Ukosefu na/ama upungufu
wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili
mamilioni ya wanaume duniani.
Tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini
?
Ukosefu ama upungufu
wa nguvu za kiume ni ile hali ya
mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo
la ndoa kwa ukamilifu
HATUA MBILI MUHIMU
KATIKA KUSIMAMA KWA UUME
Ili mwanaume
aweze kufanya tendo la ndoa na
andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima
uume wake upitie hatua kuu mbili kama
ifuatavyo :
Hatua ya kwanza, ni
lazima uume wake uweze kusimama barabara
na kuwa mgumu kama msumari.
Na hatua ya pili
ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa
muda mrefu wakati wa tendo la ndoa. Hatua
zote mbili zinapo kamilika, ndipo tunapo
pata kitu kinaitwa STRONGER
AND LONGER ERECTION
JINSI
HATUA ZA KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA.
1. HATUA YA KWANZA:
DAMU KUTIRIRIKA KWA
KASI KUINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME NA
KUUFANYA UUME KUSIMAMA NA KUWA MGUMU.
Unapopata wazo la
kufanya tendo la
ndoa, mishipa ya fahamu iliyopo kwenye
ubongo, hupeleka ishara kwenye mishipa ya
uti wa mgongo, ambayo nayo hupeleka taarifa
hadi kwenye mishipa ya uume. Taarifa
inapofika kwenye mishipa ya uume huifanya
mishipa hiyo ku-relax na hatimaye kufanya mishipa
ya ateri kufunguka na kutanuka. Mishipa ya
ateri inapo tanuka na kufunguka, huruhusu
damu kuingia kwa kasi ndani ya mishipa
ya uume na hivyo kuufanya huume kusimama.
Ni muhimu kujua kuwa, mishipa ya
uume inapo relax hupelekea kuisukuma na hatimaye
kuiziba mishipa ya vena iliyo karibu
na mishipa ya uume na hivyo
kuiondolea uwezo wa kunyonya damu iliyomo
ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka
sehemu nyingine za mwili.
N.B:
Kazi kubwa ya mishipa ya vena ni
kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa
ya uume na kuipeleka katika sehemu
nyingine za mwili. Au kwa lugha
nyingine unaweza kusema, kazi kubwa ya
mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna
damu kwenye mishipa ya uume.
2. HATUA YA PILI :
DAMU KUENDELEA
KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI UUME UKIWA
UMESIMAMA NA HIVYO KUUFANYA UUME UENDELEE
KUDUMU KATIKA TENDO LA NDOA KWA MUDA
MREFU.
Uume ulio simama, ili uendelee kusimama,
ni lazima mishipa ya vena isiwe na
uwezo wa kunyonya damu kutoka katika
mishipa ya uume na kuipeleka katika
sehemu nyinginezo za mwili. .
Mishipa ya Vena ndio inayo
husika na kunyonya damu kutoka kwenye
mishipa ya uume na kupeleka sehemu
nyingine za mwili. Ili uume uendelee
kusimama lazima mishipa hii ya vena iwe
imezibwa. Ili iweze kuzibwa ni lazima
misuli laini ya kwenye uume iwe - ime
relax na hivyo kuifanya mishipa ya vena
kushindwa ku nyonya
damu kutoka kwenye uume.
Endapo
mishipa ya vena itazibuka , basi itanyonya
na kutoa damu yote kutoka kwenye mishipa
ya uume uliosimama na
kuipeleka sehemu nyinginezo za mwili na
hatimaye uume huo ulio simama na utasinyaa mara moja.
JINSI UUME UNAVYO
SIMAMA NA KUSISIMKA.
Tumeisha
zifahamu hatua mbili muhimu katika kusimama
kwa uume
Jinsi
Uume unavyo simama: Katika uume kuna
chemba yenye mishipa laini sana, ambayo
ndio huufanya uume kusimama.
Mishipa
hii ipo kama sponji hivyo huweza kunyauka
na kutanuka.
Damu
inapoingia ndani ya mishipa hii huufanya
uume kusimama na kuwa mgumu kama msumari.
Damu
inapoendelea kuhifadhiwa ndani ya mishipa
hii wakati wa tendo la ndoa, huufanya
uume uendelee kusimama.
