WANAUME WANAO PIGA PUNYETO NDANI YA NDOA : Ni kitabu kinacho elezea mateso mazito wanayo yapitia wanaume ambao wameingia kwenye ndoa huku wakiwa tayari wameathirika na tatizo la upigaji punyeto wa muda mrefu
WANAUME WANAO PIGA PUNYETO NDANI YA NDOA : Kitabu kinacho elezea mateso mazito wanayo yapitia wanaume ambao wameingia kwenye ndoa hukuwa wakiwa wameathirika na tatizo la kupiga punyeto kwa muda mrefu. Sura Ya Kwanza : NILIFANYA PUNYETO KWA MUDA WA MIAKA 20 KUANZIA 2004 NIKAJA KUACHA 2024. Kitabu hiki kinahusu masimulizi kutoka kwa wanaume wapatao arobaini ( 40) kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania bara na visiwani ambao waliingia kwenye ndoa huku wakiwa tayari wameathiriwa na tatizo la upigaji punyeto kwa muda mrefu. Ni kitabu chenye mafunzo mazito sana kwa wanaume na kwa jamii nzima kwa ujumla. Wewe kijana ambae bado unajihusisha na suala la upigaji punyeto, unalo jambo la kujifunza ndani ya kitabu hiki, na wewe mwanaume ambae upo kwenye ndoa lakini bado unajihusisha na punyeto, unacho kitu kikubwa sana cha kujifunza hapa. Na kwako wewe mwanaume, ambae ume kuwa addicted na masturbation, unatamani kuacha laki...