Mwanamuziki Nazizi Kutoka Kenya Ameshangazi Wengi Baada ya Kufanikiwa
kupunguza mwili wake kwa kiasi cha wengi kuto amini kama ni yeye,
Mwanamuziki huyo kabla ya hapo alivyo sasa alikuwa ni Bonge nyanya yaani
mnene kupindukia , lakini siku za karibuni mwanamuziki huyo ameingia
Gym na Kufanikiwa kupunguza mwili wake kwa kiasi kikubwa sana.
KUPUNGUA INAWEZEKANA!!!!
Comments
Post a Comment