Skip to main content

Posts

PICHA ZA QUEEN LATIFA AKIWA VACATION NCHINI BRAZIL

Rapper, muigizaji   na   fomer   Talk   Show   Host, Danna   Owens   almaarufu   kama   Queen   Latifa   sasa   yupo   kwenye   holliday   katika   jiji   Rio   De   Janeiro   nchini   Brazil   pamoja   na   partner   wake, Eboni Nichols. Wawili   hao   walionekana   wakila   good   time   kwenye   swimming   pool   la   kwenye   hoteli   waliyo   fikia. Queen   Latifa   hakuona   aibu   kuonyesha   bikini   yake   hadharani   kwa   mapaparazi   kama   anavyo   onekana   pichani.                                Photo credit: UK Daily Mail ...

FAHAMU NAMNA YA KUTENGENEZA ANTIBAIOTIKI YA ASILI INAYO TIBU MAGONJWA YOTE YANASO SABABISHWA NA BAKTERIA, VIRUSI, FANGASI NA VIMELEA.

Fomula    ya   kutengeneza   antibiotiki   hii   ya   asili   iligunduliwa   barani   ulaya   enzi   za   zama   za   kati, kipindi   ambacho   watu   walisumbuliwa   na   magonjwa     pamoja   na   milipulo   ya     magonjwa   ya   kila   aina   na   namna. Antibaiotiki   hii   inaua   kila   aina   ya   bacteria na   fangasi. Inasaidia   kuongeza presha   ya   msukumo   na   mzunguko   wa   damu   mwilini. Antibaiotiki   hii   ya   asili    ni   chaguo   la   kwanza, linapokuja   suala   la   kupambana   na   ugonjwa   wa   kandida. Antibaiotiki   hii   imewasaidia   mamilioni   ya   watu   kujiponya   na ...