Skip to main content

WANASAYANSI WAGUNDUA USHAIDI WA KINASABA JINSI WAZUNGU WALIVYOPATIKANA.







Wanasayansi  nchini  Marekani  wamegundua  vinasaba  vinavyo  onyesha  namna  wazungu  walivyopatikana  zaidi  ya  miaka  elfu  kumi  iliyopita.
Kwa  mujibu  wa  Akiolojia  na  Historia , binadamu  wa  kwanza  kuishi  duniani  alikuwa  mtu  mweusi  na  aliishi  Afrika   hususani  katika  mkoa  wa  Arusha/Manyara  nchini  Tanzania.


Swali  lililokuw  liliwatatiza  watu  wengi duniani  ni  namna  jinsi  watu  weupe  walipatikana  kutoka  kwa  watu  weusi.
Baada  ya  tafiti  za  muda  mrefu  hatimaye  siku  ya  jana, wanasayansi  nchini  Marekani  wamekuja  na  matokeo  ya  utafiti  yanayo  onyesha  jinsi  wazungu  walivyopatikana.


Kwa  mujibu  wa  utafiti  huo, wazungu  wa  kwanza  walipatikana  baada  ya  waafrika  wawili  kuzaa  watoto  wenye  ulemavu  wa ngozi  yaani  albino.
Kizazi  cha  watoto  hao  kilihamia  barani  Ulaya  na  kuendelea  kuzaliana. Na  ni  kizazi  hicho  ndicho  kilicho  saidia kutengeneza  watu  wa  ngozi  nyeupe  ambao  leo  hii  wanajulikana  kama  wazungu.
Kusoma  zaidi, tembelea  : http://originalpeople.org/dna-change-white-skin/
UNAKUBALIANA  NA  MATOKEO  YA  UTAFITI  HUU?

Comments