Mwanaume
unapo patwa na wazo la kufanya tendo
la ndoa, mishipa ya fahamu iliyo kwenye
ubongo hupeleka ishara kwenye uti wa mgongo,
ambao nao hufikisha taarifa kwenye
mishipa ya uume.
Taarifa
ikisha fika kwenye mishipa ya uume,
huifanya mishipa ya uume ku-relax na
mishipa ya uume inapo relax, hufanya mambo
makuu mawili;
i.
Kwanza hufanya mishipa ya ateri kufunguka
na hivyo damu kutiririka kwa kasi sana
kuingia kwenye mishipa ya uume
(
Mishipa ya ateri
ndio inayo tumika kama njia ya kuingiza
damu kwenye uume. Bila mishipa ya ateri
imara na yenye afya, damu haiwezi kuingia
kwenye mishipa ya uume, na damu isipoweza
kuingia kwenye mishipa ya uume, basi uume
hauwezi kusimama )
ii.
Pili huibana mishipa ya vena na hivyo
kuizuia kunyonya damu kutoka kwenye
uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za
mwili. Matokeo yake kuufanya uume uendelee
kusimama kwa muda mrefu wakati wa
tendo la ndoa.
Kumbuka ,kazi
kubwa ya mishipa ya neva iliyo karibu
na mishipa ya uume, ni kunyonya damu kutoka ndani
ya mishipa ya uume na kuipeleka
kwenye sehemu nyingine za mwili. Kwa lugha
nyingine, kazi kubwa ya mishipa ya vena
ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa
ya uume ulio simama.
Kadri
damu inavyo zidi kuingia ndani ya mishipa
ya uume, ndivyo uume unavyo zidi kuwa
mgumu na kukakamaa.
Na
kadri damu inavyo hifadhiwa ndani ya
mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo endelea
kusimama wakati wa tendo la ndoa kwa muda
mrefu.
Baada
ya kumaliza kufanya tendo la ndoa,mishipa
ya uume inarudi katika hali yake ya kawaida
(inanyauka ), ikisha nyauka, mishipa ya ateri inanyauka
pia, vena zinafunguka na kunyonya damu
katika mishipa ya uume na kuirejesha
katika sehemu nyinginezo za mwili na
hatimaye uume kurudi katika hali ya
kawaida ( Flaccid ).
Hali
hii itaendelea kujirudia kwa kadri utakavyo
kuwa ukiendelea kufanya
tendo la ndoa.
Mambo
Muhimu Katika Kuufanya Uume Usimame na
Kuendelea kudumu katika kusimama kwa muda
mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Ili
uume uweze kusimama imara kama msumari na
uendelee kusimama imara na kwa muda
mrefu wakati wa tendo la ndoa, ni lazima
mambo yafuatayo yawepo.
1.
Mishipa ya uume iliyo
imara na yenye afya njema.
2.
Mfumo mzuri wa damu
katika mwili mzima.
3.
Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka ndani
ya mishipa ya uume.
4.
Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa
ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves),
mishipa ya kwenye uti wa mgongo
pamoja na mishipa ya kwenye uume.
Ili mwanaume aweze kuwa
imara katika tendo la ndoa, ni lazima
mambo manne niliyo yataja hapo juu yawe
sawa sawa bila hitilafu yoyote. Kinyume chake,
mwanaume hawezi kuwa na nguvu za kiume.
MAMBO
YANAYO SABABISHA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Tumeshajua
nguvu za kiume ni nini, jinsi uume unavyo
simama, hatua za kusimama kwa uume, pamoja
na mambo yanayo fanya uume uweze
kusimama na kuwa na uwezo wa
kuendelea kusimama wakati wa tendo la ndoa.
Ni
vyema tukajua mambo yanayo sababisha
kushindwa kusimama kwa uume, mambo yanayo
sababisha uume ushindwe kuendelea kusimama kwa
muda mrefu wakati wa tendo la
ndoa pamoja na mambo yanayo fanya
mtu ashindwe kurudia tendo la ndoa.
Yafuatayo
ni mambo yanayo sababisha ukosefu wa nguvu
za kiume.
1.
MAGONJWA YANAYO SHAMBULIA MFUMO WA
DAMU PAMOJA NA MISHIPA YA DAMU.
