Skip to main content

TATIZO LA UPOFU WA UKUBWANI NA MACHO KUTO KUONA VIZURI LINAWEZA KUTIBIWA KWA KUTUMIA DAWA ZA MIMEA NA MATUNDA

 

Lipo kundi  la  watu  ambao  wanakabiliwa  na  changamoto  ya  kuwa  na  tatizo  la  macho  kutokuona  vizuri  au  upofu  kabisa.    Hili  ni  kundi  la  watu  ambao  tatizo  hili  limewapata  ukubwani kwa  sababu  mbalimbali  kama  vile  kuugua  kisukari, kupata  presha  ya  macho  kwa sababu  mbalimbali  kama  vile  ujauzito  nakadhalika.

 


Kama  una  tatizo  la  kutokuona  vizuri  au  upofu  kabisa  ambalo  limekupata  ukubwani  basi  usikose  amani  kwa  sababu  hilo  ni  tatizo  linalo  weza  kutibika  kwa kutumia  dawa  za  asili.  Zipo  dawa  mbalimbali  za  asili  ambazo  zinatibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  upofu wa  ukubwani.

 

MAKALA  HAYA  YAMEANDALIWA  NA  NEEMA  HERBALIST. DUKA  LA  KUUZA  DAWA  ZA  MIMEA  NA   MATUNDA.  TUNAPATIKANA  UBUNGO  JIJINI  DAR E S  SALAAM NYUMA  YA  JENGO  LA  UBUNGO  PLAZA  JIRANI  NA  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING.  WASILIANA  NASI  KUPITIA  SIMU  NAMBA  0766  53 83 84.

 

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...