Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, makalio ya
mwanadamu yanaundwa na
vitu vikuu vitatu
ambavyo ni ( 1 ) Misuli ( 2 ) Tishu na
( 3 ) Mafuta . Vitu vyote
hivi vitatu vinafunikwa
na ngozi.
Kwa
mantiki hiyo basi , ukubwa
na shape ya
makalio ya mtu
hutegemeana na vitu hivyo vitatu nilivyo viorodhesha
hapo juu yani
uwingi na ukubwa wa
misuli, tishu pamoja na uwingi wa
mafuta kwenye makalio.
Tafiti
mbalimbali za kisayansi
zinaonyesha kuwa mtu anaweza
kufanya mazoezi maalumu
kwa ajili ya
kukuza misuli ya
kwenye makalio.
Vile
vile inawezekana kwa
mtu kula kwa
wingi vyakula vyenye
mafuta kwa ajili ya
kuongeza kiasi cha
mafuta kwenye makalio.
Hata hivyo
wana sayansi wana tahadharisha
kuwa kula vyakula
vyenye mafuta kwa
lengo la kuongeza ukubwa wa
makalio kunaweza pia kusababisha
mafuta hayo kwenda
katika sehemu zingine
za mwili yani
mtu kuongezeka pia katika
sehemu mbalimbali za
mwilini mwake kama vile tumbo
na kunenepa mwili mzima.
Jinsi dawa
za asili za
kuongeza ukubwa wa
makalio zinavyo fanya
kazi.
Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali
za kisayansi, dawa za asili
za kuongeza ukubwa
wa makalio zinafanya
kazi kwa kukuza misuli
ya kwenye makalio
na kuongeza kiwango
cha mafuta kwenye ngozi ya
ndani ya makalio.
Katika kuongeza
kiwango cha mafuta
kwenye makalio, dawa hizo
za asili hufyonza
mafuta kutoka katika
sehemu mbalimbali za mwili na
kuyaelekeza kwenye makalio
na hivyo kumfanya
makalio ya mtumiaji
yaongezeke na kuwa
makubwa.
Kwa kawaida
dawa nyingi za asili
zinazo tumika kwa
ajili ya kuongeza
ukubwa wa makalio
hutumika kwa muda wa
siku thelathini na
huanza kuonyesha matokeo baada ya
siku kumi na
tano.
Kwa maoni
na ushauri kuhusu
tiba mbalimbali za
asili, fika katika duka
la kuuza dawa
za asili la
NEEMA HERBALIST. Tunapatikana
UBUNGO jijini DAR
ES SALAAM nyuma
ya jengo la
UBUNGO PLAZA karibu na
SHULE YA MSINGI
UBUNGO NATIONAL HOUSING.
WASILIANA
NASI KWA SIMU
NAMBA 0693 005 189.
Na kwa elimu
zaidi kuhusu tiba
mbalimbali za asili,
tutembelee kila siku
kupitia tovuti yetu :
Comments
Post a Comment