapo juu.

UTARATIBU   WA   KUTUMA  MAOMBI.
Tuma  maombi  kwa  njia  ya  barua  pepe  yetu  ambayo  ni :  neemaherbalist@gmail.com
Maombi  yako  yawe  addressed kwa  Mkurugenzi  Mtendaji, Neema  HerBALIST Co.LTD.
Maombi  yako  ya ambatanishwe na  CV yako pamoja  na  picha  zako  tatu za  rangi ( full) ulizopiga  hivi  karibuni.
Mwisho  wa  kupokea  maombi  ni tarehe 30  MEI  2014.
N.B : USIPIGE  SIMU  TAFADHALI,MAOMBI  YOTE  YATUMWE  KWA NJIA YA  BARUA  PEPE.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...