Damu
ndio nishati inayo wezesha kusimama kwa
uume na kuufanya kuwa mgumu na imara kama
msumari.
Damu
ndio nishati inayo weza kuufanya uume uendelee
kusimama wakati wa tendo la ndoa.
Damu
ndio nishati inayo upa uume uimara na
uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi
ya mara moja.
Hivyo
basi ili uume uweze kuwa imara na
wenye nguvu, pamoja na kuwa na uwezo
wa kumudu na kustahimili tendo la
ndoa wakati wowote , basi ni lazima
mwanaume awe na mfumo imara wa damu utakao
ruhusu kutiririka kwa damu kwenda katika
sehemu mbalimbali za mwili ikiwamo uume.
Ili
mfumo uweze kuwa imara ni lazima
mhusika awe na damu ya kutosha, na
pili awe na mishipa ya damu yenye
afya.
Katika
mwili wa mwanadamu,kuna mishipa inayo
tumika kusafirisha damu kutoka katika sehemu
moja ya mwili kwenda katika sehemu nyingine
ya mwili ikiwemo uume. Mishipa hiyo ni
kama vile vena (veins), atery ( ateri) na capillary (
kapilari )
Mishipa
hii ya damu inapaswa kuwa imara na
yenye afya njema wakati wote. Mishipa
hii ikipatwa na hitilifu, basi itazuia
kusafirishwa kwa damu katika sehemu mbalimbali
za mwili wa mwanadamu na hatimaye
kufanya suala la kuwa na nguvu za kiume
kwa mhusika kuwa ugumu kwa sababu
ya kushindwa kupeleka damu kwenye mishipa
ya uume.
Magonjwa
kwenye mishipa ya damu huzuia
kutirika kwa damu kwenye ogani muhimu
kama vile moyo, ubongo na figo.
VIASHIRIA
VYA MAGONJWA KWENYE MISHIPA YA DAMU.
Utajuaje
kwamba una magonjwa kwenye mishipa yako
ya damu ?
Ukiwa
una matatizo yafuatayo ya kiafya, ni ishara
kwamba, una magonjwa kwenye mishipa yako ya
damu:
1.
Kolestrol ( Ama lehemu kwenye damu )
Kolestrol
nyingi kwenye damu, huzuia kutiririka kwa damu. Kolestrol
ikizidi kwenye damu, hupelekea kuziba
mishipa ya ateri ambayo kazi yake ni
kupeleka damu kwenye uume. Matokeo yake ni
mhusika kutokuwa na uwezo wa kusimamisha
uume wake barabara kwa sababu uume hauwezi
kusimama bila damu kuingia ndani ya
mishipa ya uume. Hivyo basi pamoja na
dawa ya nguvu za kiume, yakupasa kutibu
kolestrol. Unaweza kuondoa kolestrol kwenye damu
kwa kutumia dawa mbali za asili kama
vile mdalasini,uwatu, habbat sodah etc. Jinsi ya
kujitibu kolestrol kwa kutumia dawa asilia
tafadhali tembelea
2.
Shinikizo Kubwa la Damu
Shinikizo
Kuu la Damu husababisha mishipa ya ateri
ambayo hutiririsha damu iingiayo kwenye
uume kuziba na kushindwa kutanuka kwa
kiwango inachotakiwa kutanuka.
Pia
huifanya mishipa laini katika uume
kushindwa ku-relax na hivyo kushindwa
kuizuia mishipa ya vena ya kunyonya
damu kutoka kwenye mishipa ya uume na
kuipeleka kwenye maeneo mengineyo ya mwilini.
Matokeo
yake kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha
damu iingiayo kwenye uume na hivyo
kufanya uume ushindwe kusimama.
Vile
vile hata kiasi kidogo cha damu
kinacho ingia kwenye uume, kinashindwa kuendelea
kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume ukiwa
umesimama, na matokeo yake ni uume kusinyaa
ndani ya kipindi kifupi sana tangu usimame.
Pamoja
na kutumia dawa ya nguvu za kiume,
unapaswa pia kutumia dawa asilia
kujitibu tatizo la shinikizo kuu la damu.
Kufahamu jinsi
ya kujitibu tatizo
la shinikizo la damu
kwa njia ya
asilia, tembelea :
3.
Ugonjwa wa kisukari :
Ugonjwa
wa kisukari ni miongoni mwa vyanzo
vikuu vya tatizo la ukosefu wa nguvu
za kiume. Kusimama kwa uume kunategemeana
na kutiririka kwa damu mwilini. Kisukari
huathiri mishipa ya damu pamoja na
usambazaji wa damu kwenye ogani muhimu
mwilini kama vile moyo, ubongo, figo na uume.
Kiukweli,
mwanaume mwenye kisukari yupo katika risk
kubwa ya kupatwa na tatizo la ukosefu
wa nguvu za kiume,m tena katika kiwango
kikubwa sana.
Unashauriwa
pamoja na kutumia dawa ya nguvu za kiume,
tumia pamoja na dawa mbalimbali za
asili kwa ajili ya kubalance sukari yako
mwilini. Zipo dawa mbalimbali za asili
zinazo saidia kubalance kiwango cha sukari
mwilini. Dwa hizo ni pamoja na mdalasini, unga wa
uwatu, mbegu za uwatu, manjano, majani ya
manjano,mbegu za katani, nakadhalika. Namna ya
kutumia dawa hizo kujitibu tatizo la
sukari, tafadhali tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
4. Magonjwa
ya figo
Tatizo la ugonjwa wa figo
huathiri vitu vingi ambavyo ni muhimu sana
katika kuufanya uume uweze kusimama na
kuendelea kudumu katika kusimama.
Tatizo la figo, huathiri homoni, huathiri
kutiririka kwa damu kwenda kwenye
mishipa ya uume. Huathiri mfumo wa mishipa
ya neva pamoja na nishati ya mwili mzima.
Pamoja na dawa
ya kutibu tatizo
la nguvu za
kiume, unapaswa pia, kutibu tatizo
la figo. Kufahamu jinsi
ya kujitibu magonjwa
mbalimbali ya figo
kwa kutumia dawa
mbalimbali asilia, tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
5.
Ugonjwa wa moyo
Moyo
ndio supplier mkubwa wa damu katika
sehemu mbalimbali za mwili. Ugonjwa wa moyo
hupunguza uwezo wa moyo kusambaza damu
kwenye mishipa mbalimbali ya damu na
hivyo kuathiri utendaji kazi wa mishipa ya
damu kama vile ateri na vena. Matokeo
yake ni mishipa hiyo kushindwa kupeleka
damu ya kutosha katika uume pamoja na
kushindwa kuifanya mishipa ya uume kurelax
na matokeo yake,. Ukosefu wa nguvu za kiume.
Hivyo basi, pamoja na
dawa ya nguvu
za kiume, unapaswa pia
kutibu tatizo la
moyo. Kufahamu jinsi unavyo
weza kutibu ugonjwa
wa moyo kwa
dawa asilia, tembelea :
6. Kupwaya kwa
mishipa ya vena.
Kazi
kubwa ya mishipa ya vena kwenye uume
kunyonya damu iliyomo
ndani ya mishipa
ya uume na
kuipeleka katika sehemu
nyingine za mwili.
Mishipa ya vena
iliyopo karibu na
uume kazi yake
kubwa ni kuhakikisha hakuna
damu yoyote kwenye
mishipa ya uume. ( KUMBUKA KUWA
DAMU NDIO HUFANYA
UUMU USIMAME, HIVYO CHOCHOTE
KILE KITAKACHO FANYA
DAMU ISIKAE NDANI
YA MISHIPA YA
UUME , KITAFANYA UUME USINYAE
)
Ili uume
uendelee kusimama ni lazima,
mishipa ya vena
isiwe na uwezo
wa kunyonya damu
kutoka kwenye mishipa
ya uume kupeleka
nje ya mishipa
ya uume.
Na ili
mishipa ya vena
isiwe na uwezo
wa kunyonya damu
kutoka kwenye mishipa
ya uume ulio
simama na kuipeleka
kwenye sehemu nyingine
za mwili, ni
lazima mishipa ya
uume iwe imara
na thabiti isiyo
na hitilafu yoyote
ile.
