Skip to main content

FAHAMU NAMNA YA KUTENGENEZA ANTIBAIOTIKI YA ASILI INAYO TIBU MAGONJWA YOTE YANASO SABABISHWA NA BAKTERIA, VIRUSI, FANGASI NA VIMELEA.







Fomula   ya  kutengeneza  antibiotiki  hii  ya  asili  iligunduliwa  barani  ulaya  enzi  za  zama  za  kati, kipindi  ambacho  watu  walisumbuliwa  na  magonjwa   pamoja  na  milipulo  ya   magonjwa  ya  kila  aina  na  namna.
Antibaiotiki  hii  inaua  kila  aina  ya  bacteria na  fangasi. Inasaidia  kuongeza presha  ya  msukumo  na  mzunguko  wa  damu  mwilini.
Antibaiotiki  hii  ya  asili   ni  chaguo  la  kwanza, linapokuja  suala  la  kupambana  na  ugonjwa  wa  kandida.





Antibaiotiki  hii  imewasaidia  mamilioni  ya  watu  kujiponya  na  magonjwa  mbalimbali  yasababishwayo  na  bacteria, virusi, vimelea  na  fangasi.



Inaweza  kuponywa  magonjwa mengi  sugu  pamoja  na  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya.
Inasafisha  damu  na  kuimarisha  mzunguko  wa  damu. Fomula  hii  imewasiadia  mamilioni  ya  watu  karne  na  karne  kupambana  dhidi  ya  magonjwa  hatari.
Siri  ya  ufanisi  wa  tiba  hii, ipo  kwenye  mchanganyiko  wenye  nguvu  kubwa  za  uponyaji  uliomo  ndani  ya   tiba  hii asilia.
Kwa  ufupi, tiba  hii inaponya  karibu  magonjwa  ya  aina  zote, inaimarisha  mfumo  wa  kinga  mwili  na  pia  inasaidia kupambana  na  virusi, bacteria, fungasi  na  vimelea.

JINSI  YA  KUTAYARISHA   TIBA  HII.

MAHITAJI  MUHIMU.
  • 700 ml   ya  apple cider vinegar (
  • ¼  kikombe  cha  vitunguu  swaumu  vilivyo  sagwa   vizuri.finely
  • ¼  kikombe  ya  vitunguu  maji  vilivyo  sagwa  vizuri
  • Pilipili  mbili  fresh  (  Pilipili  zinazo  hitajika  hapa  ni  pilipili  mbuzi  )
  • ¼  kikombe  ya  tangawizi  iliyo  sagwa.
  • Vijiko  viwili  vikubwa  (  tablespoon )  vya   horseradish  iliyo  sagwa.
  • Vijiko  viwili  vikubwa  vya  unga  wa  binzari pamoja  na  vipande  viwili  vya  mizizi  ya  binzari
MATAYARISHO
1.    Changanya   kwenye  sufuria   au  bakuri  kubwa  vitu  vyote  vilivyo  orodheshwa  hapo  juu  kasoro  Vinegar.
2.    Hamishia  mchanganyiko  wako  kwenye  birika.
3.    Ongeza  ndani  ya  mchanganyiko  wako  apple  cider  vinegar  mpaka  birika  lako  litakapo  jaa. ( Inashauriwa, theluthi  mbili ya  jagi  lako  iwe  ni  mchanganyiko  wa  vito  vilivyo  orodheshwa  hapo  juu  na  sehemu  inayobaki  ndio  ijazwe  na  apple  cider  vinegar )
4.    Funga  vizuri  birika  lako  na  utikise  kwa  muda  wa  kama  dakika  tatu  hivi.
5.    Weka  jagi  lako  kwenye  sehemu  safi  na  kavu  kwa  muda  wa  wiki  mbili. ( Unashauriwa  uwe  unatikisa  vizuri  jagi  lako  mara  kidhaa  kila  siku  )
6.    Baada  ya  siku  kumi  na  nne  saga  mchanganyiko, chuja  na  uuhifadhi  kwenye  jagi  safi. Baada  ya  hapo   mchanganyiko  wako  utakuwa  tayari  kwa  matumizi.


Your master tonic is ready for use. You do not need to keep the tonic in your fridge. It will last for long.
HUHITAJI  KUUWEKA  MCHANGANYIKO  WAKO  KWENYE  FRIJI, KWANI  HUDUMU  KWA  MUDA  MREFU  BILA  KUHARIBIKA.
.
MATUMIZI  YAKE
1.    TAHADHARI :  Ladha  yake  ni  chungu  na  kali.
2.    ZINGATIO :  Kula  kipande  cha  chungwa, limao  au  ndimu  baada  ya  kutumia  tiba  hii  ili  kupunguza  ukali  na njoto  la dawa  hii  tumboni.:.
3.    Usizimue  na  maji  kwani  utapunguza  nguvu  ya  dawa.
4.    Tumia  kijiko  kimoja  kikubwa  moja  kwa  siku  kwa  ajili  ya  kuimarisha  mfumo  wa  kinga  ya  mwili.
5.    Ongeza  kiwango  cha  dawa  kila  siku  mpaka  ufikie  kiwango  cha  kutumia  walau  glasi  moja  ya  dawa  yako  kwa  siku
6.    Kama  unapambana  na  magonjwa  sugu, tumia   kijiko  kimoja  kikubwa  cha  dawa  yako  mara  tano  hadi  sita  kwa  siku.
7.    Dawa  hii  ni  salama  kwa  wajawazito  na  watoto  wadogo  kwa  sababu  ina  tengenezwa  na  vitu  asilia  na  haina  sumu  yoyote. ( HATA  HIVYO  KWA  WANAWAKE  NA  WATOTO  WADOGO, UNASHAURIWA  KUTUMIA  KIASI  KIDOGO  SANA   KWA  SIKU  )

ONYO : Usitumie  dawa  hii  kama  hujatumia  chakula  chochote , na  utumie  kijiko  kidogo  cha  chai (tea  spoon)  katika  siku  zako za  mwanzo  kuitumia  tiba  hii, kwa  sababu  inaweza  kusababisha   kichefuchefu  na  kutapika, hususani  kama  hujaizoea
MAKALA  HAYA  YAMEANDALIWA  NA  NEEMA  HERBALIST  BLOG  0766538384.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...