Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2019

DAWA ASILIA YA KUTIBU NA KUMALIZA KABISA TATIZO LA CHUNUSI ZA USONI KWA WANAWAKE

DAWA  ASILIA  YA  KUTIBU  NA  KUMALIZA  KABISA  TATIZO  LA  CHUNUSI  ZA  USONI  KWA  WANAWAKE. Je unasumbuliwa  na  tatizo  la  chunusi  la  muda  mrefu ? Umejaribu  tiba  mbalimbali  bila  kupata  suluhisho  la  uhakika  la  tatizo lako ? Kama  jibu  lako  ni  NDIO  basi  hii  ni  habari njema  sana  kwako. NEEMA  HERBALIST  ni  wauzaji  wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kukufahamisha  kwamba  tunayo  dawa  ya  asili  ambayo  inatibu  na  kuondoa  kabisa  tatizo  la  chunusi  za  usoni.   Mbali  na  kuondoa  tatizo  la  chunusi  za  usoni, dawa  hii  hun’garisha  ngozi  ya  uso...

ORODHA YA VYAKULA VINAVYO ONDOA MUONEKANO WA UZEE KWA WANAWAKE ( ANTI-AGING FOODS )

  Kuna   kundi   la   watu   ambao    kimuonekano   wanaonekana   kuwa   na   umri   mkubwa   kuliko   umri   wao   halisi.. Unaweza   ukakutana   na   kijana   wa   miaka   28 lakini   kimuonekano   anaonekana   kama   ana   umri wa   miaka   arobaini. Vivyo   hivyo   wapo   watu   ambao   wana muonekano   mchanga   kuliko   umri   wao   halisi.   Unaweza   ukakutana   na   mtu   ukiambiwa   ana   umri   wa   miaka   hamsini   na   nane   lakini   anaweza   ku pass   kama   mtu   mwenye   umri   wa   miaka   thelathini   na   nane. Adrienne Banfield-Norris  katikati  mama  mzazi  wa  Jadda  Pinket. Ukiona  picha  zake  ...

UGUMBA KWA WANAWAKE NI TATIZO LINALO WEZA KUTIBIWA KWA TIBA ZA ASILI

Kutokuwa   na   uwezo   wa   kubeba   ujauzito   ni   tatizo   linalo   watesa   wakina   mama   wengi.    Sababu   mbalimbali   zinaelezwa   na   wanasayansi   kama   chanzo   cha   tatizo   hili.      Miongoni   mwa   sababu     hizo   ni   pamoja   na   suala   la   utoaji   mimba, matatizo   katika   vizalishaji   vya   mayai   ama   ovary   kwa   lugha   ya   kitaalamu, matatizo   katika   mirija   ya   uzazi, matatizo   na   hitilafu   katika   mfuko   wa   uzazi,   kuugua   kansa   ya   kizazi, matatizo   katika mlango   wa   uzazi, kufanyiwa   upasuaji   kwenye   kizazi,   kuugua   magonjwa   ...

JINSI DAWA ZA ASILI ZA KUONGEZA UKUBWA WA MAKALIO ZINAVYO FANYA KAZI.

Kwa   mujibu   wa   tafiti   mbalimbali za kitaalamu, makalio   ya   mwanadamu   yanaundwa   na   vitu   vikuu   vitatu   ambavyo   ni   ( 1 )   Misuli   ( 2 ) Tishu   na   ( 3 )   Mafuta .   Vitu   vyote   hivi   vitatu   vinafunikwa   na   ngozi. Kwa   mantiki   hiyo   basi , ukubwa   na   shape   ya   makalio   ya   mtu   hutegemeana   na   vitu   hivyo   vitatu   nilivyo   viorodhesha   hapo   juu   yani   uwingi na   ukubwa   wa   misuli, tishu pamoja   na   uwingi wa   mafuta kwenye   makalio. Tafiti   mbalimbali   za   kisayansi   zinaonyesha   kuwa mtu   anaweza   kufanya   mazoezi   maalumu   kwa   ajili   ya   kukuza   misuli   ya...