Skip to main content

DAWA ASILIA YA KUTIBU NA KUMALIZA KABISA TATIZO LA CHUNUSI ZA USONI KWA WANAWAKE


Taswira inaweza kujumuisha: Mtu 1, kutabasamu, karibu

DAWA  ASILIA  YA  KUTIBU  NA  KUMALIZA  KABISA  TATIZO  LA  CHUNUSI  ZA  USONI  KWA  WANAWAKE.




Je unasumbuliwa  na  tatizo  la  chunusi  la  muda  mrefu ?
Umejaribu  tiba  mbalimbali  bila  kupata  suluhisho  la  uhakika  la  tatizo lako ?
Kama  jibu  lako  ni  NDIO  basi  hii  ni  habari njema  sana  kwako.

NEEMA  HERBALIST  ni  wauzaji  wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kukufahamisha  kwamba  tunayo  dawa  ya  asili  ambayo  inatibu  na  kuondoa  kabisa  tatizo  la  chunusi  za  usoni.   Mbali  na  kuondoa  tatizo  la  chunusi  za  usoni, dawa  hii  hun’garisha  ngozi  ya  usoni , huipa  afya  na  kukufanya  uonekane  kigori.
Tunaptikana  UBUNGO  jijini  DAR  ES  SALAAM  nyuma  ya  jen go  la  UBUNGO  PLAZA  jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING.
Wasiliana  nasi  kwa  simu namba  0693  005  189.

Kwa  wateja  wetu  waliopo  nje  ya  mkoani  ambao  hawawezi  kufika  ofisini  kwetu  tunayo  huduma  ya  kuwafikishia  dawa  mahali  popote  walipo  ndani  ya  jiji  la  DAR  ES  SALAAM.
Kwa  wateja  wetu  waliopo  Zanzibar, dawa  tunawatumia  kwa  njia  ya  boti.
Kwa wateja  wetu  wa  NAIROBI  na  MOMBASA  tunawasafirishia  dawa  kwa usafiri  wa  mabus.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...