Mishipa ya
vena ikipwaya, mwanaume hutokuwa
na uwezo wa
kusimamisha uume wako, na
ikitokea umefanikiwa kuusimamisha
basi utasimama ukiwa
legelege sana na
utasinyaa ndani ya
muda mfupi sana, kwa
sababu damu iliyo
ingia ndani ya
uume wako na
kuufanya usimame, itanyonywa ndani
ya muda mfupi
sana na kutolewa
nje ya mishipa ya
uume na hivyo
kuufanya uume wako
usimame.
Tatizo la
kupwaya kwa mishipa
ya vena linasababishwa na
kupiga punyeto kwa
muda mrefu pamoja
na ugonjwa wa
kisukari.
KUPIGA PUNYETO
KWA MUDA MREFU:
Kupiga punyeto kwa
muda mrefu ni
moja kati ya
vyanzo vikuu vya
tatizo la la
ukosefu wa nguvu
za kiume. Asilimia
kubwa ya vijana
wenye tatizo la
ukosefu wa nguvu
za kiume, linasababishwa na
upigaji wa punyeto
kwa muda mrefu.
JINSI PUNYETO
INAVYO SABABISHA UKOSEFU
WA NGUVU ZA
KIUME.
Unapopiga punyeto
unakuwa unaiminya mishipa
ya uume ambayo
ndio inaufanya uume
usimame.
Matokeo yake
unaifanya mishipa hiyo
ilegee na kutokuwa na
uwezo wa kusimama
tena.
Mishipa ya
uume iliyo legea
kutokana na upigaji
punyeto, huleta madhara yafuatayo
:
i.
Huondoa uwezo
wa mishipa ya
uume kurelax.
( Unapopata wazo
la kufanya tendo
la ndoa, mishipa ya
uume ina relax , mishipa
iki relax husababisha
mishipa ya ateri
kupanuka na kuruhusu
damu kingie ndani
ya mishipa ya
uume na hatimaye
kuufanya uume usimame
na kuwa mgumu)
ii. Mishipa ya
kiume ikishindwa ku relax
husababisha mishipa ya
ateri kuziba
iii. Mishipa ya
ateri ikiziba, damu haiwezi
kutiririka kuingia kwenye
mishipa ya uume, na
hata ikitokea damu
imeingia ndani ya
mishipa ya uume
basi huingia kiasi
kidogo sana tena kwa
presha ndogo sana
hivyo basi hata
kama uume utasimama
basi utasimama ukiwa
legelege sana
iv. Mishipa ya
uume ikishindwa kurelax
basi haitakuwa na
uwezo wa kuipush
na kuiziba mishipa
ya vena ambayo
ndio hunyonya damu
kutoka kwenye mishipa
ya uume ulio
simama. Matokeo yake basi, damu
kidogo iliyo ingia
ndani ya mishipa
ya uume na
kuufanya uume kusimama, hunyonywa na
kutolewa nje ya
mishipa ya uume
ndani ya sekunde
chache sana na
hivyo kuufanya uume usinyae
ndani ya muda
mfupi sana.
v. Mishipa ya
uume kulegea
vi. Uume kurudi ndani
na kusinyaa na
kuwa kama uume
wa mtoto
6.
Tatizo la unene kupita kiasi : Tatizo la
unene na uzito
kupita kiasi ni
miongoni mwa mambo
yanayo sababisha upungufu wa
nguvu za kiume. Unene
kupita kiasi humuweka
mtu katika hatari
ya kupatwa na
magonjwa kama vile
kisukari, presha, moyo na shinikizo
kuu la damu. Na
magonjwa ya kisukari, moyo,presha na
shinikizo la damu
husababisha upungufu na ukosefu
wa nguvu za
kiume, na hivyo kumuweka
muhusika katika hatari
kuu ya kupatwa
na tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu
za kiume.
Hivyo basi
kwa wewe mwenye
tatizo la unene
na uzito kupita
kiasi , pamoja na kutumia
tiba ya nguvu
za kiume, ni
vyema ukafanya na
mpango wa kupunguza
unene na uzito
wako.
JINSI YA
KUPUNGUZA UZITO NA
UNENE KWA KUTUMIA
TIBA ASILIA, TAFADHALI TEMBELEA:
7. Matatizo
Katika mfumo wa
Ubongo
Uume hauwezi
kusimama bila ya
kuwa na ushirikiano
na ubongo. Ili mtu uume uweze
kusimama, mtu lazima apate
wazo la kufanya
tendo la ndoa
(UBONGO UNA HUSIKA HAPO ), akishapata wazo, ubungo
hupeleka ishara kwenye
mishipa ya fahamu
iliyopo katika uti
wa mgongo ambayo
nayo hupeleka taarifa kwenye
mishipa ya uume
then uume usimama.
