Kitambi
ni ile hali
ya tumbo kuwa kubwa
na kuchomoza kwa
mbele na wakati mwingine kufikia
hatua ya kunin’ginia.
JINSI KITAMBI
KINAVYO PATIKANA
Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali
za kitaalamu, mwili wa binadamu
una seli kati ya bilioni 50 hadi 200 za mafuta zilizogawanyika
katika sehemu mbalimbali
za mwili wa binadamu.
Kwa wanawake
seli hizo zipo sana katika maeneo
ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na
kwenye makalio.
Kwa
upande wa wanaume seli
hizo zinapatikana sana kwenye
kifua, tumboni na kwenye makalio pia.
Mafuta
ya tumbo yanayofanya kitambi hukusanywa kwa njia kuu mbili:
i.
Njia ya kwanza ni mafuta kutoka kwenye tishu
zilizo chini ya ngozi
ii.
Na njia
ya pili ni kutoka kwenye ogani za ndani kama moyo, kongosho n.k
SABABU
ZA KUPATA KITAMBI
Sababu
kubwa ya kitambi ni kukosekana ulingano wa nguvu(kalori) katika mwili
wa mwanadamu, hali inayo
sababishwa na mtu
kula vyakula vinavyotia nguvu sana kuliko jinsi anavyoweza kutumia na
kutoa kama taka mwili.
VYAKULA VINAVYO
CHANGIA KULETA KITAMBI
Vyakula
vinavyochangia kuleta kitambi ni
pamoja na :
i.
Vyakula vyenye
mafuta mengi kama
vile nyama nyekundu (iwe ni ya kuchemsha, kukaanga au kuchoma),
nyama ya
kuku wa kizungu
( iwe ya kuchemsha, kukaanga ama
kuchoma ), mafuta ya kupikia, (hasa yale yatokanayo na bidhaa za
wanyama, kama siagi, na jibini), viazi ya kukaanga kwa mafuta
(chips) pamoja na pizza.
ii.
Vyakula vyenye wanga mwingi kama vile ugali wa mahindi, mihogo, wali,
mkate mweupe.
iii.
Vyakula
na vinywaji vyenye
sukari nyingi iliyo
ongezwa
(
added sugar ), kama vile
soda na keki.
iv.
Vyakula vilivyo
tengenezwa kwa ngano
na sukari kama vile
keki, skonzi, chapatti, maandazi, mkate
mweupe nakadhalika
v.
Pamoja na
vinywaji vilivyo tengenezwa
kwa kutumia ngano
kama vile bia
za aina mbalimbali
na kadhalika.
Vyakula vilivyo
tajwa hapo juu, vikitumiwa bila
kuzingatia kanuni za
mlo kamili, huchangia kuleta
tatizo la kitambi.
vi.
Sababu
nyingine ni kutofanya mazoezi
ya mwili na
viungo
( physical
exercises ) kwa
muda mrefu.
JINSI
YA KUJUA KAMA UNA KITAMBI
Kitambi
kinaweza kuonekana kirahisi kwa macho. Ila kujua ni kwa kiwango gani kitambi chako
kipo inabidi kufanya vipimo vya kiuno(waist) na nyonga (hips).
Mzingo
wa kiuno ukiwa >102 cm au 40 kwa
wanaume na >88 cm au 35 kwa wanawake,
na uwiano wa kiuno na hips(Waist-Hip Ratio) ikiwa >0.9 kwa wanaume na
>0.85 kwa wanawake.
BMI
ya 30 au zaidi inaashiria 'Obese' uzito kuzidi kiasi. Kuwa na mzingo uliozidi
kawaida ni kiashiria hatari cha matatizo ya kimetaboliki, kuliko hata cha BMI.
Kipimo
kingine cha kitambi ambacho kimeonyesha uwezo zaidi kuliko BMI katika kutabiri
uwezekano mkubwa wa magonjwa ya moyo ni Index Of Central
Obesity(Waist-To-Height Ratio-WHtR) ambapo uwiano ukiwa sawa na 0.5 au zaidi,
hii ikimaanisha mzingo wa kiuno angalau ni nusu ya kimo cha mtu.
Kipimo
kingine ni Body Volume Index, kinachopima kitambi kwa kupima umbo la mtu na
mgawanyo wa uzito wake.
MAMBO YANAYO
MUWEKA MTU KATIKA
HATARI YA KUPATWA
NA KITAMBI
Tumekwisha ona
hapo juu jinsi kitambi
kinavyo patikana na
vyakula pamoja na
sababu nyinginezo zinazo
sababisha kutokea kwa kitambi,
sasa tutazame mambo
yatakayo kufanya uwe
katika hatari ya
kupatwa na kitambi.
Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali
za kitaalamu, mambo
yafuatayo huwaweka watu
katika hatari kubwa
ya kupatwa na
kitambi :
1. Ulaji
mbovu wa chakula; Ulaji
mbovu wa chakula
ni ulaji usio
zingatia kanuni za mlo kamili. Hapa
mtu hufululiza kutumia
chakula cha aina
fulani pekee bila
kuzingatia aina nyinginezo
za chakula. Mfano; mtu
anaweza kuwa anakula
mlo ufuatao :
Asubuhi : Mchemsho
ama supu ya
ng’ombe , chapatti tatu na
soda moja. Mchana
: Ugali nyama
choma anashushia kwa maji
na soda.
Jioni : Mchemsho wa
kuku na bia
mbili nakuendelea.
