Haijajulikana mara moja madenti hawa ni wa shule ipi ya sekodari, lakini kwa muonekano wa haraka haraka wanaonekana kama ni wanafunzi wa shule ya sekondari iliyopo nchini Kenya . Picha waliyo piga madenti hawa na kuisambaza mitandaoni imezua gumzo kubwa miongoni mwa watumiaji wa mitandao nchini Tanzania na Kenya huku wengi kati yao wakionekana kukemea vikali.

Comments
Post a Comment