Hivyo basi ili mtu aweze kuwa na
uwezo wa kusimamisha uume wake ni lazima
kuwa na mawasiliano mazuri na imara kati
ya mishipa ya fahamu ( ubongo ), mishipa ya
kwenye uti wa
mgongo na mishipa ya kwenye
uume. Bila ushirikiano
kati ya vitu
hivyo vitatu, uume hauwezi
kusimama.
Magonjwa yanayoweza
kuathiri ushirikiano kati ya mishipa ya
ubongo na mishipa ya uume, yanaweza
kusababisha kushindwa kusimama kwa uume.
Magonjwa hayo ni
pamoja na kiharusi,kupoteza kumbukumbu (
Alzheimer ), multiple sclerosis pamoja na ugonjwa
wa Parkinson.
Ni
vyema mgonjwa akatibiwa
kwanza magonjwa hayo
kabla ya kuanza
kutumia dawa ya
nguvu za kiume.
Kufahamu jinsi ya
kujitibu magonjwa tajwa
hapo juu kwa
njia asilia,tafadhali tembelea
Mambo mengine
yanayo sababisha ukosefu
na upungufu wa
nguvu za kiume, ni
pamoja na maumivu & majeraha kwenye
uti wa mgongo,
chango la kiume , ngiri
na matatizo katika
homoni.
VIASHRIA VYA
MTU MWENYE TATIZO
LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA
NGUVU ZA KIUME.
Mtu mwenye
tatizo la ukosefu
wa nguvu za
kiume huwa na
dalili zifuatazo ;
1. Kushindwa kabisa
kusimamisha uume wake
2. Uume kusimama
ukiwa legelege
3. Kuwahi kumaliza
tendo la ndoa
4. Mwanaume kutokuwa
na uwezo wa kufanya
tendo la ndoa
katika baadhi ya
staili ( Mara nyingi
mwanaume huyu huwa na
uwezo wa kufanya
tendo la ndoa
staili moja tu ).
Hapa mwanaume anakuwa
na uwezo wa
kufanya tendo la
ndoa kwa staili
ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana
tena uwezo wa
kusimamisha uume wake
japo katika hali
ya u lege lege
5. Uume kutokuwa
na uwezo wa
kusimama wenyewe bila
kushikwashikwa ama kutomaswa kwa
muda mrefu.
6. Uume kusinyaa
ukiwa ndani ya
mwanamke.
7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea
activity yoyote ya
kiungo ama ogani
nyingine ya mwanaume
wakati wa tendo
la ndoa. Kwa mfano, wakati
wa tendo la
ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa
au kupiga chafya, uume
nao unasinyaa.
8. Uume kusinyaa
mara tu baada
ya kutolewa ndani ya uke
( Kwa mfano kama
unafanya tendo la
ndoa, halafu uume ukatoka
nje, kitendo cha kuushika
kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
9. Kutokuwa na
uwezo wa kurudia
tendo la ndoa.
10. Kupatwa
na maumivu wakati
wa tendo la
ndoa.
VIASHIRIA VYA
MWANAUME ASIYE NA
TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA
KIUME.
Mwanaume asiye
na tatizo la
ukosefu wa nguvu
za kiume, huonyesha ishara
zifuatazo ;
i.
Uume husimama
ukiwa imara kama
msumari.
ii. Hukaa kifuani
kwa muda mrefu
( Wastani ni kati
ya dakika 20 hadi 45 )
iii. Huweza kurudia
tendo la ndoa
zaidi ya mara
tatu bila misuli
ya uume kuchoka.
iv. Huweza kufanya
tendo la ndoa
kwa staili yoyote
ile
v. Uume husimama
wenyewe bila kushikwa
shikwa wala kuwa
stimulated kwa namna
yoyote ile
vi. Kwa ufupi
anakuwa na uwezo
wa kufanya na kukamilisha
tendo la ndoa
kwa uukamilifu mkubwa.
