Skip to main content

Posts

Showing posts from 2022

TIBA ASILIA YA TATIZO LA WEUSI NA ALAMA KATIKATI YA MAPAJA.

    Hakuna   tatizo   linawakosesha   amani wanawake   kama   tatizo   la   kuwa   na weusi   katikati   ya   mapaja   au   kutokwa   na   alama   za   michirizi kati   kati   ya   mapaja   na   kwenye   mapaja.     Kama    wewe   ni   mwanamke   na   una   tatizo   la   kutokwa   na   weusi   kati kati   ya   mapaja.   Kama wewe   ni   mwanamke   na   una   tatizo   la   kutokwa   na   alama   za   michirizi “ stretch mark “   kwenye   mapaja, hii   ni   habari   njema   sana   kwako.   Ipo   dawa   ya   asili   ambayo   inatibu   na   kuondosha   kabisa   alama   za weusi   katikati   ya   mapaja   na ...

TATIZO LA UPOFU WA UKUBWANI NA MACHO KUTO KUONA VIZURI LINAWEZA KUTIBIWA KWA KUTUMIA DAWA ZA MIMEA NA MATUNDA

  Lipo kundi   la   watu   ambao   wanakabiliwa   na   changamoto   ya   kuwa   na   tatizo   la   macho   kutokuona   vizuri   au   upofu   kabisa.     Hili   ni   kundi   la   watu   ambao   tatizo   hili   limewapata   ukubwani kwa   sababu   mbalimbali   kama   vile   kuugua   kisukari, kupata   presha   ya   macho   kwa sababu   mbalimbali   kama   vile   ujauzito   nakadhalika.   Kama   una   tatizo   la   kutokuona   vizuri   au   upofu   kabisa   ambalo   limekupata   ukubwani   basi   usikose   amani   kwa   sababu   hilo   ni   tatizo   linalo   weza   kutibika   kwa kutumia   dawa   za   asili.   Zipo   dawa ...

JINSI YA KUTUMIA SUPU YA NYAMA YA MOYO WA N’GOMBE KATIKA KUTIBU NA KUIMARISHA AFYA YA MOYO

Ipo idadi  kubwa  ya  watu  duniani  ambao  wanakabiliwa  na  magonjwa  mbalimbali  ya  moyo  kama  vile  kuwa  na  mafuta  mengi  kwenye  mishipa  ya  moyo, mapigo  ya  moyo kwenda  kasi, kuwa  na  moyo mkubwa nakadhalika.   Yapo   mambo   mbalimbali ambayo wataalamu   wa   afya   duniani   wana shauri   yafanyike   ili   kujiepusha   na   hatari   ya   kukabiliwa   na   matatizo   ya moyo. Baadhi   ya   mambo   hayo   ni   pamoja   na   kujiepusha   na   matumizi   ya   baadhi   ya   vyakula   kama   vile   nyama   nyekundu, vyakula   vya   kukaanga   kwenye   Mafuta, matumizi   ya   chumvi   ya   viwandani   kwa   wingi   kupita ...

JE KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA TATIZO LA UPARA KICHWANI NA TABIA YA KUJICHUA KWA WAVULANA ?

    Katika   miaka   ya   hivi   karibuni   idadi   ya   vijana   wadogo   wenye   vipara   imekuwa   kubwa   kuliko   ilivyo   kuwa   hapo   zamani.   Miaka   ya   90   kurudi   nyuma   ilikuwa   ukimuoa   mtu   ana   upara   kichwani   basi   pasi   na   shaka   yoyote   mtu   huyo   alikuwa   ni   mtu   mzima   at least   kuanzia   miaka   hamsini   na   kuendelea.     Kama   angekuwa   kijana   sana   basi   at   least   angekuwa   kwenye   miaka   arobaini   mwishoni   yani   anaitafuta   miaka   hamsini.   Ilikuwa   ni   nadra   sana   kumuona   kijana   ana   upara. Miaka   hiyo   ya   zamani   ...