Usiku : Chips mayai
au chips kuku
au chips mishikaki
na bia.
Mtu huyu
akiendelea na utaratibu
huu kwa muda
mrefu, ni lazima atapatwa
na kitambi.
2. Ulaji
mfululizo wa vyakula
vyenye mafuta mengi
3. Ulaji mfululizo
wa vyakula vyenye wanga
mwingi .
4. Ulaji mfululizo
wa vyakula vyenye
sukari iliyo ongezwa ( added sugar
).
5. Ulaji mfululizo
wa vyakula vya
ngano.
6. Ulaji mfululizo
wa vinywaji vyenye ngano
na sukari.
7. Kutofanya mazoezi
ya mwili na viungo
( physical exercises ).
Mhusika anapokuwa
katika makundi yote
yali yotajwa hapo juu, hali
huwa mbaya zaidi.
NJIA
ZA KUONDOA KITAMBI
Kuwa
na kitambi ni
lugha ya mwili
( body-language ) inayo leta
ujumbe kwako kwamba
“ Mwili wako haupo
salama tena “
Kama
una kitambi maana
yake una mafuta
yasiyo hitajika mwilini, mwili wako
unatumika kuhifadhi mafuta
usiyo yahitaji.
Hali
hii kitabibu imaanisha
kwamba, ogani nyinginezo zilizomo
ndani ya mwili
wako zinao gelea kwenye
mafuta( fats ) yasihotika
yaliyomo ndani ya mwili
wako, jambo linalo
kuweka katika hatari
kubwa sana ya
kushambuliwa na magonjwa
hatari kama vile
shinikizo kubwa la
damu, kiharusi na kisukari na kwa
kutaja machache.
Hivyo
basi ili kuondokana
na hatari hiyo, yakupasa kupambana
kuondoa hayo mafuta
yasiyo hitajika mwilini
mwako.
NJIA
ZA KUONDOA KITAMBI.
Unaweza
kuondokana na kitambi
kwa kufanya diet
pamoja na mazoezi ya
mwili na viungo.
Vilevile unaweza
kuondoa kitambi na
kupunguza mafuta mwilini
kwa kutumia dawa
asilia ya kuondoa
kitambi na kuondoa
mafuta yasiyo hitajika
mwilini.
DAWA
ASILIA YA KUONDOA
KIAMBI NA MAFUTA
MWILINI.
Hii
ni njia ya
uhakika kabisa ya
kuondoa tatizo la
kitambi pamoja na
mafuta yasiyo hitajika
mwilini.
Unaweza
kuondoa tatizo la
kitambi pamoja na
kupunguza mafuta mwilini
kwa kutumia DAWA
ASILIA IITWAYO YA MKATAA
KITAMBI.
Dawa
hii ni ya asili
kabisa
“
Pure Herbal “, ambayo haijachanganywa na
kemikali yoyote, haina side
effect kwa mtumiaji na
inaondoa kabisa tatizo
la kitambi ndani
ya siku kumi
na nne.
JINSI
DAWA YA MKATAA
KITAMBI INAVYO FANYA
KAZI.
1. Huyeyusha mafuta
yasiyo hitajika mwilini.
2. Husaidia kupunguza
hamu ya chakula.
3. Inazuia kutengenezwa
kwa seli za
mafuta ( fat cells ) katika
mwili wa mwanadamu. Unapokula chakula
chenye mafuta mengi, dawa
hii asilia hupambana kuyafanya
mafuta hayo yasitengeneze
seli za mafuta
mwilini mwako. Hali hii
huuepusha mwili wako
kuhifadhi mafuta yasiyo
hitajika mwilini.
4. Husaidia kupunguza
uzito wa mwili kwa haraka
sana endapo itatumika
pamoja na diet
ya kabechi.
UFANISI
WA DAWA.
Ufanisi
wa dawa hii
ni wa asilimia
mia moja. Dozi ya
dawa hii hutumika
kwa muda wa
siki ishirini na
moja.
MATOKEO
YA DAWA:
Dawa
hii huondoa kabisa
kitambi ndani ya
siku kumi na
nne.
BEI
YA DAWA :
Dawa
hii inaoatikana kwa
kiasi cha SHILINGI
ELFU HAMSINI TU
(Tshs. 50,000/=)
MAHALI
TUNAPO PATIKANA.
Tunapatikana jijini
DAR ES SALAAM, katika eneo
la UBUNGO karibu
na SHULE MSINGI
UBUNGO NATIONAL HOUSING
nyuma ya jengo
la UBUNGO PLAZA.
KWA
WATEJA WASIO WEZA
KUFIKA OFISINI KWETU.
Kwa
wateja wasio weza
kufika ofisini kwetu
Tabata, tunao utaratibu wa
kuwafikishia dawa mahali
popote walipo ndani
ya jiji la
Dar Es salaam.
KWA
WATEJA WA NJE
YA DAR ES
SALAAM.
Kwa
wateja waliopo nje
ya Dar Es
salaam, tunawatumia dawa kwa
njia ya MABASI.
Kwa
wateja wa ZANZIBAR
tunawatumia dawa kwa njia
ya boti.
KWA
WATEJA WA NJE
YA NCHI:
Kwa
wateja wa nje
ya nchi, tunatumia dawa
kwa njia ya
POSTA au DHL.
WASILIANA NASI
KWA SIMU NAMBA : 0766
53 83 84
TUTEMBELEE:
Comments
Post a Comment