TIBA ASILIA
YA TATIZO LA
UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Dawa asilia
ya JIKO ni
dawa asilia inayo
tibu na kuponyesha
kabisa tatizo la
ukosefu wa nguvu
za kiume.
MFUMO WA
DAWA
Dozi ya
dawa ya JIKO ni
mkusanyiko wa dawa
nne asilia zenye
uwezo mkubwa sana
katika kutibu na kuponyesha
kabisa tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu
za kiume.
Dawa hizi
zipo katika mfumo
wa MIZIZI na
UNGA UNGA.
JINSI DOZI
YA DAWA YA
JIKO INAVYO FANYA
KAZI.
Dozi ya
dawa ya JIKO
inafanya kazi zifuatazo
katika mwili wa
mwanadamu.
KAZI
INAYO FANYWA NA
DAWA YA JIKO .
Dawa
ya JIKO inasadia
katika mambo makuu yafuatayo:
1. Inasaidia kuimarisha
mishipa ya uume
ulio legea na hivyo
kuufanya uume uwe na
uwezo wa
kusimama barabara kama
msumari wakati wa
tendo la ndoa.
2. Inasaidia kusafisha
mishipa ya kwenye
uume na hivyo
kusaidia katika kuongeza
kasi ya msukumo
wa damu kwenye
mishipa ya kwenye
uume.
3. Huongeza damu
mwilini
4. Husaidia kuongeza
msukumo (pressure) wa damu
kwenye mishipa ya
uume na hivyo
kuufanya uume kuwa
na nguvu za
ajabu.
5. Huipa misuli
ya uume uwezo
wa kuziba wa
kuizuia mishipa ya
vena kunyonya damu
kwenye mishipa ya
uume wakati wa
tendo la ndoa
na matokeo yake
kukupa uwezo wa
kufanya tendo la
ndoa kwa muda
mrefu
( Kuzuia hali
ya kufika kileleni
haraka )
6. Husaidia kurelax
mind na hivyo
kumfanya mtu awe
na uwezo wa
kuconcentrate wakati wa
tendo la ndoa bila
kuathiriwa na msongo
wa mawazo
7. Hurejesha, kuimarisha na
kuboresha ushirikiano kati
ya mishipa ya
fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa
ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa
ya kwenye uume
8. Humfanya mwanaume
awe na uwezo
wa kurudia tendo
la ndoa mara
nyingi zaidi bila
kuchoka.
9. Husaidia kuongeza
hamu ya tendo
la ndoa.
10.
Husaidia kuurudisha
nje uume ulio ingia
ndani.
11.
Husaidia kutibu
side effects za
punyeto na matumizi
ya muda mrefu
ya dawa kali za (za kizungu ) za
kuongeza nguvu za
kiume.
12.
Husaidia kutibu
chango la kiume.
13.
Dawa hii
huwasaidia hata wanawake
wanao sumbuliwa na tatizo
la ukosefu wa
hamu ya tendo la
ndoa.
BEI YA
DAWA: Dozi ya
dawa ya JIKO
inapatikana kwa gharama
ya SHILINGI ELFU
THEMANINI TU (Tshs.80,000/=)
DAWA HII
IMETHIBITISHWA NA MKEMIA
MKUU WA SERIKALI.
MAHALI TUNAPOPATIKANA :
Dozi ya
dawa ya JIKO, inatolewa na
duka la dawa
asilia la NEEMA
HERBALIST NUTRITIONAL FOODS
CLINIC. Tunapatikana jijini DAR ES
SALAAM, katika eneo la UBUNGO karibu
na SHULE YA MSINGI UBUNGO
NATIONAL HOUSING nyuma
ya jengo la
UBUNGO PLAZA.
Kwa wasio
weza kufika ofisini
kwetu, tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa
mahali walipo ( DELIVERY )
Kwa wateja
waliopo nje ya DAR ES
SALAAM, watatumiwa dawa kwa
njia ya mabasi, wateja waliopo
Zanzibar, watatumiwa dawa kwa
njia ya boti
na kwa wateja
waliopo Ulaya, America na
Arabuni, watatumiwa dawa kwa
njia ya DHL au
POSTA.
WASILIANA NASI
KWA SIMU NAMBA
0766 53
83 84.
Na kwa
maelezo zaidi kuhusu
huduma zetu, endelea
kutembelea:
Comments
Post a Comment