Skip to main content

UGUMBA KWA WANAWAKE NI TATIZO LINALO WEZA KUTIBIWA KWA TIBA ZA ASILI


Taswira inaweza kujumuisha: Mtu 1, kutabasamu


Kutokuwa  na  uwezo  wa  kubeba  ujauzito  ni  tatizo  linalo  watesa  wakina  mama  wengi.  
Taswira inaweza kujumuisha: Watu 2



Sababu  mbalimbali  zinaelezwa  na  wanasayansi  kama  chanzo  cha  tatizo  hili.    
Taswira inaweza kujumuisha: Mtu 1

Miongoni  mwa  sababu    hizo  ni  pamoja  na  suala  la  utoaji  mimba, matatizo  katika  vizalishaji  vya  mayai  ama  ovary  kwa  lugha  ya  kitaalamu, matatizo  katika  mirija  ya  uzazi, matatizo  na  hitilafu  katika  mfuko  wa  uzazi,  kuugua  kansa  ya  kizazi, matatizo  katika mlango  wa  uzazi, kufanyiwa  upasuaji  kwenye  kizazi,  kuugua  magonjwa  yenye  kuingilia  mfumo  wa  homoni  za  uzazi  kama  vile  magonjwa  katika  ini  na  kisukari, ulevi  sugu, uvutaji sugu wa  sigara, uzito  ulio pita  kiwango  na  msongo  mkubwa  wa  mawazo.
Taswira inaweza kujumuisha: Mtu 1

Tatizo  hili  linawatesa  watu  wengi  sana . Watu wengi  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  la  uzazi  hutumia  tiba  nyingi  na  kwa  muda  mrefu.  Baadhi  yao hufikia  hatua  ya  kukata  tamaa  baada ya  kuona  tatizo  limekuwa   la  muda mrefu  na  wamejaribu  kutumia  tiba  nyingi  bila  kupata  mafanikio  yoyote.

Hata  hivyo  zipo  dawa  mbalimbali  za  asili ambazo  zina  uwezo wa  kutibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  uzazi.


Kati  ya  tiba  hizo  zipo  zinazo  watibu  na  kuwaponyesha  kabisa  wanawake  ambao  hawajawahi  kabisa  kupata  ujauzito  katika  maisha  yao.
Pamoja  na  zile  zinazo  watibu  wanawake  ambao  waliwahi  kupata  mtoto  au  watoto  miaka  ya  nyuma  lakini  safari  hii  imewachukua  muda  mrefu  bila  kupata  mtoto.

Pia  zipo  dawa  za  asili  ambazo  zinawatibu  na  kuwaponyesha  kabisa  wanawake  wenye  tatizo  la  kuchoropoa  mimba  ( Misscarriage )

Ni dawa  ambazo  zimewasaidia  wengi  wenye  tatizo  la  ugumba.  Kabla  hauja chukua  uamuzi  wa  kukata  tamaa, unaweza  kujaribu  kutumia  tiba  hizi  za  asili ambazo  zimewasaidia  wanawake  walio kuwa wana  tatizo  la  kutobeba  ujauzito  hapo  awali.

Kwa  ushauri  wasiliana  nasi  kupitia  simu  namba  0693  005  189  au  fika  katika  ofisi zetu. Tunapatikana  UBUNGO  jijini  DAR  ES  SALAAM  jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA