Skip to main content

TIBA ASILIA YA TATIZO LA WEUSI NA ALAMA KATIKATI YA MAPAJA.

 

 






Hakuna  tatizo  linawakosesha  amani wanawake  kama  tatizo  la  kuwa  na weusi  katikati  ya  mapaja  au  kutokwa  na  alama  za  michirizi kati  kati  ya  mapaja  na  kwenye  mapaja. 

 

Kama   wewe  ni  mwanamke  na  una  tatizo  la  kutokwa  na  weusi  kati kati  ya  mapaja.

 

Kama wewe  ni  mwanamke  na  una  tatizo  la  kutokwa  na  alama  za  michirizi “ stretch mark “  kwenye  mapaja, hii  ni  habari  njema  sana  kwako.  Ipo  dawa  ya  asili  ambayo  inatibu  na  kuondosha  kabisa  alama  za weusi  katikati  ya  mapaja  na  alama  za  michirizi  kwenye  mapaja.

 

Dawa  hii  ina ondoa  tatizo  ndani  ya siku  ishirini  na  moja.

 

Pia  ipo  dawa  inayo  tibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  uvimbe  tumboni  kwa  wanawake  “ fibroid “

Dawa  inayo  tibu  tatizo  la  kutokwa  na  harufu  mbaya  ukeni.

 

Dawa  inayotibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  kukosa  hamu ya  tendo  la  ndoa  kwa  wanawake.

Dawa  inayo  tibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo la  kutokwa  na  harufu  mbaya  kinywani.

Dawa  inayo  tibu  na  ku;ponyesha  kabisa  tatizo la  U.T.I Sugu.

Pamoja  na  dawa  inayo  tibu  tatizo la  uzazi  kwa  wanawake  kwa  kusafisha  mfuko  wa  kizazi  na  kurutubisha  mayai ya  uzazi.

 

 

MAKALA  HAYA  YAMEANDALIWA  NA  NEEMA  HERBALIST. DUKA  LA  KUUZA  DAWA  ZA  MIMEA  NA   MATUNDA.  TUNAPATIKANA  UBUNGO  JIJINI  DAR E S  SALAAM NYUMA  YA  JENGO  LA  UBUNGO  PLAZA  JIRANI  NA  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING.  WASILIANA  NASI  KUPITIA  SIMU  NAMBA  0766  53 83 84.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...