Skip to main content

JINSI YA KUTUMIA SUPU YA NYAMA YA MOYO WA N’GOMBE KATIKA KUTIBU NA KUIMARISHA AFYA YA MOYO






Ipo idadi  kubwa  ya  watu  duniani  ambao  wanakabiliwa  na  magonjwa  mbalimbali  ya  moyo  kama  vile  kuwa  na  mafuta  mengi  kwenye  mishipa  ya  moyo, mapigo  ya  moyo kwenda  kasi, kuwa  na  moyo mkubwa nakadhalika.

 

Yapo  mambo  mbalimbali ambayo wataalamu  wa  afya  duniani  wana shauri  yafanyike  ili  kujiepusha  na  hatari  ya  kukabiliwa  na  matatizo  ya moyo.

Baadhi  ya  mambo  hayo  ni  pamoja  na  kujiepusha  na  matumizi  ya  baadhi  ya  vyakula  kama  vile  nyama  nyekundu, vyakula  vya  kukaanga  kwenye  Mafuta, matumizi  ya  chumvi  ya  viwandani  kwa  wingi  kupita  kiasi, unywaji  kupita  kiasi  nakadhalika.  Kwa  ufupi  wataalamu  wanashauri  watu  wazingatie  kanuni  za  ulaji  mlo  kamili “ balanced  diet “

 

Jambo  lingine  linalo  tiliwa  msisitizo  ni  ufanyaji  mazoezi  ya  mwili  wa  mara  kwa  mara  na  katika  mazoezi  yote  ya  mwili, zoezi  ambalo  limethibitika  kuwa  na  manufaa  makubwa  sana  kwenye  afya  ya  moyo  ni  zoezi  la  kutembea.

 

Unatakiwa  kuwa  unafanya  mazoezi  ya  kutembea  kwa  haraka  haraka  kila  siku.  Unatakiwa  walau  kutembea  hatua  elfu  kumi  kila  siku.  Unaweza  kuwa  na  uhakika  wa  kutembea  hatua  elfu  kumi  kwa  siku  endapo  utatembea  kwa  muda  wa  masaa  mawili.  Wataalamu  wame  calculate  kwamba  mwanadamu  anaweza  kutumia  masaa  mawili  kutembea  hatua  elfu  kumi.

 

Hata  hivyo  haukatazwi  kutembea  zaidi  ya  hatua  elfu  kumi  kwa  siku.  Uzeofu  unaonyesha  kwamba  watu  wengi  wanao  fanya  zoezi  la  kutembea  kila  siku  kwa  muda  mrefu  huwa  na  moyo  wenye  afya.

Hii  ni  kwa  sababu  sayansi  inasema  kwamba  kwenye  unyayo  wa  miguu  ya  mwanadamu  kuna  mishipa  ambayo  ipo  direct  connected  na  misuli  ya  moyo.  So unapokuwa  unafanya  zoezi  la kutembea  unakuwa  una I strengthen mishipa  ya  moyo.

 

Wapo  watu  ambao  waliwahi  kukutwa  na  magon jwa  ya  moyo  na  walipo  anza  zoezi  la  hili  la  kutembea  baada  ya  miezi  kadhaa  walipo enda  tena  kupima  hospitali  walikuwa  wakiwa  hawana  tatizo  hilo  tena.

 

Mbali  na  kufanya  mazoezi  na  kula  mlo  kamili, unaweza  kutumia  lishe  maalumu  kwa  ajili  ya  kujitibia  matatizo  ya  moyo.  Lishe  hii  maalumu  ni  kwa  ajili  ya  watu  ambao  tayari  wana matatizo  ya  moyo.  Lishe  hii  inaweza  kutumiwa  pia  na  mtu  ambae  hana  magonjwa  ya  moyo  lakini  anataka  kuimarisha  afya  ya  moyo  wake.  Unatakiwa  kufahamu  kwamba,  ukiwa  una  sumbuliwa  na  baadhi  ya  matatizo  ya  afya  unahesabika  kitaalamu kama  mtu  mwenye  matatizo  ya  moyo  kwa  sababu  matatizo  hayo  yana  athiri  afya  ya  moyo  moja  kwa  moja  na  yasipo  tibiwa  mapema  yanaweza  kuathiri   afya  ya moyo.  Matatizo  hayo ni kama  vile  presha, sukari, na  magonjwa  ya  figo.

 

JINSI  YA  KUANDAA  LISHE  MAALUMU  YA  SUPU  YA  NYAMA  YA  NG’OMBE  KWA  MTU MWENYE  MAGONJWA  YA  MOYO.

 

Mahitaji:

 

1.        Moyo  wa  n’gombe

2.       Dawa  asilia  ya  MSAFISHA  MOYO.

 

Maandalizi :

 

i.                     Chukua  moyo  wako  wa n’gombe uoshe  vizuri  sana , kisha  ukate  vipande  kadhaa  kama  unavyo  kata  nyama  ya  kawaida.   Weka  kwenye  sufuria  ongeza  maji  kisha  chemsha  hadi  nyama  iwe  tayari  kwa  kuliwa.

 

ii.                   Chukua  vijiko  vidogo  viwili  vya  dawa  yako  ya  Msafisha  moyo  kisha  tia  kwenye  kikombe  cha  maji  ya  moto  chenye  ujazo  wa  milimita  mia  mbili na  hamsini.

 

MATUMIZI

 

KULA  NYAMA  YA  MOYO  ILIYO  WIVA  HUKU  UKISHUSHIA  NA  DAWA YAKO  YA  MSAFISHA  MOYO.

 

Siku  ya  kwanza :  Utakula  nyama  ya  moyo  pamoja  na   dawa  ya  msafisha  moyo  asubuhi  na  usiku.

 

Siku  ya  pili  hadi  ya  ishirini na  moja :  Utaendelea  na  zoezi  la  kutumia  dawa  ya  msafisha  moyo.

 

 

MAKALA  HAYA  YAMEANDALIWA  NA  NEEMA  HERBALIST. DUKA  LA  KUUZA  DAWA  ZA  MIMEA  NA   MATUNDA.  TUNAPATIKANA  UBUNGO  JIJINI  DAR E S  SALAAM NYUMA  YA  JENGO  LA  UBUNGO  PLAZA  JIRANI  NA  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING.  WASILIANA  NASI  KUPITIA  SIMU  NAMBA  0766  53 83 84.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...